Afande Sele tu hapo ndo msanii ambaye nakubaliana na wewe kwamba hapewi credits zakutosha; hao wengine ni aidha walipuyanga wenyewe kama TID na wengine simply weren't all that walikua very average huku Solo Thang pamoja na kwamba alikua mkali but he didn't push the envelope that far, alikua anaimba out of passion tu.
Mr. Blue, Byser ni msanii mwenye mchango mkubwa sana kwenye bongo fleva, kuna mikato alianzisha ambayo wasanii wanapitia hadi leo, ka-inspire wengi sana kuingia kwenye game, bishoo aliyekubalika na wagumu, rapa aliyekubalika na wabana pua, rapper and singer, very versatile, yupo kwenye game toka katoka, akipanda jukwaani anaamsha popo, believe me you huwezi kutana na mtu asiyemkubali Blue but hana tuzo hata moja, wakiongelewa legends wa bongo fleva na watu wenye mchango huwezi sikia jina lake hata siku moja. He is the most unsung hero of Bongo flavor ila mtaa unamuelewa.