Wasanii 15 kutoka nje walikuja bongo kufanya show

Wasanii 15 kutoka nje walikuja bongo kufanya show

Umemsahau future alikuja kwenye tamasha la bia kama sio castel lager basi ni Heineken, Ne yo wasafi festival.. Kitu ambacho najiuliza mpk leo Clouds ilikuwa inawalipa kiasi gan kuwaleta hawa majamaa? Maana nakumbuka watu kama 50 CENT, T. I, LUDACRIS, RICK ROSS Miaka hiyo wanakuja walikuwa ndio kipindi wapo kwenye prime yao ya kimuziki hawakuwa wameshuka
Hao wasanii walikuwa wanatoa ofa kwa nchi masikini kufanya show kwa gharama ndogo mno, kwahiyo nyie mnabook ikitokea imetick ndio zali lenu. Wanakuwa wanaenda nchi zaidi ya moja
 
Kuna msanii mmoja wa kike alikuja akafanya shoo WetN Wild nimemsahau jina.
 
WANYAMWEZI 15 WALIODONDOKA NCHINI KUUPA TAFU MUZIKI WETU.

Hawa hapa wasanii wa nje waliowahi kuja nchini ni kubwa mno, lakini leo tunapenda tuangalie japo wasanii mashuhuri tu kutoka nchini Marekani, waliowahi kuja nchini na kufanya shoo kabambe katika majukwaa yetu, hivyo kwa namna moja au nyingine kuchangia kuchochea ukuwaji na mafanikio ya muziki wa kizazi kipya. WANYAMWEZI hawa walisindikizwa na wazawa.

1. Lost Boyz.
2. Beenie Man.
3. Shaggy.
4. Sean Paul.
5. Akon.
6. Ja Rule.
7. Busta Rhymes.
8. Fat Joe.
9. Rick Ross.

10. 50 Cent.
11. Ludacris.
12. Jay Z.
13. Fabulous.
14. Lil Kim.
15. Brick N Lace.

Unaweza kuongeza orodha ya wanamuziki wengine kutoka nchini Marekani waliowahi kuja nchini na kufanya shoo za muziki.




@Ukwaju_wa_kitambo
0767542202
11.Chingy -2009

Chingy.png
 
The era of these musicians ilikuwa ni fire! hakuna wakati American music imesumbua dunia kama zama za miamba hawa! (late 1990s and 2000s) Muziki wa amerika ya sasa nimeshindwa kuuelewa kbs, sijui mimi ndo nazeeka!
Ni sera ya nch ya sasa kuhusu burudan kwa kutoa asilimia 80 ya maudhui yawe ya tanzania na africa na sio ulaya
 
The next fnckin* year, I'll be in Tz for the greatest show ever.
 
Back
Top Bottom