Hii debate tulishaimaliza mimi na Kiranga na tumeshakubaliana kuwa . Mungu yupo, japo si kwa kukiri kwa maneno ila kwa BODY LANGUAGE!, Tatizo lako wewe naona liko kwenye ufahamu. Nashauri umsikilize mtumishi wa Mungu Padre Dr. Faustine Kamugisha Upendo TV kila siku jioni na asubuhi wiki hii, aongeze ukarbati kwenye kichwa chako. Ukishakosa ufahamu sahihi, halafu ukawa hujui kuwa umekosa ufahamu sahihi, ni matatizo. Lakini sasa Padre Dr. kamugisha anasema kuwa MATATIZO SIYO TATIZO. Huyu mtumishi naamini anaweza aawa wa msaada wa pekee sana kwako!