Wasaidizi wa Rais Samia: Mkutano wa BRICS nyie Mnamwandalia Rais Hotuba ya North-South Geopolitics

Asalam.
Nimefuatilia hotuba ya Rais wetu Mpendwa. Nikaona maudhui Mengi ni ya Mkutano Mwingine, sio huu. Hotuba imejaa masuala ya North-South badala ya BRICS. Iko hivi,
Kwenye Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa kuna miungano mingi ya namna nyingi (Intergrations). North_South ni mojawapo ya mahusiano ya muda mrefu sana toka nyakati za uhuru miaka ya 1960 ambapo dunia ilikuwa na pande mbili, North (kaskazini ) ikizikusanya Nchi zilizoendelea na zikiwa na mitaji, viwanda, technology etc. Kusini zikiwa nchi masikini. Pili tukawa na nchi za mashariki ( za kijamaa ) na za Magharibi ( za kibepali) na tukawa na na NAM ( Nchi zisizofungamana na upande wowote). Miaka ya 80 na 90 mashariki ikaharibika na kwa sehemu kubwa tukabaki na magharibi ilhali nchi za kijamaa zikihangaika wapi zishike. Pakazaliwa Nchi zilizoendelea, zilizoendelea na Masikini.

Lkn miaka 10 iliyopita ikaziliwa huu Muungano wa BRICs (Brazil, Russia, India, China) zikilenga kutengeneza muungano wa kipekee, na ukawa na mambo yake. Kwenye BRICS hakuna Marekani na Uingereza, ufaransa, Italy ambazo ni vinara wa North.

Sasa Rais anapohutubia masuala ya NORTH SOUTH kwenye MKUTANO wa BRICs ni kukosea. Lkn dah. Muwe makini.
Wewe sijuwi nikuite Poyoyo u ni Mjinga gtu.

Hivi unaelewa aloichokiongea mama Samia? Nahisi hata hujasikiliza alichokiongea.

Kumbuka duniani kuna Northern Alliance (NATO), halafu Nyerere akajidai kuanzisha ki South South Commission kutaka kushinda na NATO kijinga. Hata sielewei kimefia wapi.

Mama Sasa anasema hii Brics ndiyo daraja la North na South, lmebeba wote wa North na wa South kina na wengine wote wa in between.

Mama katowa hotuba nzuri sana na kapowa kama kawaida yake, bila makeke wala kujimwambafai.

Mama Samia atayafanya mema mengi sana Tanzania na Afrika na atakuwa ni mfano wa kuigwa kote duniani. Mtanambia.
 
Chawa at your best.
 
Halafu mwambie sisi ni kataifa kadogo, masikini, hatuna nguvu za kijeshi, kiuchumi, kiitikadi, hata kale kahistoria kazuuri alikokajenga Mwalimu hawa nduguzo katika Imani wamekaharibu kabisa.

Hoguba zetu ziwe fupi na ziongelee fursa zilizoko Tanzania basi. Lkn pia yule Mwarabu ndo kashikaje ule mkono wa Mama
 
Asalam.
Nimefuatilia hotuba ya Rais wetu Mpendwa. Nikaona maudhui Mengi ni ya Mkutano Mwingine, sio huu. Hotuba imejaa masuala ya North-South badala ya BRICS. Iko hivi,
Kwenye Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa kuna miungano mingi ya namna nyingi (Intergrations). North_South ni mojawapo ya mahusiano ya muda mrefu sana toka nyakati za uhuru miaka ya 1960 ambapo dunia ilikuwa na pande mbili, North (kaskazini ) ikizikusanya Nchi zilizoendelea na zikiwa na mitaji, viwanda, technology etc. Kusini zikiwa nchi masikini. Pili tukawa na nchi za mashariki ( za kijamaa ) na za Magharibi ( za kibepali) na tukawa na na NAM ( Nchi zisizofungamana na upande wowote). Miaka ya 80 na 90 mashariki ikaharibika na kwa sehemu kubwa tukabaki na magharibi ilhali nchi za kijamaa zikihangaika wapi zishike. Pakazaliwa Nchi zilizoendelea, zilizoendelea na Masikini.

Lkn miaka 10 iliyopita ikaziliwa huu Muungano wa BRICs (Brazil, Russia, India, China) zikilenga kutengeneza muungano wa kipekee, na ukawa na mambo yake. Kwenye BRICS hakuna Marekani na Uingereza, ufaransa, Italy ambazo ni vinara wa North.

