Haya wenye hotel wanazidi kupuyanga tu.
Wao wanadai hii picha ilipigwa before hiyo incident kutokea hotelini.
Na kwa madai yao eti huyo masai ndio huyo mwanaume waliyekuwa wamekubaliana. Kwa maana hiyo wanamaanisha huyo ndio alikuwa mlinzi kwenye hiyo hotel.
Na hapo wanasema huyo dame na huyo mlinzi walikuwa spotted early as kama wanavyoonekana pichani.
Tukija upande wa yule dada kwenye zile picha za polisi huyo masai hayupo.... Anaonekana mtu mwingine yule mwenye tishet ya blue ambaye inasemekana ndio mlinzi, kwa maelezo ya Zainab.
View attachment 2192157
Bad enough baada ya hiyo hotel kuona wamepuyanga hiyo tweet wakaamua kuifuta.
Tena uzuri Zainab aliitolea hiyo picha maelezo asubuhi.
Hahah watu hawaoni kabisa hizi holes za wenye hotel.