Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Haki ya kuropoka ni tatizo la CHADEMA wala sio Watanzania, hakuna Mtz atakayeingia barabarani ili kutetea CDM ipate haki ya kuropoka, pambaneni na hali yenu.
Huu ni waraka wa Lisu kwa Chadema siyo kwa Watu wote!
Amina tuko pamoja mpwabaada ya kusoma waraka huu nimepata nguvu sana ! nitaendelea kuipigania Chadema katika maisha yote niliyosaliwa nayo hapa duniani .
Eee Mwenyezi Mungu nisaidie
Wankung'ute! Itakuwa Kama ya gadaffWell said Hon. Lissu. Hatujawahi kuwa na uongozi wa kidhalimu kama ule wa Adolf Hitler, hatujawahi pia kuwa na mkuu wa kaya mropokaji kama Meko.
Hivi mbona mabeberu wanachelewa kumburuza pale the Hague?
Tumechoshwa na manyanyaso tunayofanyiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app