Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

Mleta mada wewe ndio mbaguzi na unajihisi kubaguliwa kumbe sivyo just boost ur self esteem.
Hata, nakupinga! Hii thread nawasemea watu wengi wa kanda tofauti na ya kaskazini, waliolalamika kubaguliwa na kutamkiwa maneno ya dhihaka, kejeli n.k, kutokana na kuwa ukanda tofauti. Hili huweza kujidhihirisha maofisini, shuleni na sehemu nyinginezo.
 
The point is this, hakuna anayekukataza kuchangamana au kupiga deal na watu wa ukanda wako. Pia hakuna anayelazimisha kuungana wala kuzoeana na wewe, achilia mbali kupiga deal na wewe. Watu wanachokataa ni ubaguzi dhidi ya kanda zingine, kwa maneno, matendo na kutokukubali kuwa TZ ni moja iunganishayo kanda zote. Rejea maneno ya Nyerere! Again[emoji117] hakuna anayetaka kuungana na wewe katika deals au kuzoeana, watu hawataki maneno yenu ya kibaguzi maofisini, majukwaani n.k, dhidi ya kanda zingine. Only that!
Ok nimejibu kama mwananchi wa kawaida Si kiongozi wala Msanii...Hapa JF shutuma zikija huwa zinatulenga wote.
Hayo niliyoyataja kwa kiasi kikubwa ndo yanayofanya wengine watuite wabaguzi hatushirikiani na wengine isipokuwa sisi wenyewe.
Nafikiri nimewajibu sababu za kufanya hivyo...Mfano Mimi Mangi nimefungua biashara nitaajiri vijana wa Arusha ( Nawaamini ) faida nikipata nitasaidia na kula na wa Arusha ( Fadhila huanzia nyumbani ) Nitamsaidia Laizer kufungua harakati zake pia ( Anatoka Arusha tutasaidiana ) Nitasifia vya kwetu kwasababu nina faida navyo ( Wewe usipofanya hivyo simple unakua mteja wetu)
Sasa chukua huo mfano uweke popote
Hapo lazima mtatuita sisi ni wabaguzi.
Ila uhalisia SUMAKU HUVUTA VYENYE ASILI YAKE.
 
Nahisi una tatizo kubwa zaidi..
Watu wanaongelea experience cha kwanza ujue hakuna kitu labda kinanivutia kutoka kwa Wachaga wala wasukuma coz kwenye cycle yangu ya maisha nilishwai kubwa na demu wa huko alinipenda mwenyewe umeelewa

Kingine hata kwenye ukoo wetu dada wangu na kaolewa na mchaga na wala huo shemeji hatuna ule ukaribu naye kiivyo kama maana ni familia yao mi hata kabila langu kuongea zaidi ya salamu coz sijaishi vijijini wala sehemu watu wako vernicular na utamaduni wa asili fulani ni nimeishi dar kenya nimekaa lafudhi yangu inapendwa na nilikuwa nikiongea wananizunguka kama kituko but chuki zilikuwa naziona wazi wazi kwa hao watu

Mi kipind niko kenya nikikutana na mtanzania basi namchukulia mtu wa karibu kama ndugu kutokan na kiswahili wala sio ukanda mi sijui kabila lolote lile wala vyakula vya asili kifupi kabila na asili nachora tu ninavyoongea wanavyoniambia namix kile kikenya na lafudhi ya kidigo kwa mbali ila nilikuwa namix na kingereza sana sana
 
Mibangi eti wanamtetea bifu likaanza yaani hawajiamini kusimama mmoja mtu mna bishana anaanza nyie masikini na hapo alikuomba jero anywe chai

Mara ona wakina mengi walivyo na pesa ni watu wa kaskazini anakwambia yeye hana analeta ukabila
Hahahah alikuomba jero ya nini?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Watu wanaongelea experience cha kwanza ujue hakuna kitu labda kinanivutia kutoka kwa Wachaga wala wasukuma coz kwenye cycle yangu ya maisha nilishwai kubwa na demu wa huko alinipenda mwenyewe umeelewa