Sasa Rais anapohutubia masuala ya NORTH SOUTH kwenye MKUTANO wa BRICs ni kukosea. Lkn dah. Muwe makini.
Inaonekama Samia kazungukwa na Panya
 
Yeye hakuipitia hiyo hotuba kabla ya kwenda huko Afrika kusini?

Addressing the north south divide at brics summit was appropriate. Sioni kama kuna tatizo.
North vs South concept haipo tena, bali iIishakufa. Au na wewe umeamua kujizima data?
 
Cyril Ramaphosa ameishi Morogoro, Mandela alipewa passport ya Tanzania. China tuliitetea kuwa permanent members of security council wakiwa maskini tukipingwa na Ulaya, US.
 
Kwani Kuna hotuba yoyote alishaandaliwa ikawa nzuri??🤔🤔
Kazungukwa na machawa wanamchoresha tu!
 
Wewe sijuwi nikuite Poyoyo u ni Mjinga gtu.

Hivi unaelewa aloichokiongea mama Samia? Nahisi hata hujasikiliza alichokiongea.

Kumbuka duniani kuna Northern Alliance (NATO), halafu Nyerere akajidai kuanzisha ki South South Commission kutaka kushinda na NATO kijinga. Hata sielewei kimefia wapi.

Mama Sasa anasema hii Brics ndiyo daraja la North na South, lmebeba wote wa North na wa South kina na wengine wote wa in between.

Mama katowa hotuba nzuri sana na kapowa kama kawaida yake, bila makeke wala kujimwambafai.

Mama Samia atayafanya mema mengi sana Tanzania na Afrika na atakuwa ni mfano wa kuigwa kote duniani. Mtanambia.
Stop the hallucinations. Wewe mwenyewe unakiri kuwa South doesn't exist. Halafu unasifu. Una akili timamu?
 
Hapitii kabisa. Anauliza tu hili limekaa vizuri? Nisije nikaaibuka. Wanamjibu ondoa hofu mama. Kila kitu tumekuwekea vizuri.
Una uhakika, kama ndio ni ukweli ni extraordinary state of affairs.

Kwenye mhimili muhimu, executive, executing all things of a country?
 
Wewe sijuwi nikuite Poyoyo u ni Mjinga gtu.

Hivi unaelewa aloichokiongea mama Samia? Nahisi hata hujasikiliza alichokiongea.

Kumbuka duniani kuna Northern Alliance (NATO), halafu Nyerere akajidai kuanzisha ki South South Commission kutaka kushinda na NATO kijinga. Hata sielewei kimefia wapi.

Mama Sasa anasema hii Brics ndiyo daraja la North na South, lmebeba wote wa North na wa South kina na wengine wote wa in between.

Mama katowa hotuba nzuri sana na kapowa kama kawaida yake, bila makeke wala kujimwambafai.

Mama Samia atayafanya mema mengi sana Tanzania na Afrika na atakuwa ni mfano wa kuigwa kote duniani. Mtanambia.
Na wewe acha uwongo Kuna taifa la North hapo BRICS 🤣 (North ni Uingereza, Ufaransa,Italy et al).
 
Asalam.
Nimefuatilia hotuba ya Rais wetu Mpendwa. Nikaona maudhui Mengi ni ya Mkutano Mwingine, sio huu. Hotuba imejaa masuala ya North-South badala ya BRICS. Iko hivi,
Kwenye Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa kuna miungano mingi ya namna nyingi (Intergrations). North_South ni mojawapo ya mahusiano ya muda mrefu sana toka nyakati za uhuru miaka ya 1960 ambapo dunia ilikuwa na pande mbili, North (kaskazini ) ikizikusanya Nchi zilizoendelea na zikiwa na mitaji, viwanda, technology etc. Kusini zikiwa nchi masikini. Pili tukawa na nchi za mashariki ( za kijamaa ) na za Magharibi ( za kibepali) na tukawa na na NAM ( Nchi zisizofungamana na upande wowote). Miaka ya 80 na 90 mashariki ikaharibika na kwa sehemu kubwa tukabaki na magharibi ilhali nchi za kijamaa zikihangaika wapi zishike. Pakazaliwa Nchi zilizoendelea, zilizoendelea na Masikini.

