Warusi waikimbia ngome nyingine kaskazini kwa Kherson, kama kawa Ukraine waendeleza kipigo

Warusi waikimbia ngome nyingine kaskazini kwa Kherson, kama kawa Ukraine waendeleza kipigo

Sitaki kushabikia vita, maana najua na nafahamu vizuri maimivu ya vita mliokuwa kwenye vikosi m23 na ila PK kagombana na BT nahisi mnaelewa vizuri nasema nini, ila ni kwamba Ukraine [emoji1255] hata kama ikatokea akashindwa hii vita bado Urusi inatakiwa ijiulize kama bado ana ubavu wa kuivimbia Marekani hata sasa
Hana huo uwezo na kwa sasa anatishia Nukes pekee, hakuna silaha aliyoacha kuitumia

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha kuna watu mwanzoni walikua wanasema Ukraine hawezi kurudisha hata sentimeta ya ardhi yake lakini sasa upepo umegeuka warusi wanakula mikong'oto si mchezo. Kharkiv, Kupiansk, Izyum,Snake Island,Balakliya,Lyman,nk zimerudi. Halafu kuna watu utawasikia eti huyo Ukraine amekomboa vijiji na miji mingapi?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kama Masanja anavyojipa moyo kwa mkewe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ngoja tuone Putin atafanya nini maana ardhi ya Urusi inashambuliwa kwa mujibu wa "Annexetion" aliyoitangaza juzi.Lakini naona kabisa ile Mikoa minne ni ngumu sana kuikalia kama hali ndiyo hii kwa sasa.
Kherson inakombolewa kabla majira ya baridi kuanza. Na ndo maana Ukraine wamefuta mobilization yao kwani ingepelekea wanajeshi wengi kufa baridi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Rusia wanajua kabisa hawana uwezo wa kupigana na Marekani. Angalia kwa mfano silaha wanazompa Ukraine ni zile ambazo kwao

Sasa hivi na wao wameanza kushituka. Wameanza kukiri kuzidiwa na Ukraine. Juzi amenishekesha Waziri wa Ulinzi wa Rusia, anajitetea anasema Ukraine wamefanikiwa kukomboa Lyman kwasababu wametumia US weapons na Western intelligence. Mhaho wa kushindwa vita upo juu sana huko Rusia
Hata mimi nakiri kuwa kabla ya Vita US, NATO walikuwa wakimuogopa sana Russia ila kwa sasa wanamvimbia watakavyo, maana wanajua silaha zake ni butu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
mpaka leo Putin haaamini una ambiwa alikutana na madude hayo yakuitwa Javelin na NLaw msafara uli yeyushwa ghafla na jamaa hajawahi kufikiria tena kurud kyiv ame koma bwana Punyoko
Na hapo ndo alipoteza wanajeshi wake wengi kwa wakati mmoja maana ule msafara wote ulipotea ghafla

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Time will tell!! Ukraine has a more modern army, which is well trained in modern warfare tactics in the UK and USA while Russia is still driven by Soviet Union military tactics of haphazard artillery fire only. Look at how Russians waste their artillery munitions.

View attachment 2376979
Lengo lao ni watu wafe njaa na ndo maana wanapiga mashamba ya ngano

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wale wanajeshi wa Urusi walikuwa wanaambiwa ''nyie ni best of best, hamshindwi na lolote. Wakapanga mstari wa vifaru na magari kuelekea Kyiv. Kumbe wanajeshi wa Ukraine wanawalia timing tu. Kuna kitu kinaitwa ''ambush''. Wakawasubiri wakaingia kwenye mtaa mwembamba wenye nyumba pande zote. Mara bang! Wakapiga kifaru cha mbele na cha nyuma ya mstari. Halafu wakaangusha kipigo kwa msafara wote. Wakijaribu kurudi nyuma, n'chale, wakitaka kwenda mbele, n'chale.
Bila kusahau kilichowakuta hostomel airport, hawatakuja sahau milele, ile landing yao waliuawa wanajeshi wengi kuliko

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mbona mlikaa kimya Taifa la Yugoslavia lilipo vamiwa na kuwa carpet bombed na Merikani na washirika wake, Rais kuondolewa madarakani unceromoniously,taifa kusambaratishwa vipande vipande kwa kuhibua vinchi nchi vidogo vidogo the so called idepedent nations - Urusi ikitaka kufuata mkondo mnaijia juu kumbatisha Putin majina ya kila sampuli kwamba ni binadamu muovu sana Duniani - hamsemi lolote kuhusu Bill Cliton na Madeline Albright kuhusu Yugoslavia.
Kwani watakaje?
Na tukalipua ubalozi wa China

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hii ngoma itakuwa ngumu sana kwa Putin. Kuna wavamizi/colonist/wanyang'anyi na kuna watetezi wa nchi yao wazelendo/wanaonewa. Hata morali ziko tofauti. Russia ataharibu nchi ataua atafanya fujo zote ila mwisho wa siku lazima atatema mzigo. Wa moto mno! [emoji16][emoji23][emoji1787][emoji28]
Twasubiri kumpelekea bill za reparations

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilipoona anazunguka mara Turkey, mara kwa waarabu Iran sojui nikajua huyu kaishiwa pumzi.Yeye Putin aliishiwa mbinu alipoanza vita mwenzie hakuwa hata na bunduki alikuwa anaomba msaada na kulia lia ndio wakati nilijua Putin siku tatu tu atachukua kila kitu sio vijimbo vyenye watu 1.2 ×4 haaaa
Mi mwenyewe nilijua Zelensky anakimbia nchi, maana mashambulizi yalianzia Kyiv kurudi nyuma, mshangao UK wakapeleka NLAW

Maxar technologies wakaonesha msafara wa KM 64 kuelekea Kyiv, baada ya siku moja msafara umebakiza KM 10 kufika Kyiv

Heee ghafla vifaru vikaishiwa mafuta, watu wakaona warudi walipotoka tu...


