Wasanii ambao wapenzi wao hawajulikani

Wasanii ambao wapenzi wao hawajulikani

Last time I heard about D. Knob ,, he had a baby girl.

Vp sasa.?
 
Ben Paul is my favourite currently... He has self respect.
 
huyo Adam demu wake Aisha na huyo B12 tayari ana kamwana
 
Nani anamla Salama,,? Au wale vinyozi wa mkasi.

Naskia Ambwene kashafumua nyuzi pale.

Mmh!! Wale akina muba na john wanaonekana mapoyoyo tu, salama hawez kuwavulia nguo hata bure, wale mi nawaonaga hamnazo , hata jinsi wanavyouliza maswali kama madinjiru..
 
1. Martin Kadinda

Ni mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu. Huyu amekuwa akipiga picha na warembo tofauti tofauti , ila haijawahi kuripotiwa popote mrembo anayetoka nae ata kwa kupakaziwa.

2. Salama Jabir

Huyu ni mtangazaji wa mkasi TV show, mbali na muonekano wake wa kuvutia ila hadi Leo haijawahi kuripotiwa mtu anayemmliki hata kwa kusingiziwa.

3.Ben Pol

mwanamuziki classic wa bongo fleva, achilia mbali muonekano wake wa kuvutia , naye mpaka Leo mpenzi wake hajulikani, na wala haijawahi kuripotiwa popote kama ana mpenzi au la.

4. DJ Fettty

Huyu ni mtangazaji wa clouds FM, ana sura na umbo la kuvutia , ila hadi Leo haijulikani mtu anayekula mzigo nani, japo kwa kusingiziwa

5.Millard Ayyo

Mtangazaji machachari kutoka clouds FM, pamoja na utanashati wake ila haijawahi kuripotiwa popote kama yupo kwenye mahusiano na haijulikani mpenzi wake ni nani

6. B 12

Huyu kama ilivyo kwa Millard, hajawahi kuhusishwa na scandal yeyote ya kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi, haijulikani kama yupo au la.

7. Adam Mchonvu

huyu pia hajawahi kusikika au kuhusishwa na mahusiano ya aina yeyote.

8.Ally Rehmtulah

Mbunifu wa mavazi, naye huyu hajawahi kuhusishwa na wala haijuilikani kama ana mpenzi au la.

Kama hawana wapenzi kwa umri wao basi kuna maswli yafuatayo;
1.labda ni mahanisi
2.wanapiga punyeto
3.wameachika
4.wanaogopa wanawake
5.wana ulemavu wa ndani
 
Kama hawana wapenzi kwa umri wao basi kuna maswli yafuatayo;
1.labda ni mahanisi
2.wanapiga punyeto
3.wameachika
4.wanaogopa wanawake
5.wana ulemavu wa ndani

Au hawapendi ku reveal relationship zao
 
Dah hata sijui ni kuambiaje maana nyimbo anazoimba ni ngumu alafu sio maarufu kiivyo aliimba wimbo kama mtoto wa kiume, Mimi aliowashirikisha jay mo, chid beenz na fid hizo alizitoa mwaka 2008/9 hv karibuni hana hata singo mpya

RIP Geez Mabovu
 
Mmh!! Wale akina muba na john wanaonekana mapoyoyo tu, salama hawez kuwavulia nguo hata bure, wale mi nawaonaga hamnazo , hata jinsi wanavyouliza maswali kama madinjiru..

Hahahaha binamu wewe sio mzima.Yani yule mwenye kisauti kama demu sijui ndio anaitwaje yani ananikeraga kwa kuingiza maswali wakati mtu bado hajamaliza kueleza lenyewe unakuta limeishadandia kuuliza swali jingine
 
Haha.! WHAT A THREAD. UZI HUU NDO NAUONA LEO.

EM NIANZIE 1ST TO LAST PAGE.

MAANA NINA HASIRA NA SALAMA JABIR., NA DJ FETTY.

bora huyo fetty angalau alishaonekanaga na mabovu, salama sasa, ndio anaeumiza vichwa vya watu hapa.
 
Back
Top Bottom