Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Na ajikite kwa Tz. Ndio Foreign policy yetu. Economic Diplomacy, mfano Tanzania ina nini ambacho Brics wanaweza kupata pa kuwekeza, mfano Kilimo, gesi, chuma etcAngestic kwenye hiyo theme adadavue namna gani italeta faida angeua sana. Ni namna gani Brics inaweza kabili changamoto za Sasa na zijazo kama katika biashara na uwekezaji.
Hao waandishi wa hotuba ni wazee wa 'Copy and paste' .Asalam.
Nimefuatilia hotuba ya Rais wetu Mpendwa. Nikaona maudhui Mengi ni ya Mkutano Mwingine, sio huu. Hotuba imejaa masuala ya North-South badala ya BRICS. Iko hivi,
Kwenye Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa kuna miungano mingi ya namna nyingi (Intergrations). North_South ni mojawapo ya mahusiano ya muda mrefu sana toka nyakati za uhuru miaka ya 1960 ambapo dunia ilikuwa na pande mbili, North (kaskazini ) ikizikusanya Nchi zilizoendelea na zikiwa na mitaji, viwanda, technology etc. Kusini zikiwa nchi masikini. Pili tukawa na nchi za mashariki ( za kijamaa ) na za Magharibi ( za kibepali) na tukawa na na NAM ( Nchi zisizofungamana na upande wowote). Miaka ya 80 na 90 mashariki ikaharibika na kwa sehemu kubwa tukabaki na magharibi ilhali nchi za kijamaa zikihangaika wapi zishike. Pakazaliwa Nchi zilizoendelea, zilizoendelea na Masikini.
Lkn miaka 10 iliyopita ikaziliwa huu Muungano wa BRICs (Brazil, Russia, India, China) zikilenga kutengeneza muungano wa kipekee, na ukawa na mambo yake. Kwenye BRICS hakuna Marekani na Uingereza, ufaransa, Italy ambazo ni vinara wa North.
Sasa Rais anapohutubia masuala ya NORTH SOUTH kwenye MKUTANO wa BRICs ni kukosea. Lkn dah. Muwe makini.
Kama hilo ndilo lengo la BRICS bora tu alizungumzia North South Cooperation.Brics imeanzishwa ili kujinasua kutoka PETRODOLLAR yeye anazungumzia north south wapi na wapi!
Demokrasia ipi unayomaanisha ?Nafikiri tungeomba uanachama, huu ndio unaweza kuwa muungano wa Kidemokrasia na faida, win- win situation kwa
Benki tayari ipo, ila hayo mengine zitabaki kuwa ndoto tu.Na huko mbeleni labda BRICS itakuwa na jeshi lake, benki zake, sheria zake, mbadala wa UN, G7, IMF, World bank, mahakama zake za usuluhishi migogoro, tofauti kwa haki.
Kama unaona inauma ichomoeBrics imeanzishwa ili kujinasua kutoka PETRODOLLAR yeye anazungumzia north south wapi na wapi!
Nimeiweka hapo. Iangalie. Tuendako tutaomba kama inawezekana wawe wanatoa taarifa mapema ya mikutano atakayohudhuria President halafu JF tunawapa dondoo .
Hii tunaita #BothTeams Not to Score🤣Utaona sawa kama.haujui tofauti zake na protocols za hizi miungano. Wenyewe wenye muungano wao wanakushangaa. Ni sawa na kutafuta spea za tractor kwenye duka la vipodozi.
Hahahaha umenichekesha sana iyo kuna siku nitawapa lecture wanafunzi wangu, Tanzania nchi ngumu sana nimekubaliana na wewe,shida nafasi seriously wanapeana kiukoo unaweza ukakuta Nape ñdyo aliandaaYeye mwenyewe je alikua anajua anachokizugumza.
Nguruwe 🐖 wewe!Kama unaona inauma ichomoe