Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,483
Alikataa kwa kua hana ushahidi.Nadhani wamesema sio mfanyakazi wao. Na kwa maelezo yao walimshauri Zainab amfungulie mashtaka yeye, kampuni iliyomuajiri na ikibidi hata hoteli. Zainab akakataa ( labda kwa kutambua kuwa itakuwa usumbufu hasa ukizingatia kuwa haishi Tanzania) akadai alipwe tu pesa.
Amandla...
Ndo yeye[emoji28]
Come down Mzee... You need an extra [emoji102] to see what is outside the box.Which Tanzanians are inferior?Did you read, hear, check all the evidence put forward by the lady? Would you have the same opinion had it been your sister, mother, daughter?
This issue has been collaborated by the hotel, police, Russians that she took refuge to.The responsible organs need to come out and give out answers.
Alikataa kwa kua hana ushahidi.
Mahakamani asingeweza kushinda kwa kua hana ushahidi wa kikicho tokea ndani. Ushahidi wote ni wa baada ya tukio ambao haujastify kua kweli tukio lilikuepo ukiachia mbali nani kafanya hili tukio.
Tuwakaribishe ila hoteli zetu ambazo hazina CCTV waziwekeThis is organized crime, yaani wameangalia Royal Tour inazinduliwa. Ila plan yao imefeli kabisa. Watanzania hatuna ujasiri wa kufanya unyama wa hivyo. Nadhani next time hakuna kukaribisha Mgeni toka Nijeria
🤣🤣🤣🤣utamu haujawahi kumuacha mla kimasihara salama
Eti mbakaji akatoka kwenda nje kutafuta condom. This stupid lady ana PhD ya uongo
Hili ndo la msingi!Twendeni google tukatai rate warere hotel
No work ethics?Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha.
Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili kulimaliza.
But Warere Owner walipokataa kumpa kiasi hicho akaondoka kwa jazba na kuhaidi ataichafua na kuiharibia hoteli kupitia mitandaoni na waniger wenzake.
Kama kinapanda soma hapo chini[emoji1484];
View attachment 2190611
Niger ni tofauti na Naija/Nigeria..Waniger Ni matapeli wa kimataifa
Tuwakaribishe ila hoteli zetu ambazo hazina CCTV waziweke
Aisee!Hao wapo kikundiwanafanya hivyo wapo wengi nenda twitter kajionee
Kweli mkuuHili ndo la msingi!
Nitaenda night moja Werere,nimepaangalia ni pazuri sana