Waraka wa Tundu Lissu kwa wanamabadiliko na watanzania wote

Waraka wa Tundu Lissu kwa wanamabadiliko na watanzania wote

Kama kuropoka ni dhambi mbona hata namba moja ANAROPOKA SANA TU? Yeye hutamka popote na lolote linalomjia? Nikukumbushe alipowarokea Wahanga wa Tetemeko Kule BUKOBA? Hukumbuki aliporopoka juu ya watoto kupata ujauzito na kurudi shule kina mdee waliwekwa ndani? Huyo ndiyo MROPOKAJI WA TAIFA! amelumukwa.
Haki ya kuropoka ni tatizo la CHADEMA wala sio Watanzania, hakuna Mtz atakayeingia barabarani ili kutetea CDM ipate haki ya kuropoka, pambaneni na hali yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeambiwa wapenda mabadiliko sio wanaoshangilia wenzenu kupigwa Risasi, kuumizwa, kutekwa na kupigwa hadharani kama yule KIJANA WA MAKAMBAKO, aliyeshambuliwa kinyama kwa nauli ya kiongozi asiyejiamini " acha wamtie adabu" kubwba Bango la kuonesha shida ya maji.
Waraka huu haukuhusu wewe ambaye unapandikiza mbegu za chuki na ukabila hapa jukwaani kuwaita watu BWASHEE Ukimnasibisha kila anayetoa mawazo kinzani na uchaga kama vile kuwa mchaga ni dhambii!
NI WARAKA KWA WAPENDA HAKI NA AMANI WOTE.SIO KWA WAPANDIKIZA CHUKI KAMA WEWE NA MPUUZI MWENZENU MUSIBA.
WAPE SALAAAAAM
HAPO UJINGANI LUMUMBANI
Huu ni waraka wa Lisu kwa Chadema siyo kwa Watu wote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom