Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

Wewe weka maoni yako, utapendelea nini kati ya overcomplicated function ya mahela mengi for feeding your ego ama just ndoa kwako iwe basic tu
Respect diversity mdogo angu


Unatumia maneno kama overcomplicated function sijui feeding your ego ili tu kuonesha kana kwamba sherehe ni kitu cha ajabu sana. Kuna watu hawataki sherehe kwa sababu ya ego zao pia. Sherehe sio dhambi wala sio kuvunja sheria ya nchi; wewe kama huipendi tuache tunaozipenda kwa amani. Na hata asiyependa sherehe ni sawa tu kabisa, ni chaguo la mtu. Afu kuna watu kutumia hiyo 100m kwenye sherehe ndiyo simple function sasa.

Yesu mwenyewe alihudhuria harusi (sherehe) ya Kana[emoji23][emoji23]. "LIVE AND LET LIVE"
 
Watu wengi wanaiga, lakini pia hii ni Biashara Kubwa sana Duniani hivyo matangazo nayo yanasaidia kupata wateja. Ila kwa watu wenye uelewa wa maisha na wana plan ya kuleta mafanikio makubwa kwenye maisha yao wataepuka kutumia pesa nyingi kwenye arusi kwani mipango itaanza kuyumba kuanzia hao. Hapa siongelei watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ulivo mtaja lulu nimecheka nusu nife, sio kwa heka heka zile lol.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] lol
 
Badala ya kuandika sentensi nyingi hivi, ungesave nguvu hizo kwa kusema tu kuwa.
"Kwangu sherehe lazima iwe ya kufana"
 
Mbona hapo sijaandika kitu kabisa, mimi mama magazeti teh . I had a simple function (ingawa wanyaki hata tukiwa watatu hakunaga shughuli ndogo), lakini nawaheshimu pia walioamua kuvunja akaunti zao kwa sababu ya sherehe, ni pesa zao so far na chaguo lao pia na furaha yao pia. Kwa nini niteseke?

Siku nikijisikia kufanya function yoyote kubwa, nafanya tu as long as sababu ninayo, nia ninayo na uwezo ninao pia.
Badala ya kuandika sentensi nyingi hivi, ungesave nguvu hizo kwa kusema tu kuwa.
"Kwangu sherehe lazima iwe ya kufana"
 
Wewe unaishi maisha hayo ya kutokubanduana?
 
Umekuwa na biased opinion on the early post, hii mada iko open kwa wote wanaopenda na wasiopenda sherehe.

Maybe nilitakiwa niandike tofauti ya tafrija na sherehe. Nimetumia yale maneno kutofautisha instead.
 
Binafsi napenda sherehe ndogo tu. Wazazi, Ndugu wa karibu na marafiki wachache kukusanyika na kutupongeza baada ya ndoa. Tupate lunch ama dinner na picha za ukumbisho basi.
 
Umekuwa na biased opinion on the early post, hii mada iko open kwa wote wanaopenda na wasiopenda sherehe.

Maybe nilitakiwa niandike tofauti ya tafrija na sherehe. Nimetumia yale maneno kutofautisha instead.
Sijawa biased kabisa, at first ulitaka ujue tu warembo wanasimama side gani, baadaye majority mkaanza kuwa biased. Kuonesha kana kwamba mtu akipenda sherehe kubwa basi ana matatizo. Kama mtu anataka sherehe ya kimyakimya ni sawa tu, anayetaka sherehe ya kutrend insta ni sawa tu as long ndiyo chaguo lake na uwezo anao.

Sherehe ya kufana ni subjective term, sisi kwetu tunafanyaga vifunction vya kindugu vingi ila sio kwa hilo vibe utahisi kuna watu 500 hapo nyumbani.
 
Hizo ni hisia zako tu...Its like unajishtukia hivi maana wapo pia ambao wame argue kuwa wanapenda function za kawaida..Ndugu jamaa na marafiki tu ila kwao freshi tu kuliko kuwe hamna shughuli kabisa wala haijapingwa.

Watu wametoa maoni yao, japo wengi wameegama upande wa kutotaka sherehe sio lazima wala haiwapi extra credit kwamba wao ni bora sana au wife material kama unavyodhani...We unapenda sherehe mi ntaliheshimu hilo kama maoni yako pia.
 
Mrembo ushaolewa au bado?
 
Miii kujishtukia nehi nehi. Kwani si tangu comment ya kwanza nilisema napenda sherehe ? Na nikiwa peke yangu upande wa wapenda sherehe kuna adhabu napewa au nakuwa an alien? Relax bob, endelea na utafiti wako
 
Wanasaka wanaume wa kuwaoa hawa hawana lolote janja janja nyingi tu hapa....
 
Kabisa
Kuna mwingine hapendi kwa sababu ni introvert ama anaugua kichwa kama mimi.

Mwingine anapenda labda ni extrovert na anao uwezo.

Kila mtu afanye linalombariki..
Sherehe si dhambi..watu wanaburudika Bwana.

Humu ndani sijui kwanini wanaona kufanya sherehe ni mambo ya ajabu[emoji1745]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ewaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…