Wasaidizi wa kazi kutembea na Baba wenye nyumba kuna madhara. Dada wa Arusha apokonyea Mwili wa marehemu

Mwaka hajafika kwake wala kulala na mkewe....la ajabu anamtoto mchanga wa mwezi mmoja mpka marehemu alikua anatuuliza mtoto wa nani,smke alikua barmaid wa bar maarufu inaiywa songambele iko mirerani. Ilikua inasifika kwa wahudumu wazuri wajasiria mwili
Eti mume ana uliza huyu mtt wa nani wakati hakuwa nyumban mwaka mzima 😆😆😆😆
 
Mirathi zina mambo mengi. Kuna familia mali zao zinakuwa zinamilikiwa na kampuni .sasa wanataka wengine wanaenda kudai kichwakichwa wanaangukia pua. Ukiingia kwenye familia za watu ambao wanajiweza , sio rahisi kuchukua mali kizembe unless umezitafuta na mumeo mwanzo mwisho.

Mfano hai ni Davis Mosha mali zake zote zinamilikiwa na kampuni.

Ama kina Mo dewji na bakhressa mali zao zinamilikiwa na Kampuni.
 
Hizi ndoa zina majanga. Ku.a watu wana miaka zaidi ya saba wanalala vyumba tofauti, na kila mmoja ana mpenzi wake nje.

Huu ni unafiki mkubwa sana mbele za Mungu.
Haya mambo bila kupata ukweli kutoka pande mbili unaweza kutoa lawama bure.
Sahihi
 
Mirathi inaweza kufunguliwa hata na mimi nisiye na undugu wowote na marehemu. Ili mradi kusiwe na pingamizi Baada ya kutangaza kwenye gazeti la serikali na kupewa usimamizi na mahakama.
Pili, muhusika wa karibu (heir) ni mke halali wa marehemu na haitaji ruhusa ya kaka, dada au mjomba wa marehemu ili afungue mirathi. Kwani wao hawana mali zao?
Hizo ni mali zake bila hata mirathi (kwa asilimia fulani) na watoto na atasimamia yeye kabla ya mwingine

Yes. Kama hataki

Muhtasari wa nini?
Kama hakuna wosia ambao umemtaja msimamizi wa mirathi, ni lazima kikao cha ukoo kikae kuteua msimamizi wa mirathi. Bila hivyo hawatakubali kufungua mirathi
 
Huko alipo bilionea anachomeka sana sababu alikuwa mzinifu aliyevuka mipaka
 
Kama hakuna wosia ambao umemtaja msimamizi wa mirathi, ni lazima kikao cha ukoo kikae kuteua msimamizi wa mirathi. Bila hivyo hawatakubali kufungua mirathi
Kikao cha ukoo ni madudu tu yaliyotungwa na watu.
Ukoo maana yake nini?
Kuna mfumo wa ukaribu wa marehemu ambao umeainishwa kwenye Sheria ya mirathi. Ukoo hauna maana yeyote hayo ni mambo ya kimila na kijima.
 
Hilo ni takwa la kisheria. Ndio mchakato tulioambiwa kuufata kufungua mirathi ya kaka dada yangu kwa maelekezo ya mahakama na mwanasheria. Ndio wakapokea
 
Arusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja.
Alioa mke aitwae Yasinta ndoa ya kanisani.

Akazaa nae watoto 5 Kama kawa huko chuga hawa mabilionea hua wanapenda chovyachovya.

Baba akazaa nje mtoto wa kwanza akaleta home mke alee, akanogewa akazaa mwingine tena akapeleka nyumbani mkewe alee. Mke akawa hana namna. Kiroho safi analea.
Mke nae amezaa watoto watano tena mmoja mchanga, ukijumlisha wawili wa baba wanakuwa saba.

Mama akaleta housegirl, baba alivyo na tamaa akaanza kutembea na housegirl mpaka akapata mimba. Baba akamfanya mke mdogo, akamjengea na akazaa naye watoto wawili. Yule housegirl ndo akawa na nguvu, mke mkubwa akawa anadharauliwa.

Mke kikawa kinamuuma lakini sasa ndo ashazaa watoto watano akaamua avumilie.

