Mchokoo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,181
- 1,579
Naunga mkono hoja.TEC wameshatoa yao ya moyoni na hayatabadilika kwa mujibu wa kanuni ya Pontio Pilato " Niliyoandika Nimeyaandika"
Sasa zile Dini zinazopinga Waraka wa Katoliki nani amewakataza na Wao kutoa Waraka?
Watoe
Mungu ni mwema wakati Wote!
Naam, watoe wao ili tuone unavyochambua mkataba wa bandari.