nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
Freemasons huwa hawaongei lolote, wapo miaka yote mahall yao ya mikutano inafahamika ila huwa hawaongei lolote, mara moja moja tunawaona wana release picha wanapanda miti ama wanachangia ujenzi wa kitu fulani, ila sasa sisi t usiokuwa freemasons kazi yetu kuwazushia kila jipya kila marafreemason, wanahamasisha ndoa za jinsia moja ili watu wasiweze kuza watoto. hawataki idadi ya watu iongezeke.
Ndo maana hana helaNISEME TU NAMUHESHIMU SANA MSANII ALIKIBA, KAJITENGA NA WATU HAWA.
Nitolee ujinga wako,
Wenzio wanajaza akili wewe unajaza makamasi kwenye bichwa lako kubwa kama Bus la Scandinavia
Nguo zenye rangi ya upinde wa mvua, hiyo ndio rangi hutumiwa na wapenzi wa jinsi moja kujitambulishaMkuu kuuliza Ndio kujua ni nguo gani hapo inaonyesha au kuashiria mapenzi ya jinsia moja? naomba kujuzwa mi naona zangu ni nguo za Kawaida tu nielimishe nijue
Mwanangu fresh tuu mi nakubali kuitwa miyeyusho as long as ujumbe nimeutoa na umefika, sikuombei ukutwe na hili balaa ila siku ukikumbana nalo i hope utaacha kua mjinga.Mbona mashuleni watoto wenu wanafundishwa kuhusu rangi hizo hizo na hatuwaoni mkilalamika, basi iambie na serikali kupitia wizara ya elimu nao wafute hiyo kipengele.
Kuna watu wengine miyeyusho kinyama.
mkuu mtu hafundishi watu kitu ambacho tayari wanakijuaWatu kibao hawajaelewa ubaya wa hiyo picha mpaka mmeanza kuwafafanulia na si ajabu hawajaelewa ubaya wa hizo nguo za rangi rangi.
Nashindwa nikueleweshe vipi ila wewe tayari unaonekana na majibu yako mfukoni, ulishawahi kujiuliza ni kwanini vitoy vingi vya kuchezea watoto vinatengenezwa kwa nakshi ya hizo rangi? Sababu wanafahamu wakianza externalization ya haya masuala kwa watoto wadogo baadae haitatumika nguvu nyingi kuwaaminisha kuwa WANA UHURU WA KUITENDEA MIILI YAO VILE WATAKAVYO na wao wakaona si ajabu ni kawaida tuu.Mtoto gani anaelewa maana ya hizo rangi za upinde wa mvua?? Kama haupo kwenye hayo mambo si rahisi kuelewa kitu kuhusu hilo labda uwe mmoja wao ama mfatiliaji mzuri.
Lengo la mboso sio kufikisha ujumbe kwa machoko wenzie no, kwani wao tayari wanajua ila lengo lake ni kufikisha ujumbe kwa wasio machoko/ wanaopinga uchoko kwamba wao pia (machoko) wako huru na wanazo haki za wao kua walivyo. Akili yako haijiulizi kwanini mboso mwenyewe havai hizo rainbow colors akaenda kupiga misele ila ameamua kuvaa kwenye video ambayo anafahamu audience kubwa inaisubiri?Mboso kama ni mmoja wa machoko basi kafikisha ujumbe kwa machoko wenzie sisi tusio machoko huo ujumbe hautuhusu.
Yes rainbow ni God's creation.... Ila sababu wao wameamua kwamba wanaitumia hii kama nembo yao lazima tukemee waziwazi. Hivi hua hamsomi maandiko mkajua jinsi ushoga unavyokasirisha!? Kwanini mtu mzima uliye timamu unatetea ujinga?Acheni ushoga badala ya kusingizia upinde wa Mwenyezi Mungu.
Mwishowe tutaanza kuogopa kuangalia upinde wa mvua kisa ushoga wenu.
Acha ushoga.Yes rainbow ni God's creation.... Ila sababu wao wameamua kwamba wanaitumia hii kama nembo yao lazima tukemee waziwazi. Hivi hua hamsomi maandiko mkajua jinsi ushoga unavyokasirisha!? Kwanini mtu mzima uliye timamu unatetea ujinga?