Mara paaap, tajiri kaumwa. Kapelekwa Muhimbili, kwa mapenzi ya Mungu akatwaliwa. Picha ndo ilianzia hapo, mke mkubwa akafika Muhimbili akashangaa anaambiwa na binamu wa mume eti kaa pembeni tutasimamia Mali za watoto na haki zao, akashangaa kiajee Sasa? Lakini kwavile yeye ndo mwenye cheti Cha ndoa akakabidhiwa mwili na cheti cha kifo.

Soma Pia: Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji

Ndugu na jamaa na marafiki wakaleta mwili Arusha mochwari ya Mt meru. Mke mkubwa akaelekeza mume azikwe wapi.

Sasa ndugu, marafiki na mke mdogo wakapanga pa kuzika na wakamweka kando bi mkubwa.

Siku ya kuzika bi mkubwa akaingia mahakamani kwa hati ya dharura kuomba zuio na akafanikiwa, issue ilikuwa serious kaburi lishachimbwa, mapadre ikabidi wakafanye Dua pale ya kufunga kaburi tupu na Ile pilau ya msiba wadudu waliifakamia sana.

Sasa leo amri imetolewa na mahakama mke halali amzike mume wake... Housegirl na wale ndugu hawaamini kilichotokea. Eti ndugu na marafiki wanapanga kususia maziko.

Na mke mkubwa amesema mume wangu ni mkristu na ana mke mmoja tu. Akimaliza kuzika anakusanya mali za mumewe baada ya kufungua mirathi.

Housegirl ataambulia simu na cheni za marehemu na nguo..ambazo hata hivyo bi mkubwa anaulizia vipo wapi. Housegirl amegeuka suria..ila wanae watapata mgao wa mali

Wadada wa kazi mnapoenda kufanya kazi kwenye nyumba za watu acheni tamaa kwani hamjui baba na mama wameanzia wapi na wamesotaje kupata mali. Pia ndugu na marafiki acheni upumbavu wa kuingilia mali za marehemu ikiwa ana mke na watoto
Ushuhuda mzito sana
 
Mfano hai ni Davis Mosha mali zake zote zinamilikiwa na kampuni.

Ama kina Mo dewji na bakhressa mali zao zinamilikiwa na Kampuni.
Sawa kabisa. Ndio maana wanaendelea kulinda mali za familia na wanakuwa matajiri wakubwa. Sie sisi kina yakhe tunawaza kugawana mali na kuzipatakanya mwishowe tunaishia kuwa masikini baada ya waliozitafuta kufa.
 
Arusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja.
Alioa mke aitwae Yasinta ndoa ya kanisani.

Akazaa nae watoto 5 Kama kawa huko chuga hawa mabilionea hua wanapenda chovyachovya.

Baba akazaa nje mtoto wa kwanza akaleta home mke alee, akanogewa akazaa mwingine tena akapeleka nyumbani mkewe alee. Mke akawa hana namna. Kiroho safi analea.
Mke nae amezaa watoto watano tena mmoja mchanga, ukijumlisha wawili wa baba wanakuwa saba.

Mama akaleta housegirl, baba alivyo na tamaa akaanza kutembea na housegirl mpaka akapata mimba. Baba akamfanya mke mdogo, akamjengea na akazaa naye watoto wawili. Yule housegirl ndo akawa na nguvu, mke mkubwa akawa anadharauliwa.

Mke kikawa kinamuuma lakini sasa ndo ashazaa watoto watano akaamua avumilie.

Mara paaap, tajiri kaumwa. Kapelekwa Muhimbili, kwa mapenzi ya Mungu akatwaliwa. Picha ndo ilianzia hapo, mke mkubwa akafika Muhimbili akashangaa anaambiwa na binamu wa mume eti kaa pembeni tutasimamia Mali za watoto na haki zao, akashangaa kiajee Sasa? Lakini kwavile yeye ndo mwenye cheti Cha ndoa akakabidhiwa mwili na cheti cha kifo.

Soma Pia: Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji

Ndugu na jamaa na marafiki wakaleta mwili Arusha mochwari ya Mt meru. Mke mkubwa akaelekeza mume azikwe wapi.

Sasa ndugu, marafiki na mke mdogo wakapanga pa kuzika na wakamweka kando bi mkubwa.

Siku ya kuzika bi mkubwa akaingia mahakamani kwa hati ya dharura kuomba zuio na akafanikiwa, issue ilikuwa serious kaburi lishachimbwa, mapadre ikabidi wakafanye Dua pale ya kufunga kaburi tupu na Ile pilau ya msiba wadudu waliifakamia sana.

