Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
21:30 Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukajaalia kwa maji kila kilicho hai? Basi je, hawaamini?Qur'an 21:30 Bing bang,naomba uwongo wa Qur'an kwenye uumbwaji tumboni
Inamaana hao waliokufuru walikuwepo kipindi cha The Big Bang theory mpaka Allah anasema waliona jinsi anazibandua nabado hawamuamini??
Big bang inasema mwanzoni hakukuwa na matter kulikuwa na energy singularity iliyoexplode ikazaaa space,time and matter Sasa quran inasema dunia na mbingu zilikuwa kitu kimoja wakati a)Hazikuwepo kipindi cha big bang na b)Mbingu ilianza kuwepo mabilioni ya miaka na hii dunia ni ya juzi tu. Qur’an 21:30 inasema mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana..kitu ambacho ni uongo hivi vitu havijawahi kuambatana