Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.

Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.

Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.

Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.

Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.

Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
ule mji una shida sana
 
Wapeleke Kilimanjaro na Arusha,kama watapata hata sentu Tano.
Matokeo yake utasikia wakifilisiwa na mabank
 
Yote haya yana uhusiano na wasafi na p didy hawezi kubaki nyuma.. Unataka uwapeleke watu wa Mbeya kikondoo ili washindwe kuja kuandika hadharani kama bosi wako?
 
Bahati mbaya Tanzania Haina mji wa kijanja hata mmoja,nilitamani ianzishwe mji wenye vibe kama Dubai au Mexico watu wawe kama vichaa kwenye utafutaji, Airlines Kali achana na hayo mashimo ya DSM,hapo buda hamna kitu,hata ukienda Montreal au Zurich utagundua kuwa tunaoigwa bao na kelele za wanasia wakati hayo majengo marefu hapo DSM hayana watu yako matupu.Ni wakati wa kuisimamai Tanganyika na na sio Tanzania
Dah

We ni mshamba Sana aisee
 
Kosa sio la Wana mbeya kosa lina anzia zuchu alipo sema tulia mitano Tena na akamalizia kwa kusema Tena Samia mitano Tena

Hapo ndipo mtanange ulipo anzia
 
Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.

Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.

Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.

Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.

Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.

Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
Wanamutaka mke wa P Diddy ( Diamond), baada ya agano la ushetani la kupitia mlango wa nyuma alifika Tanzania na kuanza kusema atakuwa tajiri mkubwa duniani, kumbe ni baada ya like agano la kupitia kwa mpalange na ndo maana anatembea kwa kuchechemea sana.

View: https://www.instagram.com/reel/DAMlPAOS4zv/?igsh=MWIxenV3d3AxeHVnag==

View: https://youtu.be/y4AWhKsile4?si=bK__4gBZES6RoT73
 
Attachments

  • VID-20240930-WA0004.mp4
    6.5 MB
  • VID-20240929-WA0018.mp4
    2.9 MB
Watu wengine mnakua kama magasho (I feel like kuna ulazima wa kuondoa hilo neno KAMA), I mean wewe binafsi unafaidika nini na majengo makubwa, international offices zilizopo hapo mkoani kwako?
Ubaya au uzuri wa sehemu inategemeana na kiasi cha pesa unachotengeneza na furaha unayopata.

Wengi wenu mnang'ang'ania huko mnakoita mijini ilhali hakuna chochote cha maana mnachofanya, no wonder mnaishia kuwa mario, kuuzishwa unga na kushikishwa kuta ili m fit in lakini moyoni mna depression mbaya mbovu!
Si mashoga hao wasaf akina sinza pazuri ndio wanakupatia ma bwana kwenye hizo international offices wazungu wa kuwa pididy
 
Wakati tuna kua, tuliaminishwa "wakinga" ni wachawi na hata utajiri wao ni wa kichawi.(ZILIKUA HISIA)
Ukikaa na wakinga ndio utakuja kujua namna walivyo wapambanaji, wanabebana, wanashikamana, wabana matumizi, wenye maono makubwa.(HUU NDIO UHALISIA)

Kuita watu wa mbeya ni washamba eti kwa sbb ya watu wachache,ni umechagua kuwa mjinga wewe mwenyewe!
Je ni kila tamasha la burudani wana Mbeya wanaleta fujo?
Kama ndio, wasanii wanakwenda kufanya nini huko?
kama sio, chanzo cha hizo vurugu juzi ni nini? (na hapa ndipo wengi wamejivika upofu wa akili!)

Kama wewe mwanamuziki wa ccm, waimbie wahusika
kama wewe ni msanii wa kikiristo kawaimbie wahusika
kama wewe msanii usiyefungamana na itikadi za vyama, Imani, rangi, jinsia basi wewe ni msanii wa wote.
 
Back
Top Bottom