Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

Weusi sio lebo
 
Kiukweli kuna uzi nmeusoma humu wa wasanii wa Ar chuga kujitenga na mimi nalithibitisha hili.

Sikuwa mdau sana wa muziki wa Arusha ila wasanii tulikuwa tuliishi nao.

Yani msanii wa Arusha hafikiriagi kutoka nje ya Arusha kwenda hata kurekodi dar.

Wasanii nlikuwa nawajua ni wa kawaida tu lakini nao walikuwa wanatembea mule mule tu.

Kulikuwa na msanii anaitwa Viva consious huyu nlikuwa namuona ana roll na wasanii wa Arusha tu aisee, yani ni wasanii wx chuga mwanzo mwisho, Msanii mwenzake nae alikuwa anaitwa Nyigu nae ni hivyo hivyo tu ana roll na wasanii wa Atown tu.

Srudio nilikuwa naijua ni kwa mesen selekta, wasanii wa chuga ndiko wanakamulia vocal kwenye beats, yani wakifika huko nahisi ndio kulikuwa kwa p funk wao.

Kwenye shows sijawahi kwenda sana ila kiukweli wasanii wa Arusha wakitoka kwenye show ni mwendo wa kukodi taxi

Nlidhani hii tabia iliachwa kumbe inaendelea, hawa wasanii wa Arusha wawekewe vikao aisee
 

Kuhusu kurekodi, hivi ni lazima ukiwa msanii urekodi Dar?
Hizo studio zilizo huko Arusha unataka nani akarekodi huko?
Kwa hiyo unataka huko Arusha kusiwe na studio ili wasanii wa huko wakarekodi Dar…!?
Acha kuwa mjinga wewe, mwishowe utasema nao wasukuma wasitumie studio zilizo huko kwao wakarekodi Dar, angali watu wamewekeza fedha zao katika hizo studio ili kuwarahisishia kazi walio maeneo hayo!
Ni upuuzi kuwaza kila kitu ni lazima kifanyike Dar…
 

Kila familia ina jambazi.
 
yani mnataka kuwapangia watu warafiki wa kuroll now 🤣 🤣 🤣
yani wasanii kupanda tax pia ni kosa? unataka watembee kwa miguu??
 
Jambo lingine wao kujihisi ndio wajanja na masela tz nzima.. Na chuga ndio sehemu nzuri kumbe ni city lenye hadhi ya kuwa kuitwa manispaa tu..

Pia ukiwakuta wamevaa yale mashati yao makubwa ya draft na viatu oversize.. utaskiaa mimi ni mchugaaaa... Hapo keshakula banggi na viroba.
Na maprsenta wao kutwa kusifia chuga kina mchomvu.
Kiufupi binafsi yangu sijawahi wakubali
 
Hiyo picha imebeba taswira nzima ya umaskini.
 
Wenyewe wanapaita chugastan[emoji2]

Sasa si waende tu huko afighanstan
 

Naona unaongelea urafiki na undugu,mtoa mada kaongelea kujibagua na kuleta ukanda katika sanaa,
 

Mambo mengine tusibishane tu,watoto wa chugastan wengi wanao uwezo wa kujitoa ufahamu na kufanya jambo lolote analo ona linamfaa, pia wengi wana exposure kutokana na mji wao kuwa wa kitalii na upo mpakani pia,kitu ambacho ni tofauti na mikoa mingine nchini hapa,

Hata totozi za chuga zinajua bata bana,na starehe ....kama ni mdau wa club utakubaliana nami club za chuga totozi zinafanya vyema kama dar tu.

Sema nini waache ubaguzi kama wanao kweli maana nchi hii ni moja na inatakiwatuikuze pamoja,

Kama mkoa wao wametangulia baashi ya vitu basi wasijione wao ni bora kuliko wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…