Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Sijui kwa nini watu wanakuwaga wapumbavu na kujiachia na mwanaume ambaye unajua ana mke kabisa wa ndoa. Na hata kama mkewe ana changamoto zilizoshindikana; as long as mumewe hajampa talaka; huyo bado ni mume wa mtu hadi kifo kitakapowatenganisha. And no matter how mwanaume alikupenda na kuzaa na wewe; akifa usije ukajishangaa ukahudhuria msiba wake kama mtu baki tu + ndiyo muda wa mke mkubwa kukumalizia uchungu wa kumbebea mumewe 🤣Hao ndugu na Mke mdogo ni wapumbavu.
Pamoja na kwamba kutakuwa na shida Kwa bimkubwa Hadi Tajiri kaoa housegirl ila lazima busara itumike.
Huyo Mke mdogo alitakiwa awe ameshambana bwanake Tajiri ampe Mali zake na Watoto wake mapema kabisa maana baada ya kifo mwenye Haki ni bimkubwa na Watoto wake.
Ndio maana Mimi Huwa Sina ratiba za kufunga ndoa na hao mapadre njaa walienda vipi msibani wakati Mke aliyeozeshwa na ana cheti hayupo?