Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

 
Ndoa yangu nimeona nianze na mambo ya msingi kama ukumbi, usafiri, kuandaa kamati na vinywaji na chakula. Ila mwenza sijapata ndio nawaza kuanza kutafuta.

Sauti ya mpenda sherehe akiwa anawaza (mabinti walio wengi)
 
Ndoa ... Kadiiri inavopungua gharama zake ndo jinsi uimara wake unavyoongezeka.
Huu ni ushuhuda wangu tu naweza pingwa pia.
 
Niko Tayari bila kupepesa macho, achague yeye sasa.. tukitoka kufunga ndoa twende kazini au twenzetu home tukapige game
@Chakorii Ni vile tu ulishawahiwa ningenyoosha huko dm
Ila kama vp tufanye mapinduzi..
 
Na kutegemea mifuko ya watu Kama ndio pesa ya kuendeshea sherehe.
Kuna watu unakuta wamezalishana mpaka watoto 3 na bado wanataka sherehe.
Hivi hamkujiandaa?
Mpaka watoto wanafika 3?
 
Wengi wao uwezo hawana tunabaki kusumbuana na Michango!
 
Mimi bila sherehe kabisa 🀫 nawish iwe japo ndogo tu ya wazazi wetu pande zote, sisters and brothers etc, tutakiane heri na tuombeane hapo. Misosi simple tu hakuna vilevi basi imeisha.

Ila hata isipokuwepo si mbaya sana.muhimu ni furaha yangu na huyo babe hubby.
 
Mnyaki kama mnyaki 😚😚😚😚
 
Sijui tunakwama wapi kulikamilisha hili jambo la kheri. Mbona tunaendana kabisa Mom!!

Habari za asubuhi?
 
Chukua bodaboda, mshikaki wa aina bibi mbele bwana nyuma mpaka kanisani au bomani. Banda ya kufunga ndoa mwendo wa bodaboda mpaka nyumbani na kuwajulisha majirani. Ndoa tayari!
 
wote introverts?? ana miaka mingapi?
 
Imeisha hiyooooooooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…