Kasome Post namba 402 uone utetezi wa kijinga wa hao wenye hotel unaowatetea hapa.Pita hivi[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Wenye hotel hawawezi kuwa na Utetezi wa msingi.....Kasome Post namba 402 uone utetezi wa kijinga wa hao wenye hotel unaowatetea hapa.
Halafu baada ya kuona wamefanya ujinga wakaamua kufuta tweet wapumbavu sana.
Hilo suala la uchunguzi na kesi kuamuliwa mahakamani ndio kitu tunataka kusikia.
Kasome Post namba 402 uone utetezi wa kijinga wa hao wenye hotel unaowatetea hapa.
Halafu baada ya kuona wamefanya ujinga wakaamua kufuta tweet wapumbavu sana.
Hii ni response ya kijinga binafsi kuwahi kuiona. Hii Warere beach ukisoma maelezo ya Zainab na meneja, unaona kuna shida kubwa kwenye hio hotel,kuna mambo hayapo sawa..mlinzi wao wanamkataa,hata kama wame mu outsource,simu hazifanyi kaz, hakuna watu kwenye vitengo vyao, eg. mapokezi, wanatakiwa wawajibike, then waombe msamaha kisha wadeal na watu wao sasa waliokosea, huyu dada ana evidence ambazo kila mwenye akili timamu anamwelewa..unless wale wachache wanaojitoa akili ..Zanzibar kama ilivyo watu wa kila sehemu ..kuna wezi, wabakaji,wanaojiuza n.k. Hatuwezi watetea kama wao hawapo hivyo wakati ni matatzo kila sehemu yapo..waombe msamaha..walipe damage..maisha yaendelee..otherwise Zainab atakuwa hajatendewa haki..ukitetea dhulma kwa Zainab, itamtokea mtu mwingineKwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha.
Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili kulimaliza.
But Warere Owner walipokataa kumpa kiasi hicho akaondoka kwa jazba na kuahidi ataichafua na kuiharibia hoteli kupitia mitandaoni na waniger wenzake.
Kama kinapanda soma hapo chini[emoji1484];
View attachment 2190611
Tumia akili ndgo tu,ukienda bank au geast House mlinzi akakupga kofi then unaenda kwa meneja kulalamika juu ya hilo then eti meneja anakujibu "Huyu sio mfanyakazi wetu".nenda kwenye kampun yao ukashitaki..is it possible?ikiwa ndo hivyo basi itakua ni upumbavu wa kiwango cha lami..binafsi hata mimi siwez kubal..nitakomaa na meneja..mana mlinzi nimemkuta kwenye property la meneja,ndo mana nasema Zainab hakutendewa haki..hata defence ya Warere ni za hovyo..sijui hata kama hao staff wao wanajua issue zozote za customer care..Nadhani wamesema sio mfanyakazi wao. Na kwa maelezo yao walimshauri Zainab amfungulie mashtaka yeye, kampuni iliyomuajiri na ikibidi hata hoteli.
Zainab akakataa (labda kwa kutambua kuwa itakuwa usumbufu hasa ukizingatia kuwa haishi Tanzania) akadai alipwe tu pesa.
Amandla...
Wanapenda sana wamasai pesa yenyewe hana huyo ChangudoaHaya wenye hotel wanazidi kupuyanga tu.
Wao wanadai hii picha ilipigwa before hiyo incident kutokea hotelini.
Na kwa madai yao eti huyo masai ndio huyo mwanaume waliyekuwa wamekubaliana. Kwa maana hiyo wanamaanisha huyo ndio alikuwa mlinzi kwenye hiyo hotel.
Na hapo wanasema huyo dame na huyo mlinzi walikuwa spotted early as kama wanavyoonekana pichani.
Tukija upande wa yule dada kwenye zile picha za polisi huyo masai hayupo.... Anaonekana mtu mwingine yule mwenye tishet ya blue ambaye inasemekana ndio mlinzi, kwa maelezo ya Zainab.
View attachment 2192157
Bad enough baada ya hiyo hotel kuona wamepuyanga hiyo tweet wakaamua kuifuta.
Tena uzuri Zainab aliitolea hiyo picha maelezo asubuhi.
Hahah watu hawaoni kabisa hizi holes za wenye hotel.