Lkn miaka 10 iliyopita ikaziliwa huu Muungano wa BRICs (Brazil, Russia, India, China) zikilenga kutengeneza muungano wa kipekee, na ukawa na mambo yake. Kwenye BRICS hakuna Marekani na Uingereza, ufaransa, Italy ambazo ni vinara wa North.

Sasa Rais anapohutubia masuala ya NORTH SOUTH kwenye MKUTANO wa BRICs ni kukosea. Lkn dah. Muwe makini.
Kwani kuna mapungufu gani kwenye hiyo hotuba? Hata mimi nimeisikia sioni unachotaka ku insinuate. Ika tatizo lenu mnadhani mikutano ni sawa na mitihani ya NECTA ambapo kuna jibu moja.

Alichoongea kiko within the context of the forum
 
Asalam.
Nimefuatilia hotuba ya Rais wetu Mpendwa. Nikaona maudhui Mengi ni ya Mkutano Mwingine, sio huu. Hotuba imejaa masuala ya North-South badala ya BRICS. Iko hivi,
Kwenye Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa kuna miungano mingi ya namna nyingi (Intergrations). North_South ni mojawapo ya mahusiano ya muda mrefu sana toka nyakati za uhuru miaka ya 1960 ambapo dunia ilikuwa na pande mbili, North (kaskazini ) ikizikusanya Nchi zilizoendelea na zikiwa na mitaji, viwanda, technology etc. Kusini zikiwa nchi masikini. Pili tukawa na nchi za mashariki ( za kijamaa ) na za Magharibi ( za kibepali) na tukawa na na NAM ( Nchi zisizofungamana na upande wowote). Miaka ya 80 na 90 mashariki ikaharibika na kwa sehemu kubwa tukabaki na magharibi ilhali nchi za kijamaa zikihangaika wapi zishike. Pakazaliwa Nchi zilizoendelea, zilizoendelea na Masikini.

Lkn miaka 10 iliyopita ikaziliwa huu Muungano wa BRICs (Brazil, Russia, India, China) zikilenga kutengeneza muungano wa kipekee, na ukawa na mambo yake. Kwenye BRICS hakuna Marekani na Uingereza, ufaransa, Italy ambazo ni vinara wa North.

Sasa Rais anapohutubia masuala ya NORTH SOUTH kwenye MKUTANO wa BRICs ni kukosea. Lkn dah. Muwe makini.
Huyo si katumwa anajua kusoma tu maudhui yaliyoandikwa na wengine kama robot, hana intellect ya kuelewa masuala magumu magumu ya kisiasa duniani, sembuse kushika nafasi ya Urais.
 
Asalam.
Nimefuatilia hotuba ya Rais wetu Mpendwa. Nikaona maudhui Mengi ni ya Mkutano Mwingine, sio huu. Hotuba imejaa masuala ya North-South badala ya BRICS. Iko hivi,
Kwenye Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa kuna miungano mingi ya namna nyingi (Intergrations). North_South ni mojawapo ya mahusiano ya muda mrefu sana toka nyakati za uhuru miaka ya 1960 ambapo dunia ilikuwa na pande mbili, North (kaskazini ) ikizikusanya Nchi zilizoendelea na zikiwa na mitaji, viwanda, technology etc. Kusini zikiwa nchi masikini. Pili tukawa na nchi za mashariki ( za kijamaa ) na za Magharibi ( za kibepali) na tukawa na na NAM ( Nchi zisizofungamana na upande wowote). Miaka ya 80 na 90 mashariki ikaharibika na kwa sehemu kubwa tukabaki na magharibi ilhali nchi za kijamaa zikihangaika wapi zishike. Pakazaliwa Nchi zilizoendelea, zilizoendelea na Masikini.

Lkn miaka 10 iliyopita ikaziliwa huu Muungano wa BRICs (Brazil, Russia, India, China) zikilenga kutengeneza muungano wa kipekee, na ukawa na mambo yake. Kwenye BRICS hakuna Marekani na Uingereza, ufaransa, Italy ambazo ni vinara wa North.

Sasa Rais anapohutubia masuala ya NORTH SOUTH kwenye MKUTANO wa BRICs ni kukosea. Lkn dah. Muwe makini.
Yuko sahihi!! Alienda huko kama member wa South na siyo kama mewmber wa BRICS na lengo lake ni kutetea maslahi ya South in general dhidi ya unyonyaji wa North
 
Back
Top Bottom