Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

View attachment 2001772
TCRA naomba muone

=====

UPDATES:

======

Wasafi FM waomba radhi kutokana na hii Video inayosambaa mitandaoni.

Zaidi, soma:

Thread 'Wasafi FM waomba radhi kwa habari yao ya "Hata Yesu alifuata wenye pesa, msituite matapeli"' Wasafi FM waomba radhi kwa habari yao ya "Hata Yesu alifuata wenye pesa, msituite matapeli"
Aisee sema badala ya kujadili uhalali wa alichosema nabii huyu mwenye Mtako mkubwa.......watakuja wazee wa blasphemy na kupiga kelele wasafi wafungiwe
 
Aisee sema badala ya kujadili uhalali wa alichosema nabii huyu mwenye Mtako mkubwa.......watakuja wazee wa blasphemy na kupiga kelele wasafi wafungiwe
Wasafi inawajibika, kwani wao ndio waliorusha matangazo.
 
Free mason wanaowatuma sijui wana mbingu ya kuwapeleka watu kama Hawa! Shetani mwenyewe boss wako anamuogopa kristo wewe ni nani? Haya, tutaona!
 
Inaonesha jinsi gani wakristo walivokomaa kiakili na kiimani. Sijasikia kuchoma matairi wala matamko wala jazba.
 
Yuda 1: 4 Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.
 
Cariha, kwanini unamkashifu Mtume Muhammad? Amekufanya nini? Kwani Mtume Muhammad anahusika vipi na hii mada? Wapi huyo jamaa uliyemnukuu alipounga mkono kashfa dhidi ya Yesu? Kwani hao waliomkashifu Yesu ni Waislam? Kuweni wastaarabu.
[emoji23][emoji23][emoji23] imebidi tu nicheke mkuu, Yani watu hukashifu Imani za wengine sawa zikiguswa wao ndio wanaumia, tuache double standard na tuheshimiane na Imani zetu hata mtu akiabudu jiwe aheshimiwe
 
Mkuu Cariha, Waislam hawahusiki na hili wala hatuungi mkono hili. Huyo aliyemkashifu Yesu sio Muislam wala aliyemhoji pia sio Muislam. Na huenda aliyetengeneza na kurusha hiyo pia akawa sio Muislam.

Nimeshangaa hata katika ule uzi unaomzungumzia yule Mwendawazimu Tito kuna watu wanautukana na kuukashifu Uislam, sasa sijui Uislam umeingiaje.

Hii hasira mnayoionesha baadhi ya watu humu ni misplaced anger ambayo mnaileta kwa Uislam, tafuteni namna ya kushughulikia au kuwanasihi hawa wendawazimu na sio kuhamishia hasira kwenye Uislam.

Tunatakiwa tuwe wastaarabu.
 
Kwanini chibu dangote aruhusu hyo kitu?
N. B Mimi naheshimu Imani za watu wote wala Sina shida na ninakereka na kukashifu imani
 
Kwanini chibu dangote aruhusu hyo kitu?
N. B Mimi naheshimu Imani za watu wote wala Sina shida na ninakereka na kukashifu imani
Mkuu, kwao hao, Chibu ana maamuzi katika kuamua contents za vipindi vyao. Yaani kabla ya vipindi vyao kurushwa ni lazima Chibu ahakiki? Naomba kuelimishwa katika hili.

Ila licha ya yote, hao jamaa wanatakiwa wawajibishwe kwa uzembe wao na ujinga. Hii si mara ya kwanza hawa jamaa kulaumiwa kwa mambo ya kijinga jinga. Kutakuwa na tatizo mahali.
 
Hii wasafi ifungiwe inaachiaje maudhui ya kichochezi Serikali isinyamaze kqa hawa jamaa LA sivyo kitanuka sio mda maana sidhani kama hiki kituo kinaelimisha
 
Wazee wa mihemko

Sema jamaa mnakuaga na hasira kinoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Angekua amezungumziwa mtume mapema sana studio za wasafi zingekua zimeshapigwa mapanga
Good, now you just prove my point sababu mpaka hapa umeshashindwa kujibu swali langu jepesi.

