Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Bobby Wine alipigwa virungu mara moja tu. Huyu Tundu Lissu kushambuliwa na AK 47, hawakutaka hata maiti yake ije itambuliwe. Na walipanga ikazikwe kwao Ikungi Singida yaani hata kuagwa DSM ilikuwa NO.Mwoga huyo kazi kuongelea Mitandaoni arudi Kama yeye kidume.Mwenzie Bob wine uganda anapambana ndani ya nchi
Kwa hiyo unapofanya ulinganisho tumia ubongo wako usitumie vidole. Ila kama hauna ubongo basi utakuwa mlemavu