Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

Ulitala wanaume wajipake lipisticks midomoni na kuvaa nguo za kike ndiyo uwaonw wajanja?
Kwa tafsiri yako kuhusu ujanja ni bora waendelee kuwa washamba na mafala
Ninataka wanaume watoke kwenye ushamba mji ufunguke. Vurugu, ukoloni, ubabe wa kizamani, wivu, chuki sio maisha anayopaswa kuwa nayo kijana wa leo.
 
Yes, Iringa ni mji mdogo ila kuna watu wa maana sana. Tembea uone.
Nimekaa iringa japo kwa muda mchache miezi mitano, uo ustaarabu unaouzungumzia sijui ni upi! Kiuhalisia na kiukweli tanzania mikoa yenye ustaarabu ni ya ukanda wa pwani, ustaarabu unaanza ata kwa namna ya kuzungumza tu.. Tanga, dar es salaam, mtwara na kidogo morogoro inaingia
 
Sio bure kuna kitu wamekufanya hebu kuwa muwazi tu fanya hip-hop kama Babu Tale alipotumegea yaliyowakuta kwa pdidy. Haya mambo yanaelezeka tu Mzee.
 

Attachments

  • 20240925_113914.jpg
    93.9 KB · Views: 5
Ninataka wanaume watoke kwenye ushamba mji ufunguke. Vurugu, ukoloni, ubabe wa kizamani, wivu, chuki sio maisha anayopaswa kuwa nayo kijana wa leo.
Maisha ni maamuzi tu, Bora wabaki kuwa vile walivyo, kuliko kubadilika ili waanze kufanywa mnayofanywa nyie 'wajanja'.
Maadam hawana wanachokudai so wewe kaa nao mbali kama ambavyo hawakuhitaji
 
Iringa ni moja ya mji uliojaa wajanja, nilivyofika pale nilishangaa sana kwa nini nilikuwa napachukulia poa before.
 
Alafu huwa vinataka kuongea vyenyewe tu visikilizwe, mara vinajishtukia tena πŸ˜‚ ila Tanzania kuna makabila bhana πŸ˜‚ bora wasukuma utamwambia mshamba yeye anachukulia fresh tu, mtu wa mbeya sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Emotional emotional why emotional unakataza wasanii wasilete buluda mjini mby kisa chuki zako za kuachwa homie
 
Kwanza iache Mbeya yetu, afu huo mkoa unaoita Morogoro ina watu wahuni kinoma, watu kwenda kwenye mziki na panga kiunoni, disibisi ni jambo la kawaida.

Miziki yao mingi imejaa vurugu, mabangi na team za kimtaa mara hawa watoto wa top corner wana familia lao, hawa familia la Nguzo moja, hawa familia la Chamwino etc
 
Mbeya ni mji uliojaa watu wanaopenda vurugu ushamba ni mwingi sana Mbeya. Unyani bado ni mwingi sana Mbeya ndio maana watu wenye akili zao hawaendi kuwekeza Mbeya.
Wewe sema ndio huendi kuwekeza Mbeya city ,sababu huna cha kuwekeza , au unataka wawekezaji wawe wana ku consult wakiwa wanakuja kuwekeza Mbeya.

Tuacheni na Mbeya Yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…