Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ben pol ana mdate miss..
Poa.......Mambo!!!?
Jaman so gee mabovu hajafa au mbn sielewi
Ana mchumba na anaishi nae na wanamtoto mmoja wa kike mwaka huu anatimiza miaka mitatu anaitwa Maleeka.
Ben pol nae haelewekag yule
Nani anamla Salama,,? Au wale vinyozi wa mkasi.
Naskia Ambwene kashafumua nyuzi pale.
1. Martin Kadinda
Ni mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu. Huyu amekuwa akipiga picha na warembo tofauti tofauti , ila haijawahi kuripotiwa popote mrembo anayetoka nae ata kwa kupakaziwa.
2. Salama Jabir
Huyu ni mtangazaji wa mkasi TV show, mbali na muonekano wake wa kuvutia ila hadi Leo haijawahi kuripotiwa mtu anayemmliki hata kwa kusingiziwa.
3.Ben Pol
mwanamuziki classic wa bongo fleva, achilia mbali muonekano wake wa kuvutia , naye mpaka Leo mpenzi wake hajulikani, na wala haijawahi kuripotiwa popote kama ana mpenzi au la.
4. DJ Fettty
Huyu ni mtangazaji wa clouds FM, ana sura na umbo la kuvutia , ila hadi Leo haijulikani mtu anayekula mzigo nani, japo kwa kusingiziwa
5.Millard Ayyo
Mtangazaji machachari kutoka clouds FM, pamoja na utanashati wake ila haijawahi kuripotiwa popote kama yupo kwenye mahusiano na haijulikani mpenzi wake ni nani
6. B 12
Huyu kama ilivyo kwa Millard, hajawahi kuhusishwa na scandal yeyote ya kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi, haijulikani kama yupo au la.
7. Adam Mchonvu
huyu pia hajawahi kusikika au kuhusishwa na mahusiano ya aina yeyote.
8.Ally Rehmtulah
Mbunifu wa mavazi, naye huyu hajawahi kuhusishwa na wala haijuilikani kama ana mpenzi au la.
joh makini anatoka na SERRUNKUMA
Dah hata sijui ni kuambiaje maana nyimbo anazoimba ni ngumu alafu sio maarufu kiivyo aliimba wimbo kama mtoto wa kiume, Mimi aliowashirikisha jay mo, chid beenz na fid hizo alizitoa mwaka 2008/9 hv karibuni hana hata singo mpya
Mmh!! Wale akina muba na john wanaonekana mapoyoyo tu, salama hawez kuwavulia nguo hata bure, wale mi nawaonaga hamnazo , hata jinsi wanavyouliza maswali kama madinjiru..
Bony mwaitege ameoa na ana mke wake,sam nae ana mpnz wake,ila huwa WANATOKA wote kwenda kanisani
Kweli nimeamini wabongo.....wambeya...
Inawezekana wakawa wanakufahamu....kuliko wewe unavyojifahamu......
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Haha.! WHAT A THREAD. UZI HUU NDO NAUONA LEO.
EM NIANZIE 1ST TO LAST PAGE.
MAANA NINA HASIRA NA SALAMA JABIR., NA DJ FETTY.