Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Mchawi MB hapa
20240929_204655.jpg
 
Hapo Zuchu angekaa kimya tu, au alikuwa kesha lewa? Utajibizana Na watu maelfu....

😂😂
Kuna show moja 50 cent alirushiwa chupa, kumbe kamuona mrushaji, jamaa kajirusha kwa mashabiki, aise yule shabiki alijuta vitasa alivyokula.. ule mwili wa 50 imagine ngumi yake 😂
 
Hapo Zuchu angekaa kimya tu, au alikuwa kesha lewa? Utajibizana Na watu maelfu....

😂😂
Kuna show moja 50 cent alirushiwa chupa, kumbe kamuona mrushaji, jamaa kajirusha kwa mashabiki, aise yuke shabiki alijuta vitasa alivyokula.. ule mwili wa 50 imagine ngumi yake 😂
Na ye angejirusha kwa mashabiki wamtomase kama pididi alivyokua anamtomasa bosi wao
 
Mji wa mbeya ukitaka mafanikio wamuondoa Tulia,mji utatulia.
Na waachane kuunganisha wasanii na wanasiasa.
 
Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka.

Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy. Hawa ni wendawazimu yaani mke wa P.Diddy aje kuperform Tanzania? tena Mbeya? hawapo serious. kesho na keshokutwa watakuja kudai apelekwe Mke wa Dr. Dre au wa Jay Z au hata mke wa Justin Timberlake.

View attachment 3110354
Ni Ushamba,
 
Back
Top Bottom