Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

Wasanii msipeleke burudani Mbeya, ule mji wa washamba

Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.

Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.

Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.

Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.

Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.

Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
 
Attachments

  • 20240930_120122.jpg
    20240930_120122.jpg
    171.3 KB · Views: 2
Si mashoga hao wasaf akina sinza pazuri ndio wanakupatia ma bwana kwenye hizo international offices wazungu wa kuwa pididy

Mbeya hii ni dunia iliyofika kwenye artificial intelligence, hamtakiwi kuishi kama manyani kumbukeni ninyi ni binadamu kama sisi ndio maana tunawashangaa.

Narudia tena hamtakiwi kabisa kuishi kama manyani sina uhakika kwa upeo wa watu wa uko kwenu kama mnanielewa.
 
Nawazidi ustaarabu na kujielewa.

Mimi siwezi mrushia mtu chupa ya mikojo kwenye eneo la burudani. Mimi sina tabia za nyani.
kama eneo la buruani b mambo ya mama mitano tena yalitoka wapi? hayo wapelekeeni wapumbavu wenu huko Pwani
 
Wakati tuna kua, tuliaminishwa "wakinga" ni wachawi na hata utajiri wao ni wa kichawi.(ZILIKUA HISIA)
Ukikaa na wakinga ndio utakuja kujua namna walivyo wapambanaji, wanabebana, wanashikamana, wabana matumizi, wenye maono makubwa.(HUU NDIO UHALISIA)

Kuita watu wa mbeya ni washamba eti kwa sbb ya watu wachache,ni umechagua kuwa mjinga wewe mwenyewe!
Je ni kila tamasha la burudani wana Mbeya wanaleta fujo?
Kama ndio, wasanii wanakwenda kufanya nini huko?
kama sio, chanzo cha hizo vurugu juzi ni nini? (na hapa ndipo wengi wamejivika upofu wa akili!)

Kama wewe mwanamuziki wa ccm, waimbie wahusika
kama wewe ni msanii wa kikiristo kawaimbie wahusika
kama wewe msanii usiyefungamana na itikadi za vyama, Imani, rangi, jinsia basi wewe ni msanii wa wote.
Mbeya wapambanaji watu pesa ipo,ila hiyo msanii lazima atakuwa amewakwaza walume hapo 😄
Umenikumbusha show moja ya nature na solo wakiwa na pfunk
Hapo poolside kilimanjaro..kilinukaa

Ova
 
Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.

Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.

Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.

Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.

Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.

Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
Mwaka 2020 huko kwenye viwanja wa Hard Rock ,Miami Marekani, Rapper Kad Cudi alirushiwa makopo na washabiki,Je Watu wa Miami ni Washamba kama wa Mbeya?
Mwaka 2020 GDP ya Mbeya kwa ujumla ilikuwa ni Dola bilioni 8 chini ya Mkoa wa Mwanza na Dar es salaam tu, naomba unioneshe Kijiji kimoja Cha Mkoa uliotoka chenye GDP sawa na Mbeya.
Eden Highlands Hotel na G town Hotel ni Hotel zenye hadhi ya 4 🌟 ulikuwa unatafuta 3 🌟 hotel Mimi nimekupatia 4 ....
Kuhusu vumbi, unapafaham kwa Mrombo, Patel, nado, Dampo kipindi Cha kiangazi Pako vipi?
Je umewahi kufika Swaswa, Maili mbili Area A, Kikuyu ,Mkonze kuanzia mwezi wa Sita?

Unaposema International office unakuwa hueleweki ( maana ya haraka haraka ni ofisi inayotoa huduma kimataifa) kama maana ni hiyo basi Stanbic bank ni international office, NMB, CRDB, Hotel Desderia zote zina fall katika category hiyo...lakini kama ukimaanisha office ambazo ni zao la FDI's hapo zipo nyingi sana kuanzia benki, viwanda vya malumalu/marumaru na mengine mengi.
Pia kuwa na wingi wa skyscrapers si jambo moja tu linaloifanya jiji kuwa attractive...London, Manchester, Berlin, Cape town, Port Elizabeth, Washington DC ni miji ambayo Haina majengo marefu sana kama ilivyo Dubai, Joburg, New York, Hong Kong, Beijing, LA, Dallas...lakini hiyo miji haipo kwenye orodha ya ugliest cities in the World..
Mbeya Kuna nyumba za matofali mabichi na si nyumba za tope,naomba usipotoshe...halafu nikuambie nyumba nyingi kule Ghana, soko matola zimejengwa kwa matofali mabichi lakini ni Imara hata hizo block zako zikasome...
Sehemu za baggers si uende hoteleni Mzee, nenda tughimbe, Utengule utazipata hizo baga....
Uliza wenyeji wakuambie machimbo,jombaa hata kama una milioni 20 unataka kuipiga kiberiti kwa wiki moja,nenda Mbeya tukuoneshe machimbo ili wakati wa kurudi huko kwenu ubakiwe huna kitu na tukuchangie nauli.
All in all two wrongs don't make one right, Zuchu alikosea lakini hata washabiki walikosea ku react walivyo react...
Karibu sana Mbeya 😂😂😂😂💪💪💪💪
 
Hao wajinga unaiwaita wasanii hawaji Mbeya kuleta 'burudani' eti wanatufanyia hisani, kuna maslahi wameona wanapata. Miaka nenda rudi tumekuwa na maonesho kama KINASA WAZI na MAKANTA, tuna wasanii wa kweli kama vile Nala Mzalendo, Izo, Rap Tempaz, Nyabhingi, Daicon Unique, Mbeya Boy Chuma, Jadah n.k, na huku ndio chimbuko la wakali kama Vina na P the MC, so tuko sawa bila hao wasanii wenu wavaa hereni na vikuku ma girlfriend wa Diddy.
Mpe gwala BLACK MESAYA MBEYA BOY CHUMA
"Hip hip is back i know i can/play for JESUS wachawi wote waseme AMEN!"
 
Ni vizuri wasipelekewe burudani wabakie kwenye ujima wao.

Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia.

Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa Arusha.

Watu wa Mbeya bado wapo kwenye ujanja 1980s ule usela nondo, fujo za kinyani.

Kwanza mji wenyewe wanaita jiji lakini kuna nyumba za tope mpaka leo mjini, mji vumbi tupu, mji hauna hotel ya 3 star, hauna malls wala burger points, hakuna hata international office moja. Wakipata jengo lenye lift wanaita mpaka spika akazindue.

Watu wa burudani achaneni na huo mkoa waendeleee kumsikiliza na kuburudishwa na Awilo wao.

Mtu anatoka kwake anaenda kwenye burudani kufanya vurugu, kutupa chupa, kutukana matusi kama kalazimishwa kwenda vijana wa Mbeya wanaona kuwa wahalifu ni ujanja.
Limbukeni mmoja!

Ushaliwa trako na Diddy.... Mkienda mikoa ya watu usengerema na ushoga wenu bakini nao Dar...
 
Chakula anakula mzungu aliyekufundisha ustaarabu na ubinadamu kutoka kwenye unyani, niache kula sababu ya ushamba wako.

Wewe kula makande na viazi vitamu vya kuchemsha uwe ngangari.
Huko si ndio mlikofundishwa ushoga!
 
Lawama nampa Mama samia na Ccm yake
Watoto hawa akina Zuchu mnawapandikizia uchawa mpaka wanasahau kilichowaleta
 
matajiri weng upenda kula vya asili

wewe uchwara una taka burger ambalo asili yake sio africa dogo wewe ni shoga nini ???
 
Mwenye Enzi Mungu yupo kazini na mtaaibika sana,yameanza ya Diddy na kipondo Cha mbeya ni trailer.Mna haribu watoto wasio na hatia Kwa nyimbo zenu za ushuzi kwanini?Halafu mnajifanya kumtaja mungu wenu mnaomjua nyie
 
Hakunaga mwaisa mshamba
Usenge wenu huko huko kwenu
Uchawa, ushoga hatutaki.
 
Muache kuwapelekea matamasha ya kisiasa mkasema buradani kama nyie mnaojiita wajanja mbeya wamesanuka maana wanajua burudani kipindi hicho mbeya ina sugu uko kwenu kulikuwa kuna nani kipindi hicho mbeya ina kin adili chapakazi, uswahilini matola uko kwenu kulikuwa na nani kipindi hicho mbeya ina bebwa na bishanga bashaija kina sekion David uko kwenu mlikuwa na nani kipindi hicho kina soggy na washikaji kibao wanafanya burudani na makundi yao uko kwenu mlikuwa na nani kwaiyo tulieni mbeya wanajua burudani ni ipi na porojo ni zipi, mbeya watu wanafanya kazi siyo mji wa porojo porojo za siasa sasa yule bibi yenu mbunge anadhani mbeya mji wa kiswahili swahili analeta porojo porojo hapana

Mbeya wanaweza hata wasiwe na mbunge na watu wakaishi na maisha yakasonga kwani tegemeo lao siyo porojo ni kazi elimu na kujituma hayo mambo wapeleke kıgoma uko kwa kina mwijaku kwanza umeona chawa kutoka mbeya chawa wote waha kutoka kigoma
 
Back
Top Bottom