Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

Yes zipo ila je zinaruhusiwa kuonekana katika afrika yote? Je mtu wa Nigeria anaweza kuiona? Maana vifurushi vya DSTV na providers wengine vipo restricted regional-wise.
Afadhali wafafanulie vizuri mkuu maana mimi nachoka sasa,kweli uwalimu ni wito.
 
Mbona mnakuwa na sifa za uongo DSTv kuna Clouds Plus inaonyeshwa DSTv kwa zaidi ya miezi miwili sasa,pia kuna Safari Channel ya TBC au unadhani Entertainment ni muziki na mpira tu.
Fungua channel 296 utaipata wasafi TV. 295 ETV na 294 clouds plus
 
Dstv wa huu ushamba watakwambia wamekuweka kweny dstv kumbe unaonekana Tanzania pekee unafikili TV y majizo inaonekana east Africa nzim
Safi mkuu mueleweshe maana watu hawaelewi masuala ya ricensing ya coverage yakoje na local au international stations zinaoperate vipi,
Wao wakisikia channel iko dstv wanajua basi iko africa nzima kumbe ni local strictly kwa nchi yako au region fulani.
 
Tayari wasafi TV ipo DSTV channel number 296
 
Ulishawai dadisi hiki kitu ukafanya prove
Hivi unajua local TV station's ni nini na international TV station's ni nini?
Je hapa bongo ni zipi hizo?
Ukijua hivyo hautauliza tena maswali ya hivyo.
 
hakuna alisema ni ya kwanza kuingia dstv bali jamaa kasema TV ya kwanza kuonekana Africa Continent nzima!
Exactly mkuu,kuwa dstv sio sababu ya Tv fulani kuwa international,nyingi zinakuwa ni local tu zinaonekana nchi hio hio tu,mfano ukienda malawi kwenye dstv kuna channel za Malawi nyingi ambazo ukija tz hazipo kwenye dstv,maana sio international.
 
Dstv anakuja vizuri naona kaanza rudisha Channel za bongo taratibu
Yes of course but nyingi ni local,available only in Tanzania because most are local,and not international,ni tbc tu ndio international nadhani,
Then ndio hao wasafi TV wanaodai wanataka sio kuwa local bali international,
Across Africa.
 
South Africa hazipo mkuu hizo ITV, star TV hazipo SA
 
Umeandika huenda,kumbe nawewe ni debe tupu linakopiga ukelele,unabisha kitu ambacho hata wewe mwenyewe hukijui bure kabsa,kazi kufuata mkumbo utadhani.....
 
Lead each line carefully before you comment! Who said that no other EA entertainment TV in dstv?
Am talking about coverage.
Mkuu ngoja nikukubalie umeshinda maana mahaba hua yana levya, nyie ndio wale mnaodanganywa Donald trump kampongeza Magufuli na mnakomàa mpka povu linawatoka
 
Mkuu ngoja nikukubalie umeshinda maana mahaba hua yana levya, nyie ndio wale mnaodanganywa Donald trump kampongeza Magufuli na mnakomàa mpka povu linawatoka
Wewe ndio umeongea pumba mwenzako ameongea facts na ameeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…