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mnacho sahau ni kwamba Ukraine ilikuwa ni sehemu ya Soviet Union - Russia ilikubali wa hiari yake kuiachilia Ukraine iwe huru, hakuna aliye walazimisha Warusi kuipatia uhuru Ukraine, hakuna.

Tatizo la Ukraine linasabishwa kwa kiasi kikubwa na hulka za Zelensky na wafadhili wake wakubwa - mfano kwa nini Zelensky anawatisha tisha ethnic Ruasians kwamba wasizungumze lugha ya kirusi hata wakiwa wanazungumza na
familia zao,je,sisi hapa Tanzania tumewahi kuweka sheria ya raia kukatazwa kuzungumza lugha zao za asili wanapokuwa majimboni mwao ya asili?? Serikali ya Zelensky ilifikia hatua mpaka ya kufunga raia wanao zungumza Kirusi,wakafungia TV ,radio na magezi yaliyo kuwa yanatumia lugha ya Kirusi, sasa mlitegemea raia wa kusini mashariki mwa Ukraine wangefanya nini ili kuepusha unyanyasaji wa Serikali ya Zelensky husio na kifani dhidi yao - ndio maana majimbo hayo ya kusini mashariki yaliomba msaada kutoka kwa jeshi la Putin ili kukomesha udhalimu walio kuwa wanatendewa na Zelensky na gege lake ovu la Azov neo NAZI, hizo ndizo sababu za msingi zilizo ilazimu Russian kuingilia kati, lakini nchi za magharibi zinajifanya kulifumbia macho suala hilo - badala yake kumulaahumu na kumshutumu Putin 24X7. kujifanya wao ni malaika.

source
Hakiya mngu sidanganyi
 
Hapana, nataka wasomaji wapate the other side of the story kutoka kwa truly independet correspondents ambao wako front line, sio hawa ambao ni overly biased wakitekeleza ajenda zao za siri kwa kupotosha wasomaji, sisemi jeshi la Urusi na wanamgambo hawapati hasara au kuuwawa -lakini idadi ya vifo vya wanajeshi wa Urusi vinatiwa chumvi mno, wakati mwingine jeshi la Zelensky linaoyesha uharibifu wa vita ya 2014 huku wakijua kwamba zana,vifaru na magari yaliyo kuwa yameharibiwa kwa wingi in 2014 ilikuwa predominatly Ukranian stuff not Russians.

Hawakati tamaa bado wanaendelea kutuletea usanii wao, kwa bahati mbaya kuna baadhi ya watu wanakubali kulishwa matango pori ya Zelensky bila ya kuhoji kwa kina.
Nime fatilia wachambuzi Wengi wanasema offensive Huwa ni ngumu kuliko defenceve.
 
Hana huo uwezo na kwa sasa anatishia Nukes pekee, hakuna silaha aliyoacha kuitumia

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mhhh. Mbona hata wenzake wanazo hizo Nukes tena ni more advanced kuliko hayo madude yake ya mwaka 47 na labda yamesha-expire? Siku atakapojaribu kutumia ndipo atakaposhangaa kuliko anavyoshangaa sasa. Akumbuke ule msemo "Avumaye baharini papa kumbe wengine wapo"
 
Hii ngoma itakuwa ngumu sana kwa Putin. Kuna wavamizi/colonist/wanyang'anyi na kuna watetezi wa nchi yao wazelendo/wanaonewa. Hata morali ziko tofauti. Russia ataharibu nchi ataua atafanya fujo zote ila mwisho wa siku lazima atatema mzigo. Wa moto mno! 😁😂🤣😅
Kwa sasa askari wengi wa Urusi, hasa hawa waliopatikana kupitia 'Partial Mobilization' wanapigana kinyume na hiari yao maana wanajua vita hiyo haina maslahi kwa nchi yao, bali kwa Putin binafsi na genge la wahuni wenzake. Kwa mazingira kama hayo uwezekano wa Putin kushinda ni zero
 
Mwenyewe naona kama tulikuwa tunaambiwa ana mifumo ya maana hadi watu wakafikia kuidharau ule mzigo wa kiyahudi Israel alafu leo anafyekwa na visilaha vya kijinga hivi
Alijisahau sana akajilimbikizia machuma-chuma yanayotumia mfumo wa Analojia kumbe wenzake wameadvance wanatumia Digital. Wenzake wanapiga na kumfumua wakiwa ofisini wakati yeye anapeleka mlolongo wa mavifaru outdated 64km.eti kwenda kuichukua Kyiv ndani ya masaa 72. Stupid idiot boy.
 
Back
Top Bottom