Kwani huyo Diddy alikua na nguvu kiasi gan ktk muziki wa [emoji631].
had hao wasanii kuharibiwa nae? LOL
Alisema mwenyewe. Japo hakuweka wazi kihivyo.
Kikwete samia rostam azizi mwamposa kakobe gamanywa ...mudi boy ..walokole wote ...bila ya kuwa sahauKuna watu hawa watatu ni mawakala wa shetani:-
1.didy
2.jay z
3.rick ross
Kalipigwa fullbody babycare oilNasikia na haka kajamaa ka hapa Bongo kalienda kupakwa wese na huyu mwamba!
Au ni story tu za vijiweni?
mtandale bora angevunga tu. anakua kama
Akila mvua za maisha mikoba atamwachia nani?kama mikoba ya kichawi ya ukoo tunasema diddy ndio mwenye mikoba qmmmk 😂
Jamaa alikua na ushawishi gani kuwapaka mafuta watu wote hao..au na wao ni upinde tu walifurahia
jamaa katili yaani jamani mtu kama mtandale mti mkavu hata kalio hana au mtu sura ngumu kama Burna jamaa hajali anatindua. duuh inataka moyo wa kijambaziAkila mvua za maisha mikoba atamwachia nani?
Halafu huu msurulu wa kesi zinazo mkabili huwenda alimpaka mafhta mtu ambaye hakustahili kwa lazima? Na huyo mtu ndie anaye injinia kila kitu nyuma ya pazia?
Jay z nae shoga wanatifuana na diddyJayz yeye kasema alimbusu kwa upendo
Hakuna bahati mbaya hao wanatifuana mzee wanaume mdendeke mmmhKadai ilikua bahati mbaya
Asiione 50 CENT hii
R KellyKuna watu hawa watatu ni mawakala wa shetani:-
1.didy
2.jay z
3.rick ross
Mashoga hawa aisee bado ya rick rose nayeye wakibusu hivo na nimeona fb mpaka na mayweather
So ungepakwa wese na ww.?Aisee...kama ndio hivyo waliopakwa wese siwalaumu hiyo hela ndefu sana mzee
Baada ya diddy ni jay z anafuata maana nae sio habaJay Z anahusishwa kama Mshirika na sio mtendwa, ana scandal zake naye
Hii udaku mkuu sio source ya kuiamini