Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Chai dadeki
Cc Hance Mtanashati
 
Wanakwambia kuna watu wamezimaliza,kwa jinsi technologies zilivyo sophisticated yaani umalize frequency.Bora ww umeiweka kielectronics zaidi.
Hahaa, Kwenye figisu za kibongo Sibishi huenda unaweza uende kweli uambiwe hivyo, Ila practically haiwezekani..

Ufanyaji kazi wa redio hautofautiani sana na simu, hivyo ni sawa na uambiwe huwezi ongea na simu maana mawimbi yako kuna mtu anayamiliki,

Simbishii theoretically, ila practically,
Maana kwa futuhi Uongo wowote Ni ruhusa hata unaokinzana na laws kisayansi, na mtu anaongea akiwa mkavu kabisa.

 
Wenyewe wataalamu wanakuambia Bandwidth ni bidhaa adimu na ina limit. Kwa hiyo unapoambiwa Kwa hapa Dar watu tayari wameshanunua na Wana hold Sio ujinga..
Mimi mwenye ni mtaalam hata hapo TCRA nina wataalam ambao nimepiga nao wengine O-Level,A-Level na Chuo. So hizi issue za Stochastic Signals, Diterministic signal,Electromagnetism, sijui Mieletronics, modulation and demodulation,Radio and TV Broadcasting, Transimission nishaachana navyo sababu nipo kwenye field nyingine japo nilivisoma chuo so ninacho kiongea na kijua.

Kwanza kitendo cha kuhold maanake serikali inakosa mapato kwa hiyo frequency yeyewe, pili kupitia hiyo frequency serikali inakosa kodi kupitia wafanyakazi wa hiyo redio sababu nao wanakuwa walipa kodi. Halafu dunia ya sasa technology ipo very sophisticated sio rigid kama mnavyo fikiri.
 
Waache maana wanang'ang'ania ujinga wao,mimi nimeongea dada yangu Nifah kaniita mlugaluga.
 
Jua unavyojua na Mimi najua nachojua.
 
Kuna mkataba ambao Ndomo kaingia na madon fulani huko SA na mkataba huo unamfanya akose umiliki wa mpaka social medias zake. Sasa amesalia kuwa na unverified accounts na inabidi kila release atoe kupitia kolabo.

Alifurahia bilioni zile alizoingiziwa ktk akaunti lakini hakujua kuwa vitamfanya awe mtumwa baadaye.

Hana raha na maisha ya kujitapa anayapenda. Lazima akwepe kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…