Hadi mkurangaJay z nasikia alifika hadi mwananyamala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi mkurangaJay z nasikia alifika hadi mwananyamala
Klauzi walimuomba akapafomuSikumbuki kama jay z alikuwa na show, nakumbuka alikuja kwa ajili ya mradi wa maji safi uliokuwa unafadhiliwa na UN kama sikosei.
Hao wasanii walikuwa wanatoa ofa kwa nchi masikini kufanya show kwa gharama ndogo mno, kwahiyo nyie mnabook ikitokea imetick ndio zali lenu. Wanakuwa wanaenda nchi zaidi ya mojaUmemsahau future alikuja kwenye tamasha la bia kama sio castel lager basi ni Heineken, Ne yo wasafi festival.. Kitu ambacho najiuliza mpk leo Clouds ilikuwa inawalipa kiasi gan kuwaleta hawa majamaa? Maana nakumbuka watu kama 50 CENT, T. I, LUDACRIS, RICK ROSS Miaka hiyo wanakuja walikuwa ndio kipindi wapo kwenye prime yao ya kimuziki hawakuwa wameshuka
Mzee wa vilainishi, naskia geto kwake wamekuta vilainishi kama buku hivi.Naona walisahau kuleta paffu dadi😎
Huyu hakupiga shooMichael Jackson
Kat DeLuna hajawahi kuja kweli?Lil Kim wabongo walikuwa hawamuelewi mpaka akapewa sapoti na Nature kidogo ikawa amsha amsha.
Mwaka ngumu kukumbuka ila ninauhakika alikuja50 cent mwaka gani?
11.Chingy -2009WANYAMWEZI 15 WALIODONDOKA NCHINI KUUPA TAFU MUZIKI WETU.
Hawa hapa wasanii wa nje waliowahi kuja nchini ni kubwa mno, lakini leo tunapenda tuangalie japo wasanii mashuhuri tu kutoka nchini Marekani, waliowahi kuja nchini na kufanya shoo kabambe katika majukwaa yetu, hivyo kwa namna moja au nyingine kuchangia kuchochea ukuwaji na mafanikio ya muziki wa kizazi kipya. WANYAMWEZI hawa walisindikizwa na wazawa.
1. Lost Boyz.
2. Beenie Man.
3. Shaggy.
4. Sean Paul.
5. Akon.
6. Ja Rule.
7. Busta Rhymes.
8. Fat Joe.
9. Rick Ross.
10. 50 Cent.
11. Ludacris.
12. Jay Z.
13. Fabulous.
14. Lil Kim.
15. Brick N Lace.
Unaweza kuongeza orodha ya wanamuziki wengine kutoka nchini Marekani waliowahi kuja nchini na kufanya shoo za muziki.
@Ukwaju_wa_kitambo
0767542202
MyaKuna msanii mmoja wa kike alikuja akafanya shoo WetN Wild nimemsahau jina.
Ni sera ya nch ya sasa kuhusu burudan kwa kutoa asilimia 80 ya maudhui yawe ya tanzania na africa na sio ulayaThe era of these musicians ilikuwa ni fire! hakuna wakati American music imesumbua dunia kama zama za miamba hawa! (late 1990s and 2000s) Muziki wa amerika ya sasa nimeshindwa kuuelewa kbs, sijui mimi ndo nazeeka!
Wewe itakuwa ni tupaki eeh?The next fnckin* year, I'll be in Tz for the greatest show ever.
Michael alikuja kutembea tu hakufanya show popoteMichael Jackson
Alifika lakini cha ajabu kuna interview moja anasema allikuwa Serengeti South Africa.Jay z nasikia alifika hadi mwananyamala
Yah, Shakur🤫Wewe itakuwa ni tupaki eeh?