Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

Bwana wewe mtu wa msoma watukana wachagga humu hamna mbele wala nyuma tulia wewe, tengenezeni kwanza vyoo ndio mje kutukana watu wenye Akili zao nchini Tanzania.
Mkoa wenu tu ni moja ya mikoa maskini Tanzania, Sasa na wewe unatukana tu humu JF, hizo chuki zigeuzeni mubadili mkoa wenu kwanza, wanywa mbege wame progress kila sector nchi hii, na wanajulikana kimataifa, vipi nyie mkoa wenu?
 
Bwana wewe mtu wa msoma watukana wachagga humu hamna mbele wala nyuma tulia wewe, tengenezeni kwanza vyoo ndio mje kutukana watu wenye Akili zao nchini Tanzania.
Akili za kutengeneza mbege, kunywa pombe na kuharisha. Uko sahihi kwa 💯

Kwetu Musoma unywaji wa pombe ni mpaka sikukuu na sherehe.
Mkoa wenu tu ni moja ya mikoa maskini Tanzania, Sasa na wewe unatukana tu humu JF, hizo chuki zigeuzeni mubadili mkoa wenu kwanza, wanywa mbege wame progress kila sector nchi hii, na wanajulikana kimataifa, vipi nyie mkoa wenu?
Mkoa masikini kwa mujibu wa nini?

Kama.ni NBS ?

Hivi unajua takwimu za NBS zinavyokokotolewa?

Rudi darasani kwanza. Na hakikisha hujanywa Kiwingu ili uelewe maana naona mambo mengine madogo yanakutatiza sana.
 
Kwa nini msiyatie viboko majitu kama hayo?
 
Kwa nini msiyatandike viboko majitu kama hayo?
 


Rapa Fido Vato kutoka VatoLocco anakuambia ni United States Of Arusha[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Wewe kama mkuu wa mkoa wa Mara, unachukua hatua gani kukomesha hili kwa vijana wako?
Ukiwa kiongozi huwezi kuwa na suluhisho la.moja kwa moja.

Ila binafsi naona njia rahisi ni ku-raise awareness kwa vijana na wakazi wote wa Mkoa kujua kipi ni cha thamani kwao ili wakilinde kwa nguvu zote.

Uchagaani huwezi kununua ardhi, kufanya biashara au kupata uongozi wa kisiasa kirahisi kama wewe ni Mpori aka Chasaka yaani mtu wa kuja.

Ila ukienda huko mikoa ya Morogoro utakuta wabunge wachagga na waarabu.

Kwahiyo muhimu ni kujielewa, kujiamini na kutokuwa EASY GOING.

Kama kuna kitu unajua kabisa mwenzio hawezi kukupa wewe kwanini umpe chako kirahisi tu ?
 
Yaani mkoa wa wavuta bangi uwe na watu wenye Akili kweli?[emoji23][emoji23][emoji23] Toka lini watu wala furu na udaga wakawa na akili timamu, wewe mwenyewe tu mkaruka unategemea nini?
Huo mkoa wenu mumewekeza chuki na kukomoana hamtaki hata maendeleo ya elimu na Miundo mbinu mnaharibu tena nyie wajita ni vinara wa majungu na uchawi in short huko kwenu hamfai kabisa
 
Nimeridhika na hoja yako. Ahsante sana!
 
Yaani mkoa wa wavuta bangi uwe na watu wenye Akili kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye akili ni kina nani huko, labda siwajui.
Toka lini watu wala furu na udaga wakawa na akili timamu, wewe mwenyewe tu mkaruka unategemea nini?
Furu na Udaga ndio chakula sahihi cha kuwafanya watu na Afya na ukakamavu.

Arusha na Moshi kuna nini ?

Ndizi na Kitimoto ???
Huo mkoa wenu mumewekeza chuki na kukomoana hamtaki hata maendeleo ya elimu na Miundo mbinu mnaharibu tena nyie wajita ni vinara wa majungu na uchawi in short huko kwenu hamfai kabisa
Una ushahidi na hili ?

Au ushapiga Kiwingu ??
 
Hakuna inferior complex hawana jipya vile hatuna Shobo nao kwanza wanaonekana kama wezi wengi wao

Ishu wanaponda watu mfano kuwasema wasukuma wakibishana kidogo wanaleta ukaskzini wana nn cha maana tuliza mshono
Kama hawana cha maana unahangaika nao wa nini!? Ishi maisha yako nao waishi maisha yao. Unawapangia waishije, wewe nani!?
 
Huo ubaguzi aliuleta John aliyedai ilikuwa zamu ya kanda nyingine kuendelea. Akaanza kuijenga Kanda ya Ziwa kana kwanda kaskazini ndiyo ilidumaza kanda nyingine wakati hata Rais haijawahi toa.
 
Hawa jamaa ni wabaguzi mno hata nyerere aliliona hilo wana jichama lao hilo lina ubaguzi na halitoingia madarakani kwa nguvu za mwenyezi mungu
Nguvu za Mwenyezi au wizi wa kura!? Hao waliopo madarakani wamewaletea nini zaidi ya kuwapa majina "wananchi wanyonge" wakati wao wako ndani ya vieite.
 
Na akina imbombo jilipo vile vile nao msiwasahau ktk hilo la ukanda,, kifupi ni ushamba tu uliowajaa japo wenyewe wanajiona wanapatia,, sie wakali wa donta tunawachora tu mijitu kutoka nyuma nyuma huko,,,,
Nyonzo makeneke mfanyabiashara asiyeogopa hasara. Mama mtendaji kashakurudishia banda lako ulilookota!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…