Waraka wa Tundu Lissu kwa wanamabadiliko na watanzania wote

Waraka wa Tundu Lissu kwa wanamabadiliko na watanzania wote

Kuna ulazima gani kumuiga Bob wine? Kila dictecta ana udhaifu wake hivyo huwezi ku apply mbinu moja kwa two dictators. Hakuna gavana wa Uganda aliyepigwa ban mpaka sasa.
Mwoga huyo kazi kuongelea Mitandaoni arudi Kama yeye kidume.Mwenzie Bob wine uganda anapambana ndani ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aje mpambaneje? Au mpigane ngumi? Mana kama kufanya mikutano mnaogopa hivyo mmekataza, hata huko huko watanzania tunapata ujumbe mana hata akiwa hapa atatumia mitandao kufikisha ujumbe. Nendana na tecknologia kwani kwa sasa siyo lazima uwe physically present sehemu ili kufikisha ujumbe kwa jamii
Mpumbavu anabwekea ughaibuni,aje huku tubanane ,sio ang'ang'nie kujihifadhi sebuleni huko EU

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said Hon. Lissu. Hatujawahi kuwa na uongozi wa kidhalimu kama ule wa Adolf Hitler, hatujawahi pia kuwa na mkuu wa kaya mropokaji kama Meko.

Hivi mbona mabeberu wanachelewa kumburuza pale the Hague?
Tumechoshwa na manyanyaso tunayofanyiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
umechoshwa wewe na nani?kwa nin msipeleke hiyo case the Hague mpaka msubiri westerners wawasaidie?
 
Nina uhuru wa kutoa maoni yangu , wewe tatizo lako ni nini? Haki ya kuropoka ni tatizo la CDM wala si watz, pambaneni na hali yenu.
Siku hizi Heri James na Abdalah Bulembo wamekua wanachadema mkuu.
 
Consigliere, Kasisitiza kuwa tufuate Katiba, tusiivunje kama Magufuli.

Tukifanya hivyo mapambano yatakuwa salama japo mbele ya Magufuli hayawezi kuwa salama maana yeye atazivunja sheria endapo Wapinzani wakizifuata ili kutimiza Azima yake.

Kunyenyekea kwa Mbowe ndiko kuheshimu Katiba, ambapo pia Lisu kagusia
 
Chadema hii hii iliyomwandikia barua Mwenyekiti wa CCM?!
Ndio shida yenu, huyo ni Rais wa JMT hivyo eitha awe mwenyekiti wa ccm taifa au mumvue uenyekiti na kumpa ujumbe wa nyumba kumi lakini kama bado ni mwanachama wa ccm atabaki kuwa Rais.
Katiba ya Jamhuri haimtambui kama mwenyekiti wa lichama lenu bali Rais na Amiri jeshi mkuu, hivyo barua huyo haina mahusiano na uenyekiti wake wa ccm.
Huko shuleni mlienda kusomea ujinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom