Kuna uhusiano wowote kati ya avatar yako na wewe?Sherehe baada ya ndoa ni anasa zisizo na ulazima.... binafsi napendelea ndoa simple tu... wawepo mashahidi na wazazi/ walezi inatosha. Na kama tutakuwa na pesa kidogo tutatoa sadaka kwa Yatima kwa ajili ya kumshukuru Mungu kutuvusha salama.
Kwa research yangu fupi ni kwamba ndoa nyingi zilizokusanya watu kwa sherehe kubwa huwaga hazidumu maana zinakuwa zimegubikwa na showoff na maigizo yaliyokosa Upendo ndani yake, kazi yao kubwa huwaga ni kufurahisha watu ili waonekane hawajafulia.....! Ngoja niishie hapo.
Kuna uhusiano wowote kati ya avatar yako na wewe?
Basi niseme tu unastahili ndoa yenye mbwembwe na matarumbeta juuUhusiano upo mkubwa tu....
Unatembea na 'silaha' bastola. Heri yake yeye mwenye kujinafasi katika utajiri huu wa mnofu, naamm kwa hakika anakula mema ya nchiUhusiano upo mkubwa tu....
Kimsingi ya mkeka unafungishwa hufungi, hakuna aichaguaeNilifunga ya mkeka.
Basi niseme tu unastahili ndoa yenye mbwembwe na matarumbeta juu
Nakupeleka uchagani... Hakuna harusi simple kuleHahaaaa hahaaaa mimi nataka simple tu
Nakupeleka uchagani... Hakuna harusi simple kule
Unatembea na 'silaha' bastola. Heri yake yeye mwenye kujinafasi katika utajiri huu wa mnofu, naamm kwa hakika anakula mema ya nchi
Kwamba hayupo ambaye zinamnyeshea hizo 'heri' ? Ama what I see is not what gets on the tableHapo kwenye heri hapo.....
Ngoja nikuvushe server mamiii hahahaHahaaaa hahaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]napata wasiwasi kuamini kama hii comment imeandikwa na mdada.....wanawake wengi ninaokutana nao au ninaokuwa nao kwenye mahusiano huwa wanatamani harusi na sio ndoa....yaani anakuwa anapata picha namna atavyovaa shela e.t.c kama ulichondika ni kweli basi wewe ni mwanamke wa aina yako peke yako....Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? [emoji23]