Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Huyu jamaa hajui anachokisema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee sema badala ya kujadili uhalali wa alichosema nabii huyu mwenye Mtako mkubwa.......watakuja wazee wa blasphemy na kupiga kelele wasafi wafungiweView attachment 2001772
TCRA naomba muone
=====
UPDATES:
======
Wasafi FM waomba radhi kutokana na hii Video inayosambaa mitandaoni.
Zaidi, soma:
Thread 'Wasafi FM waomba radhi kwa habari yao ya "Hata Yesu alifuata wenye pesa, msituite matapeli"' Wasafi FM waomba radhi kwa habari yao ya "Hata Yesu alifuata wenye pesa, msituite matapeli"
Wasafi inawajibika, kwani wao ndio waliorusha matangazo.Aisee sema badala ya kujadili uhalali wa alichosema nabii huyu mwenye Mtako mkubwa.......watakuja wazee wa blasphemy na kupiga kelele wasafi wafungiwe
[emoji23][emoji23][emoji23] imebidi tu nicheke mkuu, Yani watu hukashifu Imani za wengine sawa zikiguswa wao ndio wanaumia, tuache double standard na tuheshimiane na Imani zetu hata mtu akiabudu jiwe aheshimiweCariha, kwanini unamkashifu Mtume Muhammad? Amekufanya nini? Kwani Mtume Muhammad anahusika vipi na hii mada? Wapi huyo jamaa uliyemnukuu alipounga mkono kashfa dhidi ya Yesu? Kwani hao waliomkashifu Yesu ni Waislam? Kuweni wastaarabu.
Mkuu Cariha, Waislam hawahusiki na hili wala hatuungi mkono hili. Huyo aliyemkashifu Yesu sio Muislam wala aliyemhoji pia sio Muislam. Na huenda aliyetengeneza na kurusha hiyo pia akawa sio Muislam.[emoji23][emoji23][emoji23] imebidi tu nicheke mkuu, Yani watu hukashifu Imani za wengine sawa zikiguswa wao ndio wanaumia, tuache double standard na tuheshimiane na Imani zetu hata mtu akiabudu jiwe aheshimiwe
Brother, mpuuze Jahili huyoYaani we Binti una matatizo zaidi ya nilivyokua nafikiria,bila shaka akili yako ni mbovu kwa malezi ya hovyo uliyoyapitia,ukisikia dini fulani inatajwa lazima ujipitishe huku unatingisha msambwanda.
Kwanini chibu dangote aruhusu hyo kitu?Mkuu Cariha, Waislam hawahusiki na hili wala hatuungi mkono hili. Huyo aliyemkashifu Yesu sio Muislam wala aliyemhoji pia sio Muislam. Na huenda aliyetengeneza na kurusha hiyo pia akawa sio Muislam.
Nimeshangaa hata katika ule uzi unaomzungumzia yule Mwendawazimu Tito kuna watu wanautukana na kuukashifu Uislam, sasa sijui Uislam umeingiaje.
Hii hasira mnayoionesha baadhi ya watu humu ni misplaced anger ambayo mnaileta kwa Uislam, tafuteni namna ya kushughulikia au kuwanasihi hawa wendawazimu na sio kuhamishia hasira kwenye Uislam.
Tunatakiwa tuwe wastaarabu.
Mkuu, kwao hao, Chibu ana maamuzi katika kuamua contents za vipindi vyao. Yaani kabla ya vipindi vyao kurushwa ni lazima Chibu ahakiki? Naomba kuelimishwa katika hili.Kwanini chibu dangote aruhusu hyo kitu?
N. B Mimi naheshimu Imani za watu wote wala Sina shida na ninakereka na kukashifu imani
Good, now you just prove my point sababu mpaka hapa umeshashindwa kujibu swali langu jepesi.Wazee wa mihemko
Sema jamaa mnakuaga na hasira kinoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Angekua amezungumziwa mtume mapema sana studio za wasafi zingekua zimeshapigwa mapanga
Niamini mimi kama ungekuwa umekomaa kiakili basi usingeandika hii post na hii thread isingekuwepo.Inaonesha jinsi gani wakristo walivokomaa kiakili na kiimani. Sijasikia kuchoma matairi wala matamko wala jazba.
Yeye ka mkurugenzi why matukio ya kuvunja maadili yawe yanajirudia rudia kipindi kile hyo tv ilifungiwa why hawajifunzi awe mkali kwa watendaji vitu vingine ni common sense tu, ningekuwa na mamlaka nawafungia kabisa imagine itv wangepost kuhusu kukashifu mtume wenu si mungeandamana kabisa ka yule mtoto sliyekojolea msaafu mbagala wakataka kumuua kabisaMkuu, kwao hao, Chibu ana maamuzi katika kuamua contents za vipindi vyao. Yaani kabla ya vipindi vyao kurushwa ni lazima Chibu ahakiki? Naomba kuelimishwa katika hili.
Ila licha ya yote, hao jamaa wanatakiwa wawajibishwe kwa uzembe wao na ujinga. Hii si mara ya kwanza hawa jamaa kulaumiwa kwa mambo ya kijinga jinga. Kutakuwa na tatizo mahali.
Ata huelewi ulichoandika. Wala hujaelewa point yangu. Mimi nasema wakristo wamekomaa sana kiakili na kiimani kwasababu hiyo kashfa aliopewa Mungu wao Yesu sio ndogo. Makundi mengine wangeshaandamana, vurugu nk.Niamini mimi kama ungekuwa umekomaa kiakili basi usingeandika hii post na hii thread isingekuwepo.
Unless you're Fanatic.
Sure.Kwanini sasa mnakuaga na makasiriko hivyo? Au ndo kitabu kinasema ndugu Teenager
Clearly hujaelewa nilichoandika.Ata huelewi ulichoandika. Wala hujaelewa point yangu. Mimi nasema wakristo wamekomaa sana kiakili na kiimani kwasababu hiyo kashfa aliopewa Mungu wao Yesu sio ndogo. Makundi mengine wangeshaandamana, vurugu nk.
Wanaoandamana na kufanya fujo huwa ni wale wenye jazba miongoni mwetu, na katika hilo wanakosea. Hivyo kama Itv wangefanya hicho unachokisema, tungeomba mamlaka husika zishughulikie hilo. Na baadhi yetu tusio na Ilmu tungerudi kwa Ma'ulamaa kusikiliza nasaha zao katika jambo hilo.Yeye ka mkurugenzi why matukio ya kuvunja maadili yawe yanajirudia rudia kipindi kile hyo tv ilifungiwa why hawajifunzi awe mkali kwa watendaji vitu vingine ni common sense tu, ningekuwa na mamlaka nawafungia kabisa imagine itv wangepost kuhusu kukashifu mtume wenu si mungeandamana kabisa ka yule mtoto sliyekojolea msaafu mbagala wakataka kumuua kabisa