Sasa leo amri imetolewa na mahakama mke halali amzike mume wake... Housegirl na wale ndugu hawaamini kilichotokea. Eti ndugu na marafiki wanapanga kususia maziko.

Na mke mkubwa amesema mume wangu ni mkristu na ana mke mmoja tu. Akimaliza kuzika anakusanya mali za mumewe baada ya kufungua mirathi.

Housegirl ataambulia simu na cheni za marehemu na nguo..ambazo hata hivyo bi mkubwa anaulizia vipo wapi. Housegirl amegeuka suria..ila wanae watapata mgao wa mali

Wadada wa kazi mnapoenda kufanya kazi kwenye nyumba za watu acheni tamaa kwani hamjui baba na mama wameanzia wapi na wamesotaje kupata mali. Pia ndugu na marafiki acheni upumbavu wa kuingilia mali za marehemu ikiwa ana mke na watoto
We hujakaaa na msichana wakazi ama hujaoa

Mkuu ndoaa zina shidaa sanaa na watu wanaozifanya zimudu n hgal na mafada poa

Mjakazi. Hana shida kabjsa kabjsaa na hakika wanae watapata mgaoo halali kabisa wavabayao

Kwa hapo

Mama anapata asilimja 50 ya malizote

50 inaenda kwa watoto wote wanagawana pasu hakuna wakambo wala wamboka wala Wanda

Nimeifwatilia nimekpenda sana huu maza amekomaaa

Nduguwamekuwa washenzj na wahuni hasa wakiona marehemu ana mali akiwa anaumwa unakuta hata kumuuguza awapo subiri afee weee

Sisi tuiinuaibjisha babayetu mdogo mbwayule mzee kaka miezi3 hospt

Ajaonekana gafla kalianzisha yeye ndio msimamizi tulimwondoa bila aibu watoto wana 40 plus unasimamia mkojo aibusana
 
Huyu mke WA pili angecheza km Pele baada ya kujengewa nyuma angeiuza hiyo nyumba akasepa mbele na kwenda kununua nyumba kwingine... Haya maisha sio mbaya ukajitoa akili mara Moja Moja.
 
Mwaka hajafika kwake wala kulala na mkewe....la ajabu anamtoto mchanga wa mwezi mmoja mpka marehemu alikua anatuuliza mtoto wa nani,smke alikua barmaid wa bar maarufu inaiywa songambele iko mirerani. Ilikua inasifika kwa wahudumu wazuri wajasiria mwili
Kosa la marehemu… Nani alimwambia aoe barmaid?
Hizo nyingine ni story tu baada ya taarifa ya habari, hakuna cha kumvua uhalali mke wa ndoa kwenye sakata la mgawanyo wa mali.
 
Wazee wazima tulishaelewa kuwa hilo ni kosa la kiuandishi ambalo ni dogo sana. Na mtu akisoma baniko lote, kosa hilo uondoka!
Sasa wazee wazima nyie mmeona huu uzi una tija gani.

Zaidi ya tantalila zisizo na maana yeyote.

Binti wa kazi apokonyee au asipokonyee, so what?
 
Chukua cash at bank gawa kwa idadi ya watoto kila mtoto apate zake. Sheria ya mirathi kama baba hakuacha wosia wa maandishi mtoto wa kiume mkubwa wa mke wa ndoa ndo msimamizi wa mirathi kama mke wa ndoa hana mtoto wa kiume wataangalia ni mke gani mwenye mtoto wa kiume mkubwa.
hakuna sheria ya hivyo
 
Tajiri wa madini hajaenda shule. Hivyo wanawake zake ndio hao ambao hawajaenda shule kama yeye.

Hata huyo mke wake kiakili ni kama house girl tu. Tofauti yeye aliolewa kanisani
Ikiwa na pesa akili inakuwa zaidi ya fukara aliyeenda shule.
 
Ndoa za jadi zina karatasi ?

Au serikali haitambui ndoa za jadi ?

Na za common law. Ushahidi wake ni karatasi ? Au nazo hazitambuliki na serikali?
Tunazungumzia hii kesi ndugu mdau, mke wa karatasi yupo hii nyingine haitambuliki, ni suria tu kama wengine wanavyokuwa
 
Back
Top Bottom