Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Wasabato kaeni macho na hii kwaya

Status
Not open for further replies.
Hii debate tulishaimaliza mimi na Kiranga na tumeshakubaliana kuwa . Mungu yupo, japo si kwa kukiri kwa maneno ila kwa BODY LANGUAGE!, Tatizo lako wewe naona liko kwenye ufahamu. Nashauri umsikilize mtumishi wa Mungu Padre Dr. Faustine Kamugisha Upendo TV kila siku jioni na asubuhi wiki hii, aongeze ukarbati kwenye kichwa chako. Ukishakosa ufahamu sahihi, halafu ukawa hujui kuwa umekosa ufahamu sahihi, ni matatizo. Lakini sasa Padre Dr. kamugisha anasema kuwa MATATIZO SIYO TATIZO. Huyu mtumishi naamini anaweza aawa wa msaada wa pekee sana kwako!
Huyo Padre aendelee kutoa neno, likusaidie wewe mkuu. I'm not in need.
 
Kurasini now naona Kibaso amechoka hawana nyimbo nzuri kama zamani
Yaan wanajua mno...mm siku hiz nimeacha mapenzi na kurasin sda..nimegundua wanaimba kwa ngv sana mishipa hyoo...golden gate is the best .wataliaaaa uwiiiii jua namwezi vikianguka..dah...!
 
Mkuu hebu fafanua hawa ndugu ni wasabato wa wapi?
Kabisa ni kweli, alikuwa nmb and now amefukuzwa hayo yote ni sawa the ishu is ngono zinavyofanyika pale ni hatari, fanya uchunguzi uwez kuamini
 
Sikiliza. Mke hachungwi. Utakufa kwa presha.
Kwa hiyo sasa unaamini hatongozwi?
Unaweza kukuta hadi mdogo wako alishamtongoza, lakini kwa kutunza heshima ya familia mkeo amekausha hajasema. Hata babako mzazi anaweza kumtongoza mkeo. Wanawake wanakutana na vituko vingi hawasemi.
Ukimchunguza bata hutomla.

Ww uko matured enuf!..
 
Waziri Barnabas wa NMB au alikuwa Chief Finance officer
 
Hii haikupi uhalali wa kuishi na mwanaume bila ndoa, unachofanya ni uzinzi tu.
Uzinzi wa mtu fulani hauhalalishi kuwa na wengine nao waingie kwenye uzinzi.
Kama umewekewa vikwazo kwa sababu ya uzinzi wako hiyo ni halali kabisa, acha uzinzi vikwazo viondolewe.

Sio Mimi Ila wasibague dhambi na dhambi. Halaf ww ndo umetumwa kulitetea kanisa?? Haha dhambi haifutwi kwa kutetea dhambi. Fwatilieni kwaya km yanayosemwa ni kweli mkemee sio kuja JF kupamba pamba. Bye
 
Kurasini now naona Kibaso amechoka hawana nyimbo nzuri kama zamani

Kibaso anaumwa hayupo active kiviiile Ila wapo waalimu wengine km Akina oola, makwasa n.k ambao wanatunga nyinmbo japo sio nzuri km zamani
 
Sio Mimi Ila wasibague dhambi na dhambi. Halaf ww ndo umetumwa kulitetea kanisa?? Haha dhambi haifutwi kwa kutetea dhambi. Fwatilieni kwaya km yanayosemwa ni kweli mkemee sio kuja JF kupamba pamba. Bye
Mtenda dhambi ndiye wa kukemewa,siyo kuleta majungu JF. Mwenye dhambi lazima aonywe sana aache dhambi. Kama kuna mtu unamjua ametenda hiyo dhambi ya uzinzi, kuishi na mwanaume bila ndoa, kamkemee huyo, usipoteze muda wako na nguvu zako kwa wasiohusika.
 
dusabimana, si ni maeneo ya huku kwetu nyamiaga au, nakatunga maana walikuwa wengi pindi nakaa huko
nilikuwa napita pale kambi ya FFU navuka uwanja wa ndege naingia Musoma primary School nikiwa bado Dogo!
 
As
dusabimana, si ni maeneo ya huku kwetu nyamiaga au, nakatunga maana walikuwa wengi pindi nakaa huko
Asee mimi nilikuwa naishi Majita road! Maeneo hayo Kamunyonge barabara inayopitia kwa Mzee Mtalagala Chirangi ndio ilikuwa njia yangu kwenda kwenda School,Nyasho au Town.
 
Fanya yako'hapa duniani hakuna malaika.
FB_IMG_15738357945006815.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom