Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

naona ulipeleka show kule wakakuona huna maana wakakuachia show.
 
Hivi ni kweli mnawashwa makalio kwa sababu ya kula burger/pizza?🤔
Chakula anakula mzungu aliyekufundisha ustaarabu na ubinadamu kutoka kwenye unyani, niache kula sababu ya ushamba wako.

Wewe kula makande na viazi vitamu vya kuchemsha uwe ngangari.
 
Wakulima wa kokoa baada ya kuvuna ni vurugu Sana.
Eti mwaisa
 
Zuchu amekula chupa akapaniki wakamtimua stejini na wanenguaji wake kama magasho wamevaa vibwaya. Kila sehemu na utamaduni wake mbona mkienda Zanzibar mnafuata ya kwao au laa unakula viboko mchana kweupe?? Kwanza kalianza kufokea mashabiki as if anaongea na watoto mwenzie Mbosso chupuchupu avuliwe mzula stejini mwamba aliruka nae sio poa. Ndio wakomae. Busta rhymes mwenyewe alijichanganya south Africa wakamlamba simu last week. So kawaida hiyo.
 
Chakula anakula mzungu aliyekufundisha ustaarabu na ubinadamu kutoka kwenye unyani, niache kula sababu ya ushamba wako.

Wewe kula makande na viazi vitamu vya kuchemsha uwe ngangari.
Nimekuelewa aisee!Kumbe ndiyo maana huwa mnaacha makalio wazi yapigwe na upepo kwa kuwasha!🤔
 
Naichukia mbeya mji wa kishamba,watu wake wana usela wa kijinga,Wana chuki na watu wake ni matapeli! Natamani mji wa mbeya ungesbaratishwa na mafuriko.
 
Disibisi ndio nini mkuu??
 
Naichukia mbeya mji wa kishamba,watu wake wana usela wa kijinga,Wana chuki na watu wake ni matapeli! Natamani mji wa mbeya ungesbaratishwa na mafuriko.
Trust me, una akili nyingi sana wewe. Great mind reader
 
Kwa hiyo Mbeya ushamba ndio utamaduni wao?
 
Hizi ni hasira mwaisa, acheni uhalifu mji wenu umejaa watu masela mavi hamfai kupewa vitu vya kistaarabu.

Unasema uhoni vina maana gani na mkiona jengo lenye lift mnamwita spika azindue lift
naomba niwatetee. kwa Mbeya wanyakyusa hawana shida. wapumbavu ni wasafwa. hao jamaa wasafwa wana uhuni wa kipumbavu, wauaji, kwa ufupi ile michezo ya kuchuna ngozi miaka ya 90 watendaji wa hizo kazi ni wao. ni wapumbavu sana wasafwa. na ndio kabila kubwa Mbeya.
 
Nilijua utashauri wasanii gani waende kule badala ya kutoa huo unaoita ushauri,
Mbeya wanaonekana hawapendi miziki laini laini, wale wanapenda hip hop a hivyo watu wa burudani huenda hawajafanya tathmini ya kutosha
 
Trust me, una akili nyingi sana wewe. Great mind reader
Mimi nipo Tabora mkuu na njia rahisi isiyokuwa na gharama ni mbeya to mtwara ila kwasababu naichukia mbeya bora nipite manyoni,Dodoma, morogoro,dar,lindi to mtwara! Naichukia mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…