Kingine hata kwenye ukoo wetu dada wangu na kaolewa na mchaga na wala huo shemeji hatuna ule ukaribu naye kiivyo kama maana ni familia yao mi hata kabila langu kuongea zaidi ya salamu coz sijaishi vijijini wala sehemu watu wako vernicular na utamaduni wa asili fulani ni nimeishi dar kenya nimekaa lafudhi yangu inapendwa na nilikuwa nikiongea wananizunguka kama kituko but chuki zilikuwa naziona wazi wazi kwa hao watu

Mi kipind niko kenya nikikutana na mtanzania basi namchukulia mtu wa karibu kama ndugu kutokan na kiswahili wala sio ukanda mi sijui kabila lolote lile wala vyakula vya asili kifupi kabila na asili nachora tu ninavyoongea wanavyoniambia namix kile kikenya na lafudhi ya kidigo kwa mbali ila nilikuwa namix na kingereza sana sana
Kwakua wewe binafsi unaclaim Kuchukiwa Basi na iwe kama mawazo yako yanavyotaka.

Kwa ulivyoandika Mimi sikuchukii ila nimeona sababu za hao watu kukuchukulia kama mkimbizi kwenye mahusiano yako na wao.
 
Kuna Taasisi hapa watu waliomba intership walichukua wachag na wpare tu 6 hakuna mtu baki alipata kwa kweli na hawana performance yeyote ile kisa mkuu fulani ni mchaga na mama alipoingia alimtimua yule mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Taja hyo tahasisi mbona waogopa taja tuwajue mnk watu wa kazkazni c wajinga Wala wapuuzi hat kidgo na mm nimefanya Kaz na watu tofauti ndio nilikutana nao walisalimu amri kwa kuiga juhud na maharifa zangu katka kutafuta pesa ...kazikazi watu wanaakili siyo tu ya darasana hata kimaisha tumewapita parefu sana
 
Kwakua wewe binafsi unaclaim Kuchukiwa Basi na iwe kama mawazo yako yanavyotaka.

Kwa ulivyoandika Mimi sikuchukii ila nimeona sababu za hao watu kukuchukulia kama mkimbizi kwenye mahusiano yako na wao.
Yeap kaka walinichuki binafsi kwa kweli yaani kuna maneno walikuwa wanaongea mkuu sema kibingwa tylikuwa tunapandishia siwezi kusema kokote kiume tulipamban na nilikuwa mbishi na muongeaji kinoma ila kuna watuw a kigoma walikuwa haziendi kubishana daily🤣🤣🤣
 
Hata mimi zamani nilidhani watu wa kaskazini wanaubaguzi na kujitenga lakini nilipoishi nao niligundua wale watu utamaduni wao ni tofauti na tamaduni nyingi sana za Tanzania. Kwanza kabisa watu wa kaskazini wako chap chap kwenye kila kitu, wako serious na maendeleo ya mtu mmoja mmoja, wako serious na elimu. Hawa watu wanaushirikiano sana tofauti na makabila mengine, hawa watu hawapendi usnichi kitu ambacho makabila mengi yana hii tabia. Hawa watu wakikuambia "Stop this" bora ukaacha, they are focused.

Ni changamoto kubwa sana wakaskazini kuishi na mgoni, msukuma au mzaramo kama hawataweza kuendana na kasi yao. Wakaskazini sio wavivu wavivu lakini makabila mengi Tanzania ni wavivu, wakaskazini sio waoga lakini makabila mengi Tanzania ni waoga balaa. Sasa hizi personalities zao ndyo hufanya waonekane kama wabaguzi au wanajitenga kwasababu wanashindwa kupata watu ambao wanaendana nao lakini mimi sio mchagga lakini nimeishi nao muda mrefu kiasi kwamba nime cope tabia zao naonekana kama wa kaskazini.
Pitia quote za juu mkuu, umeenda nje ya mada kidoooogo!
 