Nimekuuliza swali badala ya kujibu unaleta jibberish kitu ambacho watu wenye low emotional intelligence wanafanya vilevile watu wasio na critical thinking.
Ulichoandika sijakiuliza lakini wewe umejibukwa kukurupuka kama muhuni fulani hivi kutokea uswahilini then unajidanganya unareact wisely? are you nuts?

I gotta say this mimi sio mtu wa dini so statement yako haimake any sense to me means you sound like a fanatic...
But you just prove my point kwamba unajiongopea na ulichoandika ni scam kuelekea kwako mwenyewe so I suggest you get over it.
 
Inaonesha jinsi gani wakristo walivokomaa kiakili na kiimani. Sijasikia kuchoma matairi wala matamko wala jazba.
Niamini mimi kama ungekuwa umekomaa kiakili basi usingeandika hii post na hii thread isingekuwepo.

Unless you're Fanatic.
 
Mkuu, kwao hao, Chibu ana maamuzi katika kuamua contents za vipindi vyao. Yaani kabla ya vipindi vyao kurushwa ni lazima Chibu ahakiki? Naomba kuelimishwa katika hili.

Ila licha ya yote, hao jamaa wanatakiwa wawajibishwe kwa uzembe wao na ujinga. Hii si mara ya kwanza hawa jamaa kulaumiwa kwa mambo ya kijinga jinga. Kutakuwa na tatizo mahali.
Yeye ka mkurugenzi why matukio ya kuvunja maadili yawe yanajirudia rudia kipindi kile hyo tv ilifungiwa why hawajifunzi awe mkali kwa watendaji vitu vingine ni common sense tu, ningekuwa na mamlaka nawafungia kabisa imagine itv wangepost kuhusu kukashifu mtume wenu si mungeandamana kabisa ka yule mtoto sliyekojolea msaafu mbagala wakataka kumuua kabisa
 
Niamini mimi kama ungekuwa umekomaa kiakili basi usingeandika hii post na hii thread isingekuwepo.

Unless you're Fanatic.
Ata huelewi ulichoandika. Wala hujaelewa point yangu. Mimi nasema wakristo wamekomaa sana kiakili na kiimani kwasababu hiyo kashfa aliopewa Mungu wao Yesu sio ndogo. Makundi mengine wangeshaandamana, vurugu nk.
 
Clearly hujaelewa nilichoandika.
 
Yeye ka mkurugenzi why matukio ya kuvunja maadili yawe yanajirudia rudia kipindi kile hyo tv ilifungiwa why hawajifunzi awe mkali kwa watendaji vitu vingine ni common sense tu, ningekuwa na mamlaka nawafungia kabisa imagine itv wangepost kuhusu kukashifu mtume wenu si mungeandamana kabisa ka yule mtoto sliyekojolea msaafu mbagala wakataka kumuua kabisa
Wanaoandamana na kufanya fujo huwa ni wale wenye jazba miongoni mwetu, na katika hilo wanakosea. Hivyo kama Itv wangefanya hicho unachokisema, tungeomba mamlaka husika zishughulikie hilo. Na baadhi yetu tusio na Ilmu tungerudi kwa Ma'ulamaa kusikiliza nasaha zao katika jambo hilo.

Na inapotokea Muislam akapotosha jambo katika Dini yetu, anaraddiwa (atarudishiwa mwenyewe jambo lake/atajibiwa) na baadhi ya wenye Ilmu. Kama alivyojibiwa Al-Had Mussa kwa maneno yake aliyoyaongea alipokuwa katika kampeni za Urais zilizofanywa na CCM pale Kawe mwaka jana. Na alivyojibiwa Ponda Issa Ponda kwa maneno yake aliyoyaongea katika mkutano wa kampeni za Urais zilizofanywa na CHADEMA kama sijasahau ilikuwa Kawe pia.

Ila katika jambo la hao "Wasafi", Uislam hauhusiki kwa namna yoyote ile.
 
Back
Top Bottom