Wasambaa ni moja ya watu wenye lafudhi mbovu zaidi Tanzania

Tunatamka kwa kisambaa, sio kwa Kiswahili.
Moroko = Mooko
Dar es salaam = Daisaama
Tanga = Nhanga
Muheza= Mheza
Korogwe = Kghoogwe
Lushoto= Usoto. N.k
Mbona mnawatania sana hawa ndugu zetu😁😁 eti Shunie haya ni ya kweli?
 
Tunatamka kwa kisambaa, sio kwa Kiswahili.
Moroko = Mooko
Dar es salaam = Daisaama
Tanga = Nhanga
Muheza= Mheza
Korogwe = Kghoogwe
Lushoto= Usoto. N.k
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…