Taja hyo tahasisi mbona waogopa taja tuwajue mnk watu wa kazkazni c wajinga Wala wapuuzi hat kidgo na mm nimefanya Kaz na watu tofauti ndio nilikutana nao walisalimu amri kwa kuiga juhud na maharifa zangu katka kutafuta pesa ...kazikazi watu wanaakili siyo tu ya darasana hata kimaisha tumewapita parefu sana
Umempita nan unaanza kujisifia waizi wa mitihani nyie
 
Kuna meneja mmoja wa kampuni wa huko kaskazini aliwahi kuninyima kazi tena siku ya mwisho naenda kusaini mkataba, akauliza mimi kabila gani, nilivyomtajia tu shughuli ikaishia hapo alinitamkia maneno ya ukabila ya kutisha ambayo sitayasahau maisha yangu yote. Kuna siku ntamlipua humu. Nachukia ukabila kuliko chochote.
Wewe ni kabila gani mkuu?
 
Alfu washukuru mungu jpm alivyoingia madarakan mnk kwa kipindi Cha nyuma kidogo kazikazini . Ilikuwa inatoa zaid mawaziri Tena wizara nyeti kbsa kutoka kazikazin achilia mbali mawaziri wakuu Ni wakuu wa idara nyeti ...mm natokea kazikzani ila chonde chonde naombeni mchaga asipewe madarak makubwa Kia's Cha uwaziri mkuu au uraisi acha kiti kitembee katkat Apo tu Ila pia CYO sukuma

U will thanks me latter
 
Hata mimi zamani nilidhani watu wa kaskazini wanaubaguzi na kujitenga lakini nilipoishi nao niligundua wale watu utamaduni wao ni tofauti na tamaduni nyingi sana za Tanzania. Kwanza kabisa watu wa kaskazini wako chap chap kwenye kila kitu, wako serious na maendeleo ya mtu mmoja mmoja, wako serious na elimu. Hawa watu wanaushirikiano sana tofauti na makabila mengine, hawa watu hawapendi usnichi kitu ambacho makabila mengi yana hii tabia. Hawa watu wakikuambia "Stop this" bora ukaacha, they are focused.

Ni changamoto kubwa sana wakaskazini kuishi na mgoni, msukuma au mzaramo kama hawataweza kuendana na kasi yao. Wakaskazini sio wavivu wavivu lakini makabila mengi Tanzania ni wavivu, wakaskazini sio waoga lakini makabila mengi Tanzania ni waoga balaa. Sasa hizi personalities zao ndyo hufanya waonekane kama wabaguzi au wanajitenga kwasababu wanashindwa kupata watu ambao wanaendana nao lakini mimi sio mchagga lakini nimeishi nao muda mrefu kiasi kwamba nime cope tabia zao naonekana kama wa kaskazini.
Mbona kama ulikuwa unawaongelea wayaudi?!

Wachagga gani hawa umewakuta hivi ndugu?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Me Moshi na Arusha nimekaa sana ukanda huo..... Hii kitu nilikuwa naisikia pia ila sijaikuta huko hata kidogo. Kwa mfano, ukienda pale maeneo ya Moshi maduka kufunguliwa saa kutwa nzima haikuwapo sana hadi miaka ya 2010 sababu ya kufunguliwa vyuo vya ushirika, na maduka ya kule juu KCMC yalikuwa yanakuwapo wazi sababu ya chuo cha KCMC pale.

Ila niachojua wenyeji kule wanahusudu kuwa na pesa mfukoni ila mbinu za kutafuta hapo mkuu umefix yaani zungumzia watu wachache wenye vipaji vya ubunifu wa biashara ambao wengi wa wenyeji wa Wilaya ya Moshi hawapo kule wapo mikoa mingine.

