Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Su aliwaambia inama niwapake mafuta πŸ˜„
Mbeya hard-core bana

Ova
 
Hapo Zuchu angekaa kimya tu, au alikuwa kesha lewa? Utajibizana Na watu maelfu....

πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna show moja 50 cent alirushiwa chupa, kumbe kamuona mrushaji, jamaa kajirusha kwa mashabiki, aise yule shabiki alijuta vitasa alivyokula.. ule mwili wa 50 imagine ngumi yake πŸ˜‚
 
Na ye angejirusha kwa mashabiki wamtomase kama pididi alivyokua anamtomasa bosi wao
 
Ngumi kilo 150 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Yeye akaanza na kutukana watu eti
 
Mji wa mbeya ukitaka mafanikio wamuondoa Tulia,mji utatulia.
Na waachane kuunganisha wasanii na wanasiasa.
 
Ni Ushamba,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…