jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Kwa nchi za wenzetu miaka 23 siyo mtoto nimtu mzima anayejitegemea kimaisha ukienda nchi za watu ukisema miaka 23 ni mtoto watakushangaaHaka Ni katapeli tu...katoto la miaka 23 kanazuruzura peke yake kanatafuta Nini?wanaigeria wanajulikana kwa mbinu zao