Hizi sifa ni kama unaongelea watu wenye DNA structure ya kimalaika...... Jambo ambalo ni uvumi tu na promo za mitandaoni na vijiweni.

Sema wachagga wanapenda kuhangaika kutafuta ila sio wanambinu kuzidi jamii zote za kitanzania.... Huo ni uongo na ni uvumi kama uvumi mwingine tu.

Jambo jingine kwa wachagga pale Moshi wapo na tabia ya kupenda kuiga biashara ya wengine baada ya kuharibia aidha kwa mwenye nyumba au wateja au clients wako. Hii nimeishuhudia. Namna pakee ya kufanya biashara wilayani Moshi ni kwa kuwa Vigilant kibiashara hautapata shida.

But ni mji mzuri na wala hauna shida ukitaka kuishi kuwa na mbinu zako..... Maana hata wenyeji ule mji umewatoa jasho wameukimbia.....
 
Ok nimejibu kama mwananchi wa kawaida Si kiongozi wala Msanii...Hapa JF shutuma zikija huwa zinatulenga wote.
Hayo niliyoyataja kwa kiasi kikubwa ndo yanayofanya wengine watuite wabaguzi hatushirikiani na wengine isipokuwa sisi wenyewe.
Nafikiri nimewajibu sababu za kufanya hivyo...Mfano Mimi Mangi nimefungua biashara nitaajiri vijana wa Arusha ( Nawaamini ) faida nikipata nitasaidia na kula na wa Arusha ( Fadhila huanzia nyumbani ) Nitamsaidia Laizer kufungua harakati zake pia ( Anatoka Arusha tutasaidiana ) Nitasifia vya kwetu kwasababu nina faida navyo ( Wewe usipofanya hivyo simple unakua mteja wetu)
Sasa chukua huo mfano uweke popote
Hapo lazima mtatuita sisi ni wabaguzi.
Ila uhalisia SUMAKU HUVUTA VYENYE ASILI YAKE.
Kaka elewa, mimi sijawaita wabaguzi kwa kufanya hayo uliyosema. La hasha! Hayo unayofanya ni mambo mema, na sijayahusisha na ubaguzi wowote.
 
Na akina imbombo jilipo vile vile nao msiwasahau ktk hilo la ukanda,, kifupi ni ushamba tu uliowajaa japo wenyewe wanajiona wanapatia,, sie wakali wa donta tunawachora tu mijitu kutoka nyuma nyuma huko,,,,
 
Hata mimi zamani nilidhani watu wa kaskazini wanaubaguzi na kujitenga lakini nilipoishi nao niligundua wale watu utamaduni wao ni tofauti na tamaduni nyingi sana za Tanzania. Kwanza kabisa watu wa kaskazini wako chap chap kwenye kila kitu, wako serious na maendeleo ya mtu mmoja mmoja, wako serious na elimu. Hawa watu wanaushirikiano sana tofauti na makabila mengine, hawa watu hawapendi usnichi kitu ambacho makabila mengi yana hii tabia. Hawa watu wakikuambia "Stop this" bora ukaacha, they are focused.

Ni changamoto kubwa sana wakaskazini kuishi na mgoni, msukuma au mzaramo kama hawataweza kuendana na kasi yao. Wakaskazini sio wavivu wavivu lakini makabila mengi Tanzania ni wavivu, wakaskazini sio waoga lakini makabila mengi Tanzania ni waoga balaa. Sasa hizi personalities zao ndyo hufanya waonekane kama wabaguzi au wanajitenga kwasababu wanashindwa kupata watu ambao wanaendana nao lakini mimi sio mchagga lakini nimeishi nao muda mrefu kiasi kwamba nime cope tabia zao naonekana kama wa kaskazini.
Upo vizur mfano mzur mbona mchaga na mkikuyu zinaendana?
 
Back
Top Bottom