johnhance
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 1,769
- 2,131
Astaghafirullah X 3, hakuna ndoa inayofungwa msikitiniau msikitini kwa upande wa waislamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Astaghafirullah X 3, hakuna ndoa inayofungwa msikitiniau msikitini kwa upande wa waislamu
Respect diversity mdogo anguWewe weka maoni yako, utapendelea nini kati ya overcomplicated function ya mahela mengi for feeding your ego ama just ndoa kwako iwe basic tu
Watu wengi wanaiga, lakini pia hii ni Biashara Kubwa sana Duniani hivyo matangazo nayo yanasaidia kupata wateja. Ila kwa watu wenye uelewa wa maisha na wana plan ya kuleta mafanikio makubwa kwenye maisha yao wataepuka kutumia pesa nyingi kwenye arusi kwani mipango itaanza kuyumba kuanzia hao. Hapa siongelei watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha.Wote tunafahamu kuwa suala la ndoa ni jambo la heshima na baraka katika misingi ya kijamii na kiimani.
Swala la kufanya ndoa kama sherehe kubwa liko katika maamuzi na mapenzi ya wanandoa wenyewe japo linaweza chagizwa na wazazi ama walezi pia.
Leo nataka nipate tathmini kutoka kwa wachumba esp. wadada je, wewe upo tayari kufunga ndoa bila kuinvolve sherehe?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ulivo mtaja lulu nimecheka nusu nife, sio kwa heka heka zile lol.Nope nilikuelewa dear. Nimeshangaa tu hiyo conclusion yao kwamba mtu sipopenda sherehe basi automatically anakuwa wife material. Lulu hajafanya sherehe ila kafanya kufuru kwenye mavazi yake, so na yeye ni wife material kisa hakufanya sherehe? Kwa kweli kama mtu anapenda sherehe na uwezo anao, afanye tu sherehe kwa raha zake.
[emoji3][emoji3][emoji3] lolRespect diversity mdogo angu
Unatumia maneno kama overcomplicated function sijui feeding your ego ili tu kuonesha kana kwamba sherehe ni kitu cha ajabu sana. Kuna watu hawataki sherehe kwa sababu ya ego zao pia. Sherehe sio dhambi wala sio kuvunja sheria ya nchi; wewe kama huipendi tuache tunaozipenda kwa amani. Na hata asiyependa sherehe ni sawa tu kabisa, ni chaguo la mtu. Afu kuna watu kutumia hiyo 100m kwenye sherehe ndiyo simple function sasa.
Yesu mwenyewe alihudhuria harusi (sherehe) ya Kana[emoji23][emoji23]. "LIVE AND LET LIVE"
Badala ya kuandika sentensi nyingi hivi, ungesave nguvu hizo kwa kusema tu kuwa.Respect diversity mdogo angu
Unatumia maneno kama overcomplicated function sijui feeding your ego ili tu kuonesha kana kwamba sherehe ni kitu cha ajabu sana. Kuna watu hawataki sherehe kwa sababu ya ego zao pia. Sherehe sio dhambi wala sio kuvunja sheria ya nchi; wewe kama huipendi tuache tunaozipenda kwa amani. Na hata asiyependa sherehe ni sawa tu kabisa, ni chaguo la mtu. Afu kuna watu kutumia hiyo 100m kwenye sherehe ndiyo simple function sasa.
Yesu mwenyewe alihudhuria harusi (sherehe) ya Kana[emoji23][emoji23]. "LIVE AND LET LIVE"
Badala ya kuandika sentensi nyingi hivi, ungesave nguvu hizo kwa kusema tu kuwa.
"Kwangu sherehe lazima iwe ya kufana"
Wewe unaishi maisha hayo ya kutokubanduana?Hakuna tena heshima ya ndoa. Siku hizi watu wanaanza kubanduana na kuishi kama wapo kwenye ndoa, wanafanya ya kwenye ndoa kabla ya ndoa.
Ndoa yenye heshima ni ile tu ambayo ambayo wahusika wanakuwa hawajabanduana, hao pekee ndio wana stahili hata sherehe, ila hao wengine wapige kimya kimya tu
Umekuwa na biased opinion on the early post, hii mada iko open kwa wote wanaopenda na wasiopenda sherehe.Mbona hapo sijaandika kitu kabisa, mimi mama magazeti teh . I had a simple function (ingawa wnayaki hata tukiwa watatu hakunaga shughuli ndogo), lakini nawaheshimu pia walioamua kuvunja akaunti zao kwa sababu ya sherehe, ni pesa zao so far na chaguo lao pia na furaha yao pia. Kwa nini niteseke?
Sijawa biased kabisa, at first ulitaka ujue tu warembo wanasimama side gani, baadaye majority mkaanza kuwa biased. Kuonesha kana kwamba mtu akipenda sherehe kubwa basi ana matatizo. Kama mtu anataka sherehe ya kimyakimya ni sawa tu, anayetaka sherehe ya kutrend insta ni sawa tu as long ndiyo chaguo lake na uwezo anao.Umekuwa na biased opinion on the early post, hii mada iko open kwa wote wanaopenda na wasiopenda sherehe.
