Wasanii Bongo Fleva na ajenda za ushoga

Wasanii Bongo Fleva na ajenda za ushoga

freemason, wanahamasisha ndoa za jinsia moja ili watu wasiweze kuza watoto. hawataki idadi ya watu iongezeke.
Freemasons huwa hawaongei lolote, wapo miaka yote mahall yao ya mikutano inafahamika ila huwa hawaongei lolote, mara moja moja tunawaona wana release picha wanapanda miti ama wanachangia ujenzi wa kitu fulani, ila sasa sisi t usiokuwa freemasons kazi yetu kuwazushia kila jipya kila mara
 
Acheni ushoga badala ya kusingizia upinde wa Mwenyezi Mungu.

Mwishowe tutaanza kuogopa kuangalia upinde wa mvua kisa ushoga wenu.
 
Hizi rangi zamani tulivaa tu na hakukuwa na kelele
Hivi mashoga wakiamua rangi nyekundu na nyeupe ndiyo ziwe rangi zao ina maana kuvaa nguo hizo?
 
Na upinde wa mvua unapotokea angani inakuaje? Ifike mahali jamii ipigane Mashoga yasipangie watu rangi sababu wamezichagua.
 
Mkuu kuuliza Ndio kujua ni nguo gani hapo inaonyesha au kuashiria mapenzi ya jinsia moja? naomba kujuzwa mi naona zangu ni nguo za Kawaida tu nielimishe nijue
Nguo zenye rangi ya upinde wa mvua, hiyo ndio rangi hutumiwa na wapenzi wa jinsi moja kujitambulisha
 
Mbona mashuleni watoto wenu wanafundishwa kuhusu rangi hizo hizo na hatuwaoni mkilalamika, basi iambie na serikali kupitia wizara ya elimu nao wafute hiyo kipengele.

Kuna watu wengine miyeyusho kinyama.
Mwanangu fresh tuu mi nakubali kuitwa miyeyusho as long as ujumbe nimeutoa na umefika, sikuombei ukutwe na hili balaa ila siku ukikumbana nalo i hope utaacha kua mjinga.
 
Watu kibao hawajaelewa ubaya wa hiyo picha mpaka mmeanza kuwafafanulia na si ajabu hawajaelewa ubaya wa hizo nguo za rangi rangi.
mkuu mtu hafundishi watu kitu ambacho tayari wanakijua
Mtoto gani anaelewa maana ya hizo rangi za upinde wa mvua?? Kama haupo kwenye hayo mambo si rahisi kuelewa kitu kuhusu hilo labda uwe mmoja wao ama mfatiliaji mzuri.
Nashindwa nikueleweshe vipi ila wewe tayari unaonekana na majibu yako mfukoni, ulishawahi kujiuliza ni kwanini vitoy vingi vya kuchezea watoto vinatengenezwa kwa nakshi ya hizo rangi? Sababu wanafahamu wakianza externalization ya haya masuala kwa watoto wadogo baadae haitatumika nguvu nyingi kuwaaminisha kuwa WANA UHURU WA KUITENDEA MIILI YAO VILE WATAKAVYO na wao wakaona si ajabu ni kawaida tuu.
Mboso kama ni mmoja wa machoko basi kafikisha ujumbe kwa machoko wenzie sisi tusio machoko huo ujumbe hautuhusu.
Lengo la mboso sio kufikisha ujumbe kwa machoko wenzie no, kwani wao tayari wanajua ila lengo lake ni kufikisha ujumbe kwa wasio machoko/ wanaopinga uchoko kwamba wao pia (machoko) wako huru na wanazo haki za wao kua walivyo. Akili yako haijiulizi kwanini mboso mwenyewe havai hizo rainbow colors akaenda kupiga misele ila ameamua kuvaa kwenye video ambayo anafahamu audience kubwa inaisubiri?

Watu wachache wapumbavu kama wewe ndio mnafanya dunia inakua sio sehemu salama ya kuishi.
 
Acheni ushoga badala ya kusingizia upinde wa Mwenyezi Mungu.

Mwishowe tutaanza kuogopa kuangalia upinde wa mvua kisa ushoga wenu.
Yes rainbow ni God's creation.... Ila sababu wao wameamua kwamba wanaitumia hii kama nembo yao lazima tukemee waziwazi. Hivi hua hamsomi maandiko mkajua jinsi ushoga unavyokasirisha!? Kwanini mtu mzima uliye timamu unatetea ujinga?
 
Kuna punga moja humu tayari nishaliona kila coment inayotetea huu ushenzi lina like..... mkuu sat*****i ukiendelea kutetea huu ushetani nitakutaja hadharani hapa.
 
Yes rainbow ni God's creation.... Ila sababu wao wameamua kwamba wanaitumia hii kama nembo yao lazima tukemee waziwazi. Hivi hua hamsomi maandiko mkajua jinsi ushoga unavyokasirisha!? Kwanini mtu mzima uliye timamu unatetea ujinga?
Acha ushoga.
 
