WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

Mbona Juma Nature aliimba wimbo wa mtoto Idd?

Mleta uzi ni maandazi ya nyama temana nae. Bure kabisa,akawaambie basi misikitini waandamane,si vuguvugu hilo,usifanye waislam wote wehe na wenye uwezo mdogo wa kufikiri.
 
Salaam aleikum likud
Umesema wewe ni mshabike jd napia ni muisilaam

Ss nataka kukuswalika swali hili. Je ni halali au haraam kusikiliza muzik wwte

Nijibu nitaendelea kukuswalika kwa mujibu wa quraan na hadith

Wakatabahu
Mimi ni mkatoliki, i dont know what ur talking about
 
Kwa iyo siku jambazi akiuwawa na wananchi, katika kumuuliza jina kabla ya mauti, akasema yeye ni Mwamed, je waislam wataenda kuwauwa pia wazazi wake kwa kuudhalilisha uislam?
 

U great thinker wako uko wapi kaka? mbona unatukana badala ya kujadili hoja? Povu lote hilo la nini kaka?
 
Ni Mliberali tu anaweza kuwaza kama anavyowaza huyu likud.



 


Uki fikiria kwa mapana utagundua yafuatayo katika maudhui ya hayo mashairi.

1. Ukosefu wa elimu bora....Kinacho mfanya Yahaya aishi maisha ya namna hiyo ni kwa sababu hajapata elimu bora. Kama angekuwa amepata elimu bora asingekuwa anaishi namna hiyo. Siku zote waislamu wa tz wamekuwa wakilalamika watoto wao kufelishwa na Necta na kutokupewa fursa za elimu...Hii ina maana gani kwa huu wimbo? Waislamu wanatukanwa hapo.

2,. Ukosefu wa ajira : Mfumo kristo umemfanya Yahaya akose sifa za kupata ajira inayo eleweka na hivyo kumfanya aishi maisha ya namna hiyo. So uislamu umeguswa hapo.

3. Ukosefu wa malezi bora : Tabia ya kijana Yahaya ni matokeo ya kukosa malezi bora kwa wazazi wake. Kwa sababu Yahaya ni muislamu so tuna assume wazazi wake ni waislamu pia na walimlea katika malezi ya kiislamu ambayo yanapiga vita binadamu kuishi irresponsible life kama Yahaya. Tazama nyuma ya sentensi hiyo halafu uniambie uislamu umechorwa vipi hapo
 


Kaka asante sana kwa kuniongezea msamiati wa kutumia but am telling you, hakuna uhusiano wowote kati ya ulicho kiongea hapa na content ya uzi wangu. Hujatoa sababu za msingi kwa nini umesema ulicho kisema, so ni vigumu sana kwa mimi kukubaliana na hoja yako. By the way maelezo yako ni mazuri sana but ymaetumika katika sehemu isiyo husika, kuna uwezekano mkubwa sana hayo maelezo utakuwa umeyakopi na kupaste mahali
 
Haya ni majina tu mkuu, huku kwetu tunatambua dini kwa majina yetu wakati wenzetu mpaka akutajie dini yake, TARIQ AZIZ aliekuwa waziri wa mambo ya nje wa Iraq ni Mkristo lakini check hilo jina lake ingekuwa huku tunapopima dini za watu kwa majina ingekuaje
 
Ni Mliberali tu anaweza kuwaza kama anavyowaza huyu likud.


Wewe ndio mliberali unaweza vipi kujua anacho weza kukiwaza mliberali kama na wewe sio mmoja wao?
 

Kaka uzi wangu unajieleza wenyewe, ninazungumzia jamii ya Tanzania na sio huko ulipo kaka
 
Kwa iyo siku jambazi akiuwawa na wananchi, katika kumuuliza jina kabla ya mauti, akasema yeye ni Mwamed, je waislam wataenda kuwauwa pia wazazi wake kwa kuudhalilisha uislam?

Listen to urself, just assume ur me and am asking you such a silly question like that, what would u answer me?
 
Mleta uzi ni maandazi ya nyama temana nae. Bure kabisa,akawaambie basi misikitini waandamane,si vuguvugu hilo,usifanye waislam wote wehe na wenye uwezo mdogo wa kufikiri.

Uzi wangu haujauelewa so ni bora ungepiga kimya kuliko kuonyesha ujinga wako hapa
 


Hapa umeitukana Jamii Forums na sio mimi. Kama sijakuelewa vizuri unamaanisha kwamba Jide hajui chochote kuhusu uwepo wa mtandao wa Jamii Forums?
 
Akili ni nywele unapoteza nguvu na muda kuleta udini hapa looh.

Kama umeusoma uzi wangu vizuri utakuwa umegundua kwamba mimi sio mdini na wala sijaleta udini hapa, isipokuwa nimeleta hoja ambayo ndani yake kuna suala la udini, hilo haliwezi kunifanya mimi mdini, unless otherwise you are telling me that haujaelewa content ya uzi wangu
 

Soma alama za nyakati kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…