Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Unayosema ni kweli,, lkn huyo niliyemjibu mm yeye badala ya kukemea, anaanza kuhusisha imani nyingine kwenye huo uovuHilo ni tatizo la kijamii sio la kundi la jamii. Wewe kama mwanajamii unatakiwa kukemea ili tusiruhusu upumbavu wa kuchafua imani za wengine uendelee.