Mkuu kuna mambo mengine inatakiwa kua serious na kuweka utoto kando, nakuombea Mungu akupe elimu yenye manufaa ujitambue. Yaani mimi naleta mada ya kukemea hivi vitu then naonekana najihusisha navyo kweli? kweli wewe ni Dokta UchwaraAcha ushoga.
mbona watu mnatumia sana nguvu kutetea hili suala!? Dunia imepatwa na nini hii? Yaa Rabbi tuepushe na adhabu inayoweza kutukumba sisi viumbe wako.Yani watu wasivae nguo kisa hizo rangi zimevamiwa na mashoga. Yani basi hata upinde wa mvua sasa hivi ni ushoga
Mkuu kama ni mfuatiliaji wa muziki utajua kua nguo wanatumia kushoot mara nyingi sizo wavaazo mitaani.mkuu mtu hafundishi watu kitu ambacho tayari wanakijua
Nashindwa nikueleweshe vipi ila wewe tayari unaonekana na majibu yako mfukoni, ulishawahi kujiuliza ni kwanini vitoy vingi vya kuchezea watoto vinatengenezwa kwa nakshi ya hizo rangi? Sababu wanafahamu wakianza externalization ya haya masuala kwa watoto wadogo baadae haitatumika nguvu nyingi kuwaaminisha kuwa WANA UHURU WA KUITENDEA MIILI YAO VILE WATAKAVYO na wao wakaona si ajabu ni kawaida tuu.
Lengo la mboso sio kufikisha ujumbe kwa machoko wenzie no, kwani wao tayari wanajua ila lengo lake ni kufikisha ujumbe kwa wasio machoko/ wanaopinga uchoko kwamba wao pia (machoko) wako huru na wanazo haki za wao kua walivyo. Akili yako haijiulizi kwanini mboso mwenyewe havai hizo rainbow colors akaenda kupiga misele ila ameamua kuvaa kwenye video ambayo anafahamu audience kubwa inaisubiri?
Watu wachache wapumbavu kama wewe ndio mnafanya dunia inakua sio sehemu salama ya kuishi.
usiwe mjinga, kama hizo rangi hazina maana kama wewe unavosema... kwanini juzi kati ulaya kuna mchezaji mmoja wa kiafrika alikataa kuweka hizo rangi kwenye jezi yake na wakataka kumfukuza kwenye club yake kwamba anabagua mashoga?Labda nikupe mfano tu kuhusu hiyo hiyo mirangi, kuna kipindi wachezaji wa mpira huvaa hizo rangi lakini watu wala hawafatilii hilo bali wanaangalia kile kilichowapeleka pale(mpira) si ajabu wengi hata hawajui inamaanisha nini ila watu kama wewe wasambaza hiyo agenda ndo mnaanza kuipa promo kama hivi.
Again acha kua mjinga, ushoga ni moja ya matendo ambayo katika historia ya dunia yalisababisha direct punishment kutoka kwa Mungu.... Unadhani Mungu baada ya kutia kiberiti ile jamii ya sodoma na gomora ameenda kulala sio? Endelea kuwatetea mapunga wenzio.Kama haikuhusu inakusumbua nini!? Ushoga haujaanza miaka hii ndgu yangu, huko kwao ni toka kitambo saana wanapigania haki zao.
Hakuna mtu ambae amelea watoto wake vibaya wakaja kua mashoga NO, kila mtu anajitahidi kulea watoto wake vizuri ila kwa sababu ya kupuuzia vitu vidogo kama hivi tunajikuta watoto wetu wanaharibikiwa, amka fungua akili yako.Lea watoto wako vizuri usije ukamsingizia mbosso kawaharibu.
Unasema hakuna una uhakika na hilo??Hakuna mtu ambae amelea watoto wake vibaya wakaja kua mashoga NO, kila mtu anajitahidi kulea watoto wake vizuri ila kwa sababu ya kupuuzia vitu vidogo kama hivi tunajikuta watoto wetu wanaharibikiwa, amka fungua akili yako.