Maybe nilitakiwa niandike tofauti ya tafrija na sherehe. Nimetumia yale maneno kutofautisha instead.
Hizo ni hisia zako tu...Its like unajishtukia hivi maana wapo pia ambao wame argue kuwa wanapenda function za kawaida..Ndugu jamaa na marafiki tu ila kwao freshi tu kuliko kuwe hamna shughuli kabisa wala haijapingwa.Sijawa biased kabisa, majority of you ndiyo mmekuwa biased. Kuonesha kana kwamba mtu akipenda sherehe kubwa basi ana matatizo. Kama mtu anataka sherehe ya kimyakimya ni sawa tu, anayetaka uwezo wa sherehe ya kutrend insta ni sawa tu as long ndiyo chaguo lake na uwezo anao.
Sherehe ya kufana ni subjective term, sisi kwetu tunafanyaga vifunction vya kindugu vingi ila sio kwa hilo vibe utahisi kuna watu 500 hapo nyumbani.
Sherehe baada ya ndoa ni anasa zisizo na ulazima.... binafsi napendelea ndoa simple tu... wawepo mashahidi na wazazi/ walezi inatosha. Na kama tutakuwa na pesa kidogo tutatoa sadaka kwa Yatima kwa ajili ya kumshukuru Mungu kutuvusha salama.
Kwa research yangu fupi ni kwamba ndoa nyingi zilizokusanya watu kwa sherehe kubwa huwaga hazidumu maana zinakuwa zimegubikwa na showoff na maigizo yaliyokosa Upendo ndani yake, kazi yao kubwa huwaga ni kufurahisha watu ili waonekane hawajafulia.....! Ngoja niishie hapo.
Miii kujishtukia nehi nehi. Kwani si tangu comment ya kwanza nilisema napenda sherehe ? Na nikiwa peke yangu upande wa wapenda sherehe kuna adhabu napewa au nakuwa an alien? Relax bob, endelea na utafiti wakoHizo ni hisia zako tu...Its like unajishtukia hivi maana wapo pia ambao wame argue kuwa wanapenda function za kawaida..Ndugu jamaa na marafiki tu ila kwao freshi tu kuliko kuwe hamna shughuli kabisa wala haijapingwa.
Watu wametoa maoni yao, japo wengi wameegama upande wa kutotaka sherehe sio lazima wala haiwapi extra credit kwamba wao ni bora sana au wife material kama unavyodhani...We unapenda sherehe mi ntaliheshimu hilo kama maoni yako pia.
Wanasaka wanaume wa kuwaoa hawa hawana lolote janja janja nyingi tu hapa....Ndio Mimi nashangaa Hapa [emoji16][emoji16] mpaka najiuliza Hawa Wanawake wa jf wanapatikana dunia ipi !? Yaani Kama hiki nachokisoma Hapa kwenye hii wall kina ukweli Basi naishukuru dunia kuona Kuna sehemu kubwa ya wanawake wameanza kubadilika.... [emoji16][emoji16][emoji16]
Ijapokuwa inaniwia vigumu kuweza kuamini maana watanzania now days huwa tunaishi Mara 2 Kuna Maisha special kwaajili ya dunia halisi na mengine special kwaajili ya dunia ya mitandaoni
Hatupo hapa kujuana maisha yetu na namna tuvyo yaendesha, nilicho andika ni hicho kama unaona sawa, okay, na kama unaona si sawa okay.Wewe unaishi maisha hayo ya kutokubanduana?
Mimi sijui bwana ila nachojua kiongozi wao wa kidini anafungishaastaghafirullah X 3, hakuna ndoa inayofungwa msikitini
KabisaRespect diversity mdogo angu
Unatumia maneno kama overcomplicated function sijui feeding your ego ili tu kuonesha kana kwamba sherehe ni kitu cha ajabu sana. Kuna watu hawataki sherehe kwa sababu ya ego zao pia. Sherehe sio dhambi wala sio kuvunja sheria ya nchi; wewe kama huipendi tuache tunaozipenda kwa amani. Na hata asiyependa sherehe ni sawa tu kabisa, ni chaguo la mtu. Afu kuna watu kutumia hiyo 100m kwenye sherehe ndiyo simple function sasa.
Yesu mwenyewe alihudhuria harusi (sherehe) ya Kana[emoji23][emoji23]. "LIVE AND LET LIVE"
Kabisa
Kuna mwingine hapendi kwa sababu ni introvert ama anaugua kichwa kama mimi.
Mwingine anapenda labda ni extrovert na anao uwezo.
Kila mtu afanye linalombariki..
Sherehe si dhambi..watu wanaburudika Bwana.
Humu ndani sijui kwanini wanaona kufanya sherehe ni mambo ya ajabu[emoji1745]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini isifungwe msikitiniastaghafirullah X 3, hakuna ndoa inayofungwa msikitini