Acha ushoga.
Mkuu kuna mambo mengine inatakiwa kua serious na kuweka utoto kando, nakuombea Mungu akupe elimu yenye manufaa ujitambue. Yaani mimi naleta mada ya kukemea hivi vitu then naonekana najihusisha navyo kweli? kweli wewe ni Dokta Uchwara
 
Yani watu wasivae nguo kisa hizo rangi zimevamiwa na mashoga. Yani basi hata upinde wa mvua sasa hivi ni ushoga
mbona watu mnatumia sana nguvu kutetea hili suala!? Dunia imepatwa na nini hii? Yaa Rabbi tuepushe na adhabu inayoweza kutukumba sisi viumbe wako.
 
mkuu mtu hafundishi watu kitu ambacho tayari wanakijua

Nashindwa nikueleweshe vipi ila wewe tayari unaonekana na majibu yako mfukoni, ulishawahi kujiuliza ni kwanini vitoy vingi vya kuchezea watoto vinatengenezwa kwa nakshi ya hizo rangi? Sababu wanafahamu wakianza externalization ya haya masuala kwa watoto wadogo baadae haitatumika nguvu nyingi kuwaaminisha kuwa WANA UHURU WA KUITENDEA MIILI YAO VILE WATAKAVYO na wao wakaona si ajabu ni kawaida tuu.

Lengo la mboso sio kufikisha ujumbe kwa machoko wenzie no, kwani wao tayari wanajua ila lengo lake ni kufikisha ujumbe kwa wasio machoko/ wanaopinga uchoko kwamba wao pia (machoko) wako huru na wanazo haki za wao kua walivyo. Akili yako haijiulizi kwanini mboso mwenyewe havai hizo rainbow colors akaenda kupiga misele ila ameamua kuvaa kwenye video ambayo anafahamu audience kubwa inaisubiri?

Watu wachache wapumbavu kama wewe ndio mnafanya dunia inakua sio sehemu salama ya kuishi.
Mkuu kama ni mfuatiliaji wa muziki utajua kua nguo wanatumia kushoot mara nyingi sizo wavaazo mitaani.
Mfano tu ni ule msuruali aliovaa mboso mule sidhani kama kitaa anaweza kuuvaa ni fashion tu kunogesha video.

Halafu kama nilivyosema mwanzo, nyie ambao mnakosoa kosoa sana ndio mnaindeleza hiyo agenda hata wasiokua wanajua wala kuwaza hilo mnahamisha fikra zao.

Upinde wa mvua ni natural thing lakini nyie mnalipeleka kua la machoko, watu wamepuuza hilo huku kwetu ila wewe sasa ambae unafuatilia hayo mambo ndo kiroho kinakudunda.

Labda nikupe mfano tu kuhusu hiyo hiyo mirangi, kuna kipindi wachezaji wa mpira huvaa hizo rangi lakini watu wala hawafatilii hilo bali wanaangalia kile kilichowapeleka pale(mpira) si ajabu wengi hata hawajui inamaanisha nini ila watu kama wewe wasambaza hiyo agenda ndo mnaanza kuipa promo kama hivi.

Kama haikuhusu inakusumbua nini!? Ushoga haujaanza miaka hii ndgu yangu, huko kwao ni toka kitambo saana wanapigania haki zao.
Sasa huku bongo mnaanza kuwashwa na mambo yasiyowahusu.

Lea watoto wako vizuri usije ukamsingizia mbosso kawaharibu.
 
Labda nikupe mfano tu kuhusu hiyo hiyo mirangi, kuna kipindi wachezaji wa mpira huvaa hizo rangi lakini watu wala hawafatilii hilo bali wanaangalia kile kilichowapeleka pale(mpira) si ajabu wengi hata hawajui inamaanisha nini ila watu kama wewe wasambaza hiyo agenda ndo mnaanza kuipa promo kama hivi.
usiwe mjinga, kama hizo rangi hazina maana kama wewe unavosema... kwanini juzi kati ulaya kuna mchezaji mmoja wa kiafrika alikataa kuweka hizo rangi kwenye jezi yake na wakataka kumfukuza kwenye club yake kwamba anabagua mashoga?
Kama haikuhusu inakusumbua nini!? Ushoga haujaanza miaka hii ndgu yangu, huko kwao ni toka kitambo saana wanapigania haki zao.
Again acha kua mjinga, ushoga ni moja ya matendo ambayo katika historia ya dunia yalisababisha direct punishment kutoka kwa Mungu.... Unadhani Mungu baada ya kutia kiberiti ile jamii ya sodoma na gomora ameenda kulala sio? Endelea kuwatetea mapunga wenzio.
 
Lea watoto wako vizuri usije ukamsingizia mbosso kawaharibu.
Hakuna mtu ambae amelea watoto wake vibaya wakaja kua mashoga NO, kila mtu anajitahidi kulea watoto wake vizuri ila kwa sababu ya kupuuzia vitu vidogo kama hivi tunajikuta watoto wetu wanaharibikiwa, amka fungua akili yako.
 
Unasema hakuna una uhakika na hilo??
Kwahiyo wewe kutopuuza hiyo video ya mbosso ndo kutamuokoa mwanao si ndio??

Ndio maana nikakwambia mlee mwanao vizuri shauri yako we endelea tu kukemea hiyo video wakati mabazazi yanayoharibu watoto wala hayajui kuhusu upinde wa mvua yenyewe yanadanganya kwa pipi na kufyatua rinda.
 
Back
Top Bottom