Wasanii ambao wameutendea haki mziki lakin mziki ukakataa kuwatendea haki bongo

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,818
Utakubaliana nami kuwa kuna wasanii ambao wameutoa mziki sehemu na kuupeleka sehemu hapa bongo lakin hawana heshima wanayostahili.. Mziki umekataa kabisa kuwatendea haki.. Mimi naanza na hawa..

1.Afande sele
2.Daz baba
3.O ten
4.Solo thang
5.Wagosi
6.Mh. Temba
7.Sister P
8.Juma nature
9.Zay b
10.TID

Endeleza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afande Sele tu hapo ndo msanii ambaye nakubaliana na wewe kwamba hapewi credits zakutosha; hao wengine ni aidha walipuyanga wenyewe kama TID na wengine simply weren't all that walikua very average huku Solo Thang pamoja na kwamba alikua mkali but he didn't push the envelope that far, alikua anaimba out of passion tu.

Mr. Blue, Byser ni msanii mwenye mchango mkubwa sana kwenye bongo fleva, kuna mikato alianzisha ambayo wasanii wanapitia hadi leo, ka-inspire wengi sana kuingia kwenye game, bishoo aliyekubalika na wagumu, rapa aliyekubalika na wabana pua, rapper and singer, very versatile, yupo kwenye game toka katoka, akipanda jukwaani anaamsha popo, believe me you huwezi kutana na mtu asiyemkubali Blue but hana tuzo hata moja, wakiongelewa legends wa bongo fleva na watu wenye mchango huwezi sikia jina lake hata siku moja. He is the most unsung hero of Bongo flavor ila mtaa unamuelewa.
 
Fact bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapozungumzia muziki kuwakataa unamaanisha nini mkuu, hawajapata mpunga kama vile ambavyo mziki wao ulihit ama hawapewi heshima na jamii na media kiujumla tofaut na makubwa waliyofanya kwenye mziki!?

Sent using my nokia ya tochi
 
Wamefanya walichostahili na maisha yanaendelea, sasa hawapewi heshima kivipi?
 
Damian soul
Enika
Mandojo na domo kaya
Berry black
Belle 9
Jos mtambo
Fatma mdogo wa hard mad
ruby
 
KATIKA COMMENTS ZOTE SIJAMUONA JAY MO MZEE WA MAISHA YA BOARDING. MVUA NA JUA BORA NINI?. KIUFUPI JAY MORE AU MO TECHNIC NI MC WA KARNE KWANI HAJATOKEA MC MWENGINE MWENYE TUNGO TATA KAMA YEYE. ALIKUWA ANAJUA KUCHEZA NA VINA, ANACHANA BILA KUELEWA AMEKUSUDIA NINI? HAKUWA MUZA SURA ILA BAHATI YAKE NADHANI SIO KWENYE MUZIKI
 
Back
Top Bottom