Waraka wa Tundu Lissu kwa wanamabadiliko na watanzania wote

Mwoga huyo kazi kuongelea Mitandaoni arudi Kama yeye kidume.Mwenzie Bob wine uganda anapambana ndani ya nchi
Bobby Wine alipigwa virungu mara moja tu. Huyu Tundu Lissu kushambuliwa na AK 47, hawakutaka hata maiti yake ije itambuliwe. Na walipanga ikazikwe kwao Ikungi Singida yaani hata kuagwa DSM ilikuwa NO.

Kwa hiyo unapofanya ulinganisho tumia ubongo wako usitumie vidole. Ila kama hauna ubongo basi utakuwa mlemavu
 
It can be done, play your party.
 
LOooh, kweli kuna kupishana.
Hayo uliyoeleza hapa umeyasoma wapi, kwenye bandiko lile lililpo hapo juu, au wewe unalojingine?
 
Tunachohitaji kufanya ni kuweka utaratibu bora zaidi wa kuchuja kila anayeingia kwenye chama chetu; na hasa kila anayetaka au anayepewa dhamana ya uongozi wa chama wa nafasi za kiserikali kama madiwani na wabunge.

Wamo waTanzania, wazalendo wa kweli kabisa, hata huko ndani ya CCM hii mbovu (hata kama sio wengi) wanaoweza kuifanya kazi yenu hii ngumu ikawa ahueni kidogo.

Tafuteni njia nzuri za kuwatambua hawa na shirikianeni nao kadri mtakavyoweza. Sio lazima wahamie kwenye vyama vyenu. Wanaweza wakasaidia wakiwa huko huko ndani ya chama chao.

Tambueni kuwa kipaumbele cha sasa ni zaidi ya kupambania kushika madaraka pekee.
 
Safari ya kushika dola ni ngumu sana.
Mi nimeamua kukaa pembeni na harakati za siasa.

Akishinda chadema ni sawa, akishinda ccm ni sawa na hata chama chochote.

Mkombozi wa maisha yangu ni mimi mwenyewe!!
Acha ujinga huo, hujui malaika wa Lusifa walifukuzwa toka mbinguni kwa msimamo wa
kijinga kama huu wako!!!?
 
Kuna mbinu nyingi za kuua panya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayw
Mwoga huyo kazi kuongelea Mitandaoni arudi Kama yeye kidume.Mwenzie Bob wine uganda anapambana ndani ya nchi

Haya majibu ya kejeli na dharau yanachochea hasira ya kulipa kisasi kwa watu wengi sana nchini kwa sasa, labda kama hamna habari.

Mnaendelea kuimba amani wakati mioyo ya watu inavuja damu na kudai kulipa kisasi kimya kimya. Kwa uzoefu wa kihistoria, ni suala la muda tu kabla hamjashuhudia maumivu yanayowapata wengine yanawageukia na ninyi mmoja baada ya mwingine.

Hali ikiendelea hivi hakuna aliye salama. Amani haitunzwi na watu waliokata tamaa, huku wakiendelea kubezwa kila siku na hao hao wanaowaumiza.
 
baada ya kusoma waraka huu nimepata nguvu sana ! nitaendelea kuipigania Chadema katika maisha yote niliyosaliwa nayo hapa duniani .

Eee Mwenyezi Mungu nisaidie
MKUU BE CAREFUL NA WATU WASIO JULIKANA AKINA BASHITE NA WENGINEO
 
Kufanya maridhiano na fisiemu ni kufanya maridhiano na shetani. Japo nakubaliana na wewe kuwa mziki uchezwe kwa step. Consigliere,

Sent using Jamii Forums mobile app


Ila kweli kila mtu anafikiri kwa steps zake jaman kwahali tulofikia hii mnataka step gan zichezwe? Kina Magoti mpaka leo wako ndani , kina Kabendera..yelewi hata kama ni uvumilivu huu sasa ni ujuha jamani!hii iwe undava undava
 
"Tuna vitabia vya kufikiria kwamba kila kitu lazima kitolewe nje hadharani bila kufuata taratibu za chama"

Hii nimeipenda sana, wale madiwani wanaoanzisha chokochoko kule Arusha Mjini wote tupa nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…