Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Aisee mwenye uwezo wa kusambaza hii video Kwenye Twitter afanye hivyo....
hii TVs ilishafungiwa Kwa ujinga wao na sasa hapa inatakiwa kupigwa chini moja Kwa moja milele
 
Mtukane Yesu upate utajiri
 

Kalipa dola 200 kupiga picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Humo ndani ya ndege mbona jamaa ka ameshalewa K-Vant ana bwabwaja bwabwajaaa

Hii haikubaliki, wahojiwe na vyombo husika
 
Wajifunze kwa wanamuziki the beetles waliosema tu wao ni maarufu kuliko Yesu. Kuna orodha ndefu ya wasanii waliomkashifu Yesu waliyapata wasiotegemea.Wasafi wamwombe msamaha Yesu huko waliko.
Acha propaganda uchwara Wewe,The Beatles hawakupata matatizo yoyote kisa kumkejeri Yesu huo uwongo unautoa wapi ndugu?
Mtu Kama John Lenon alifanyiwa figisu na FBI kisa misimamo yake ya kisiasa lakini sio huo Ujinga unaotuaminisha hapa
Nenda kasome kiundani sio hizo propaganda zako!
 
Wafuasi wa Allah Kama ndo matamshi haya yangaliwalenga,saa hii wangalikuwa barabarani wakimtetea.by the way wafuasi wa Kristo Ni wavumilivu sana
 
K
Angetajwa Mohamed Sasa hivi adhanaa zingekua Zinapigwa tu msikitini huku wakiimba tu Takbiiiir Takbiiiir
Kwahiyo wafuasi wa Mohammed wanastahili kuiga kwa wakristo kua kukejeliwa kwa mtume na kutukanwa kwake,siyo inshu sindiyo?
 
Badala ya kutoa hoja unatoa uharo tu.
Kwani unadhani jamii haijui tabia zenu ya kwamba, '' kumtetea Allah ''
Wapi na wapi binadamu akamsaidia Mungu
Kama ni uharo basi wako umevunda kabisa
Undhani vita vya msalaba (crusades) vilikuwa vya nini?
Sio lazima utudhihirishie uwezo mdogo wa kufikiri ulio "barikiwa'' nao
 
Sasa ikiwa hivyo ndivyo mbona wewe unawaatack mashekhe na uislam kwenye coment yako ya kwanza na si serikali,, Kwani mashekhe ndio waliomtuma? We anza kwanza na huyo nabii shillah na serikali yako na sio kuhuhusisha uislam na mashekhe ktk hili..
 
Sasa ikiwa hivyo ndivyo mbona wewe unawaatack mashekhe na uislam kwenye coment yako ya kwanza na si serikali,, Kwani mashekhe ndio waliomtuma? We anza kwanza na huyo nabii shillah na serikali yako na sio kuhuhusisha uislam na mashekhe ktk hili..
Lengo ni kutoa funzo kwa watu wa 'dini ya amani' kujifunza jinsi ya kureact dini yao inapokashfiwa...au unataka na wakristo wawe wanareact kama mashekhe?
 
Kwani akidhalilishwa kuna shida gani?Si anaweza kujitetea mwenyewe?

Yaani wewe unamtetea Mungu/mtume ambae ana uwezo/mamlaka yote?

Kama yupo na anaishi mwache ajitetee mwenyewe.Yaani wewe ni wa kumtetea Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…