Haki ya kuropoka ni tatizo la CDM wala sio watz, hakuna Mtz atakayeingia barabarani ili kutetea CDM ipate haki ya kuropoka, pambanene na hali yenu.
Ili Israel mtoa roho ammalize?Uko wapi?.Rudi nyumbani!
Nina uhuru wa kutoa maoni yangu , wewe tatizo lako ni nini? Haki ya kuropoka ni tatizo la CDM wala si watz, pambaneni na hali yenu.Tunapambana na hali zetu ndiyo mana tunapeana mikakati, wewe siyo chadema sasa haya yanakuhusu nini? Pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwoga huyo kazi kuongelea Mitandaoni arudi Kama yeye kidume.Mwenzie Bob wine uganda anapambana ndani ya nchi
Hizo anazo fly2kia bwashee!Una Askh Majnun ndio Maana
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Mpumbavu anabwekea ughaibuni,aje huku tubanane ,sio ang'ang'nie kujihifadhi sebuleni huko EU
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuwa ni wewe ulikamatishwa Pipa to Kia,Who knowsHizo anazo fly2kia bwashee!
Ngoja amalize kushambulia angani kwanza atarudi tuUko wapi?.Rudi nyumbani!
AK 47,SMG mmeshaziweka tayari?Uko wapi?.Rudi nyumbani!
Bob wine na yeye alichapwa risasi 30 kumbeMwoga huyo kazi kuongelea Mitandaoni arudi Kama yeye kidume.Mwenzie Bob wine uganda anapambana ndani ya nchi
umechoshwa wewe na nani?kwa nin msipeleke hiyo case the Hague mpaka msubiri westerners wawasaidie?Well said Hon. Lissu. Hatujawahi kuwa na uongozi wa kidhalimu kama ule wa Adolf Hitler, hatujawahi pia kuwa na mkuu wa kaya mropokaji kama Meko.
Hivi mbona mabeberu wanachelewa kumburuza pale the Hague?
Tumechoshwa na manyanyaso tunayofanyiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapigania Uhuru walizikomboa nchi zao tokea Tanzania, hivyo si ajabu kwa Lissu.Uko wapi?.Rudi nyumbani!
Siku hizi Heri James na Abdalah Bulembo wamekua wanachadema mkuu.Nina uhuru wa kutoa maoni yangu , wewe tatizo lako ni nini? Haki ya kuropoka ni tatizo la CDM wala si watz, pambaneni na hali yenu.
Ndio shida yenu, huyo ni Rais wa JMT hivyo eitha awe mwenyekiti wa ccm taifa au mumvue uenyekiti na kumpa ujumbe wa nyumba kumi lakini kama bado ni mwanachama wa ccm atabaki kuwa Rais.Chadema hii hii iliyomwandikia barua Mwenyekiti wa CCM?!