Ukisoma allegations za Zainabu unaona kabisa ni za Mchongo.Hii ni response ya kijinga binafsi kuwahi kuiona. Hii Warere beach ukisoma maelezo ya Zainab na meneja, unaona kuna shida kubwa kwenye hio hotel,kuna mambo hayapo sawa..mlinzi wao wanamkataa,hata kama wame mu outsource,simu hazifanyi kaz, hakuna watu kwenye vitengo vyao, eg. mapokezi, wanatakiwa wawajibike, then waombe msamaha kisha wadeal na watu wao sasa waliokosea, huyu dada ana evidence ambazo kila mwenye akili timamu anamwelewa..unless wale wachache wanaojitoa akili ..Zanzibar kama ilivyo watu wa kila sehemu ..kuna wezi, wabakaji,wanaojiuza n.k. Hatuwezi watetea kama wao hawapo hivyo wakati ni matatzo kila sehemu yapo..waombe msamaha..walipe damage..maisha yaendelee..otherwise Zainab atakuwa hajatendewa haki..ukitetea dhulma kwa Zainab, itamtokea mtu mwingine
Kwani mfumo wa Haki Jinai tanzania ukoje kwa mgeni?Nadhani wamesema sio mfanyakazi wao. Na kwa maelezo yao walimshauri Zainab amfungulie mashtaka yeye, kampuni iliyomuajiri na ikibidi hata hoteli.
Zainab akakataa (labda kwa kutambua kuwa itakuwa usumbufu hasa ukizingatia kuwa haishi Tanzania) akadai alipwe tu pesa.
Amandla...
Upuuzi tu, tuhuma za uhalifu wa ngono sio mpya Zanzibar.
Hao wenye hotel wanaona ni sawa wafanyakazi wao kufanya ngono na wageni?? Hakuna work ethics huko visiwani?
Na kwa kuwa wanajua Hotel ingeogopa kuchafuliwa so walidhani ni rahisi watalipwa.Wa niger wengi ni matapeli wanatengeneza fursa ya kulipwa pesa nyingi maeneo mbali mbali hasa Afrika kusini
Na ni kosa pia maana wanajipigia pigia tu. Huko kwao huwezi fanya hivyo bila ruhusa maalumKupiga picha na Wamasai Tanzania kwa watalii ni kivutio kwao kuweka kumbukumbu.
Kwa Upande wa hotel hicho kiti hakipo. Mlinzi atoke kwenye lindo aingie kwenye vyumba vya wageni? May be kuiba pesa ila sio kutafuta Dyudyu big no.Kama mahala pa kazi kuna sera ya maadili ya kazi basi jambo hilo linapaswa kuwa mwiko.
Kuruhusu tabia za hovyohovyo pahala pa kazi basi matokeo yake ndio hayo sasa, ujinga wa mfanyakazi wako mmoja unaichafua biashara yako yote.
Huyo mlalamikiwa hakuwa mfanyakazi wa hiyo hotel.Upuuzi tu, tuhuma za uhalifu wa ngono sio mpya Zanzibar.
Hao wenye hotel wanaona ni sawa wafanyakazi wao kufanya ngono na wageni?? Hakuna work ethics huko visiwani?
Ubakaji? Mkuu acha uongo. Wizi wa hapa na pale wakudokoa upo kama ulivyo maeneo.mengine lakini sio ubakaji.
Huyo m niger alikuwa mwizi. Alitaka pesa za bwerere kwa kujilengesha kwa mlinzi kisha kumbambikia tuhuma za uongo.Kwa Upande wa hotel hicho kiti hakipo. Mlinzi atoke kwenye lindo aingie kwenye vyumba vya wageni? May be kuiba pesa ila sio kutafuta Dyudyu big no.
Usitetee uhalifu..Ukisoma allegations za Zainabu unaona kabisa ni za Mchongo.
Eti alisikia Mtu anampapasa maziwa akidhani ni ndoto[emoji1787][emoji1787]
Hivi kuna mwanaume anaweza kufanya hivyo kwenye hotel? Au nyie mnazungumzia hotel kama hivyo vichochoro vyenu vya kwenye Short Time vy elfu tano huko Madongo kuporomoka.
Hotel industry ni Mahali palipostaarabika sana.
π π π Kwa kweli inatia aibu sana.Ngoni haina mipaka na huwezi kumpangia mtu nani amle dyudyu.
Wageni wengi wanatoka huko kwao na stress wanataka kupoza moyo afrika kwa wanyamwezi wasio na stress wala future.π€£π€£
Achilia hivyo yaani mtu anakuja kukubaka anaanza kukutomasa huku anakuita babe babe[emoji23][emoji23][emoji23]Ukisoma allegations za Zainabu unaona kabisa ni za Mchongo.
Eti alisikia Mtu anampapasa maziwa akidhani ni ndoto[emoji1787][emoji1787]
Hivi kuna mwanaume anaweza kufanya hivyo kwenye hotel? Au nyie mnazungumzia hotel kama hivyo vichochoro vyenu vya kwenye Short Time vy elfu tano huko Madongo kuporomoka.
Hotel industry ni Mahali palipostaarabika sana.