Wasaidizi wa kazi kutembea na Baba wenye nyumba kuna madhara. Dada wa Arusha apokonyea Mwili wa marehemu

Wasaidizi wa kazi kutembea na Baba wenye nyumba kuna madhara. Dada wa Arusha apokonyea Mwili wa marehemu

Mke ni mmoja ila kama baba alikengeuka nje ila watoto akawaleta kuwatambulisha nyumbani serikali inatambua ilo ila hawatakuwa in favour kama wa mke wa ndoa. Kipaumbele kinaanza na mke wa ndoa na watoto wake wanafata watoto wa nje. Ila kama mke wa ndoa hakufanikiwa kupata mtoto wa kiume basi mtoto wa nje wa kiume atakuwa unfavourable kwa watoto wa kike kwa mke wa ndoa.
Watoto wa ndani ya ndoa na wa nje ya ndoa wote ni sawa,aliezaa na mume wa mtu na hakuolewa hana mamlaka,ni kimada tuu aliyezaa(hata kama watoto 5),mgao wa watoto wao ndo sehemu ya ufaidikaji wa mama yao
 
Huo ujinga wa mume au mke kuwa na mamlaka kuwazidi wazazi au ndugu wa muhusika sitaki kusikia.

Kila mmoja akifariki akazikwe kwao isipokuwa tu alitoa taarifa azikwe wapi akiwa hai. Huwezi kuwa na mamlaka ya maiti ya mtoto wangu kwa ujinga unaitwa ndoa

Ukishamzika huyo mme/mke huko unakotaka tayari umekatisha mahusiano kati Yako na familia ya marehemu. Mfano marehemu kwao Tanga wewe unaamua azikwe Dar, hao watoto wako unazani huko Tanga wataenda kufata nini wakati Aliyekuwa anawaunganisha hayupo duniani na mwili wake mnao hapo dar?

Marehemu azikwe kwao Tanga ili wewe na watoto wake mkienda kutembelea kaburi mnatapa wasaa wa kujuana na ndugu wengine wa marehemu au kujuliana hali na undugu unakuwa active.
Hili suala binafsi nimekuwa nikilifikiria
Yaani mtoto wangu wa kike akiolewa ndio nakuwa nimekabidhisha kabisa kwenye ukoo mwingine aiseee no way 😃 kila mtu azikwe kwao
 
Wanaume wanakufa kwa mengi, mengine ya kujitakia kuwa na husiano zaidi ya moja ni kujipa misuko suko bila sababu. Its mentally and physically draining 😪. R.I.P tajiri wa madini pole kwa wake na watoto.
 
Wewe ndio unajua ukweli huyu mleta mada anaonekana ndugu wa mke mkubwa na hataki kusema ukweli kwamba mke mkubwa amezaa nje ya ndoa na disii mpaka anakufa ni mke mdogo alikua anamuuguza kuanzia kesemsii mpaka muhimbili huyo mke mkubwa baada ya kusikia mume amekufa ndio kaja haraka kuanzia kudai Mali wanaume tunawakati mgumu sana na wanawake wa aina hii
Marehemu ni ndgu na nimefanya nae mengi.alikua kaka na mchizi wangu...kalazwa muhimbili huyo mama kaenda soku 5 za mwisho kamkuta na kauli keshafunga
 
Watoto wa ndani ya ndoa na wa nje ya ndoa wote ni sawa,aliezaa na mume wa mtu na hakuolewa hana mamlaka,ni kimada tuu aliyezaa(hata kama watoto 5),mgao wa watoto wao ndo sehemu ya ufaidikaji wa mama yao
Sawa kabisa watoto wote ni wake na ndgu wanawatambua kwahiyo watapewa haki za kusoma na matunzo...kaka zake wawili ni watu wenye uwezo pia ni watu wazima wataweka mambo sawa
 
W
Chukua cash at bank gawa kwa idadi ya watoto kila mtoto apate zake. Sheria ya mirathi kama baba hakuacha wosia wa maandishi mtoto wa kiume mkubwa wa mke wa ndoa ndo msimamizi wa mirathi kama mke wa ndoa hana mtoto wa kiume wataangalia ni mke gani mwenye mtoto wa kiume mkubwa.
Watoto wakubwa wote wa kike wa kwanza yuko form 3...mama ndio hiyo mtambo hata shule hamna yeye anawaza abebe mali
 
Umeandika mambo mengi ila umeandika pumba, eti ''dada wa kazi apokonyea mwili wa marehemu

Mwaka hajafika kwake wala kulala na mkewe....la ajabu anamtoto mchanga wa mwezi mmoja mpka marehemu alikua anatuuliza mtoto wa nani,smke alikua barmaid wa bar maarufu inaiywa songambele iko mirerani. Ilikua inasifika kwa wahudumu wazuri wajasiria mwili
Mume na yeye SI alizaa nje watoto wawili akawaleta?? Kwanini basi hakumpa talaka huyo mama kama alizaa nje? Sisi wanaume tuna mambo mengi sana tukishaamua kuwa na bi mdogo
 
Sawa kabisa watoto wote ni wake na ndgu wanawatambua kwahiyo watapewa haki za kusoma na matunzo...kaka zake wawili ni watu wenye uwezo pia ni watu wazima wataweka mambo sawa
Huyo mke mwenye cheti kisheria
Unafunguwaje mirathi bila ya cheti cha kifo!!?
Mke mkubwa ana cheti Cha kifo na Cha ndoa. Ndugu watakasirika sana lkn hivyo VYETI vitamoa mamlaka makubwa.. Somo UKIONA ndoa huwezi talikiana Kila mtu aende kivyake
 
Chukua cash at bank gawa kwa idadi ya watoto kila mtoto apate zake. Sheria ya mirathi kama baba hakuacha wosia wa maandishi mtoto wa kiume mkubwa wa mke wa ndoa ndo msimamizi wa mirathi kama mke wa ndoa hana mtoto wa kiume wataangalia ni mke gani mwenye mtoto wa kiume mkubwa.
Sheria ya nchi gani mkuu?
 
Back
Top Bottom